Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

Acha chuki binafsi..acha kuwa kibaraka wa makonda..Sasa mambo ya yanga..GSM anaingiaje wewe kitoko mororo
Kwa sababu wewe ni kula kulala huwezi liona hili.
Wacha wenye kuona tuseme ila wewe uliezaliwa kula endelea kulishwa na kufurahi.

Hata vitani huwa kuna wafanya usafi wa nguo nk.

Ingawa vita ikiisha wote hujisifia...tulikuwa front line!
 
Ni ushauri tu!

Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.

Walianza na Mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.

Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Raisi.

Ulipiga simu live uwanjani,ambapo pamoja na kutoa Pongezi,lakini pia ulichangia kiasi cha Milioni 15.
Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.

*siku iliyofuatia pale baada ya mechi,kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.

*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani,kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
Kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi,mbele ya maafisa Polisi,bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.

Movie iliendelea tena Jana pale uwanja wa Taifa.

GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC-PREMIERE.
BainaYanga na KMC.

Kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.
Tukio lenye heri pia.

Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).

Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.

Nimeyatumia hayo machache kama mfano.

Maoni yangu mimi!

Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma,katika awamu ya nne.

Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre.
Bado tuna kumbukumbu na matukio yao.

Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.

Haya mambo yalipelekea mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).
Na mpaka sasa yuko ughaibuni.

Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.

Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.

Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.

Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.

Bado kuna mgogoro wa udhamini wa ligi kuu ya NBC-PREMIERE kati ya GSM na TFF Uko mezani.

Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo,kama mkataba unavyotamka.

Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.

Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na Uhuni.

Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.

Hii pia Itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.
Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.

Naye atachafuka nao.......

Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........

Nimewakilisha kama....

commonmwananchi
10101.
Hilo la risasi ni uongo tu, clip niliiona hapa hapa JF ni ya kupikwa tu ile.

Hivi kama mtu hajajipendekeza kwa Rais wake ajipendekeze kwa nani? Kwako?

Ujinga wa kina Sabaya ulikuwa sio kujipendekeza, ni kufanya ujambazi.

Unataka kufananisha sadaka na uporaji?
 
Wacha kuandika hadithi za alinacha. Magufuli anaoza huko hatorudi tena. Legacy gani Magufuli kaacha zaidi ya kutuharibia uchumi na kutugawa kiitikadi na kikabila
Sasa hivi Uchumi mzuri..wewe binafsi umenufaika na lipi kama wewe?
 
Iko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.

Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
Natamani hata kweli
 
Kuhusu kuchanganya siasa na mpira, FIFA hawana uhalali wa kulisemea hilo japo imeandikwa hivyo katika Katiba yao. Ona jinsi walivyokiuka Katiba yao kwa suala la Urusi na kwa kutoifanya cho chote Uingereza ilipoingilia kifedhuli umiliki wa Chelsea na raia wa Urusi. Fifa wamejidhalilisha kabisa kwa kuwakenulia meno wakubwa wanaposema kitu na kufuata katiba pale tu wadogo wakikosea.
Kuhusu Yanga kumtumia Rais Samia, sijui kama hilo ni kosa kama Rais ni mkereketwa wao. Ni sawa na Wakristu wapige kelele kupinga Rais Samia kwenda msikitini kwa kisingizio kwamba nchi haina dini. Vivyo hivyo Simba hawana uhalali wa kuuliza maswali kuhusu Rais kuegemea Yanga kwa kisingizio kwamba yeye ni Rais wa nchi.
Umeongea ki yanga yanga ila usiifananishe TFF na Urusi.
Tanzania sio Taifa huru kiuchumi bali Ombaomba na kwa hilo ni kwamba mtu akitokea akachukua Evidence zote pamoja na jezi walizotumia yanga zenye picha ya Rais.

Watakutwa na Kesi ya kujibu.
 
Hilo la risa ni uongo tu, clip niliiona hapa hapa JF ni kupikwa tu ile.

Hivi kama mtu hajajipendelkeza kwa Rais wake ajipendekeze kwa nani?

Ujinga wa kina Sabaya ulikuwa sio kujipendekeza, ni kufanya ujambazi.

Unataka kufananisha sadaka na uporaji?
Hata South afrika Rais Zuma na wale kina Gupta ilianza hivihivi.

Leo zuma anatakiwa aanze kunyea NDOO huko Magereza.

Hata hapa katiba mpya ikija kina JK watatakiwa wanapostahili.
 
Wivu tu unakusumbua we Niko hakuna ulichoandika hapa Ni ushuzi tu.
Sio kila asomaye huelewa anachokisoma na ndio maana kuna Divisions....wewe yako ni Div 4[emoji809] .
 
Ni ushauri tu!

Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.

Walianza na Mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.

Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Raisi.

Ulipiga simu live uwanjani,ambapo pamoja na kutoa Pongezi,lakini pia ulichangia kiasi cha Milioni 15.
Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.

*siku iliyofuatia pale baada ya mechi,kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.

*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani,kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
Kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi,mbele ya maafisa Polisi,bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.

Movie iliendelea tena Jana pale uwanja wa Taifa.

GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC-PREMIERE.
BainaYanga na KMC.

Kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.
Tukio lenye heri pia.

Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).

Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.

