Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

Nianavyo awamu hii hawa jamaa (wako wengi hata yule wa 'taifa gas')wataibudu na kuiweka mfukoni kama ilivyokuwa ile awamu ya 4, muda ni mwalimu mzuri sana!
Na ndivyo ilivyo mpaka sasa!
Wewe angalia kwenye ziara za nje nani na nani wako mbele zaidi
 
Iko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.

Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
Wazazi wako ndiyo wauzaji wa madawa wewe ukiwa ni punda mbebaji mkuu.
 
Wacha wivu wa kijinga wewe mbumbumbu.

Fanya kazi pata fedha uishi maisha unayotaka wewe bila kupangiwa na shemeji yako.
Mimi siwazi kwa kutumia tumbo kama wewe bali najitambua vizuri na ninao niliowasomesha kwa jitihada zangu na wanalitumikia taifa vizuri kuliko wewe nguvu tumbo Mmawia
 
Muda wenu umekwisha nyinyi sukuma gang wacheni sasa tuwatese
 
Huyo alikuwa ni house girl wa Makonda
Wewe unaweka Chuki yako kwa mtu mmoja makonda ila wengineo tuko kwenye maslahi ya kitaifa zaidi.

Wewe endelea na chuki zako na matusi.

#tunakataa wahuni
 
Muda umeshawaacha kaeni mkao wa kutulia.

Sukuma gang mtanuna sana na kumuona kila aliye karibu na mama ni adui yenu
 
Hamna wazigua wenye asili ya Oman.

Mbona mimi najua kingereza na kifaransa.

Kujua lugha ya mtu mwingine ni jambo la kawaida tu.
Waziguwa,wamakonde,wasambaa,wazaramo nk,wamejaa tele Oman.Kiswahili,na lugha za asili,na ngoma za asili ya kitanzania,zinachezwa Oman,na wala hawaulizwi na serekali,kwa nini wanacheza ngoma hizo,na wanaongea Kiswahili na lugha za makabila.Tembea,acha kukaa Tanzania tu.
 
Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.

Naye atachafuka nao.......

Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........

Nimewakilisha kama....

Umesikika vyema Mkuu,, Acha tujipe muda..

Lisemwalo lipo, na halina taarifa huja ghafla tu kama kifo
 
Iko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.

Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
Amka wewe utajikojolea
 
Waziguwa,wamakonde,wasambaa,wazaramo nk,wamejaa tele Oman.Kiswahili,na lugha za asili,na ngoma za asili ya kitanzania,zinachezwa Oman,na wala hawaulizwi na serekali,kwa nini wanacheza ngoma hizo,na wanaongea Kiswahili na lugha za makabila.Tembea,acha kukaa Tanzania tu.
Wale ni wajakazi huko na wanafurahia kuishi mabanda ya Uani.

Sultan wa Zanzibar aliyepinduliwa na kukimbilia [emoji636]
Ameruhusiwa kurudi Oman [emoji1190]
Mwaka juzi ila kwa kibali maalumu.
Sembuse hao unaowataja hapo!
 
Hata nyumba anayoishi Miraji kule Mikocheni ni ya GSM mkuu.

Tumsingizie ili tupate nini?

Mambo yao wanayafanya mbele za binadamu wenye macho na akili.
Acha uwongo wa kitoto mjini umekuja lini?
 
trust me, baada ya ile miaka 6 ya jehanum ambapo watu waliishi kama mashetani, siku hizi ukitaja kitu kinaitwa sukumagang watu wanahisi kutapika. ni bora hata tungepata chaga gang kuliko mateso yale.
Mkuu yale yalikuwa mateso bila chuki sukuma gang ilituwekea ngwaka
 
Hapa team Msoga itavamia hii nyumba kwa kasi....power of media
 
Back
Top Bottom