Nimeyatumia hayo machache kama mfano.

Maoni yangu mimi!

Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma,katika awamu ya nne.

Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre.
Bado tuna kumbukumbu na matukio yao.

Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.

Haya mambo yalipelekea mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).
Na mpaka sasa yuko ughaibuni.

Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.

Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.

Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.

Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.

Bado kuna mgogoro wa udhamini wa ligi kuu ya NBC-PREMIERE kati ya GSM na TFF Uko mezani.

Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo,kama mkataba unavyotamka.

Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.

Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na Uhuni.

Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.

Hii pia Itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.
Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.

Naye atachafuka nao.......

Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........

Nimewakilisha kama....

commonmwananchi
10101.
Ramli chonganishi

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wamepiga sana risasi watu wasio na hatia hawana tofaut na bashite tu

Walimteka jamaa alimpa mimba dadaao

Wajanja walichoka na sinema zao wakamwagia tindikali kakaao alikuwa anaitwa said akaenda kutibiwa south Africa, sijui yuko wapi saiv
Alikimbia nje ya nchi mpaka sasa yuko huko mkuu!
 
Makonda nae ni walewale mkuu
Makonda sio msafi
GSM sio msafi

Humu kuna nyuzi nyingi sana zinazowataja hao wote historia zao kuwa sio watu wazuri gsm na makonda pia

Tatizo huu uzi watu wanaleta u simba na u yanga bila kufwatilia ukweli aliouleta mleta uzi
Uko sahihi mkuu!
Mimi nimeangalia ki taifa zaidi ya u simba na yanga.

Hawa watu sio wasafi kihistoria.
Sasa nashangaa hivyo vyombo vyenye dhamana ya kuhakikisha Mh Rais haingizwi mkenge.
Kama vinatimiza wajibu wao au la!
 
Huu uzi umejaa ubaguzi na udini. Yule kichaa mwenzenu Mtikila na ubaguzi, udini na chuki zake zilimfikisha wapi? Leo mmeshamsahau.
Wewe ni kijakazi wao GSM labda ndio maana umeuona kwa jicho lako la tumbo look!

Hapo chini nimekuonyesha mfano mdogo tu wa malalamiko ambayo yamo humu humu JF.
JamiiForums1437539913.jpg
JamiiForums771488096.jpg
JamiiForums-752505751.jpg
 
Unafikiri Nyerere hakuwa na Wahindi waliokuwa karibu naye? Mwinyi hakuwa nao? Mpaka yule Mrema akapagawa akiwaita magabacholi na akahama chama kabisa. Hakuna kiongozi asiye karibu na Wahindi au watu wenye hela. Unajidanganya tuu ukifiri.
Hapo umesoma kwa tumbo badala ya macho!
Mimi sijaongelea uzawa wao bali "Uchafu" wao kihistoria.

Wale kina Habib Jamal,Alnoor Kassum na Derek Bryson wa Nyerere walikuwa wazalendo halisi.

Na ndio maana waliitumikia nchi kwa muda wote wa ujana wao.
Wakiwa bega kwa bega na Nyerere.
Usiwafananishe na vitu hivi vya ajabu ajabu.
Tafadhali.
 
Sasa hivi Uchumi mzuri..wewe binafsi umenufaika na lipi kama wewe?
Uchumi mzuri lazima na wewe ushiriki kuzalisha. Pimbi mkubwa voicer unakaa kwa shemeji yako kazi kunuanga'anyana remote na watoto wa dada yako sebuleni. Huwezi kuuona ukibadilika
 
Sawa tumekuelewa mkuu ila awakumbatie type ya kina Bashite, Sabaya na Mnyeti!!!
Sakata la forgery huwa linafanya watu waweweseke sana!!
 
Ni ushauri tu!

Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.

Walianza na Mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.

Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Raisi.

Ulipiga simu live uwanjani,ambapo pamoja na kutoa Pongezi,lakini pia ulichangia kiasi cha Milioni 15.
Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.

*siku iliyofuatia pale baada ya mechi,kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.

*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani,kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
Kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi,mbele ya maafisa Polisi,bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.

Movie iliendelea tena Jana pale uwanja wa Taifa.

GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC-PREMIERE.
BainaYanga na KMC.

Kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.
Tukio lenye heri pia.

Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).

Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.

Nimeyatumia hayo machache kama mfano.

Maoni yangu mimi!

Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma,katika awamu ya nne.

Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre.
Bado tuna kumbukumbu na matukio yao.

Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.

Haya mambo yalipelekea mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).
Na mpaka sasa yuko ughaibuni.

Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.

Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.

Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.

Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.

Bado kuna mgogoro wa udhamini wa ligi kuu ya NBC-PREMIERE kati ya GSM na TFF Uko mezani.

Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo,kama mkataba unavyotamka.

Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.

Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na Uhuni.

Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.

Hii pia Itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.
Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.

Naye atachafuka nao.......

Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........

Nimewakilisha kama....

commonmwananchi
10101.

Rais Samia, jitenge na GSM halafu Atanijibu nini JK?​

Iko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.

Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
inatakiwa ukamatwe haraka ukapigwe risasi za kichwa, we Ni muhaini mbwa wewe!
 
Karibu sana kiwandani. kiwanda cha uzushi
 
Back
Top Bottom