Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

ON THE POSITIVE NOTE; remember US government put these proposes on the back burner due to Covid 19. So watch out for new regulations in the coming months.
In December 2020, FinCEN proposed a new data collection requirement for persons responsible for managing cryptocurrency exchanges, digital assets, DTLs, and crypto payments and on certain private digital wallets.
If implemented, the regulation would also require exchanges to submit suspicious activity reports (SAR/CTR) for transactions (over the current threshold of $10,000) and require non-registered financial institutions or MSB wallet owners to identify themselves when sending $3,000 or more in a single or series of linked transactions.

The Justice Department continues to coordinate with the SEC, CFTC, and other agencies over future cryptocurrency regulations to ensure effective consumer protection and more streamlined regulatory oversight. However, with the Covid-19 crisis hampering (yet adding urgency to) efforts to advance cryptocurrency regulation, the federal approach continues to be gradual. Despite setbacks, US lawmakers remain keen to bring cryptocurrencies under regulatory oversight in anticipation of their potential destabilizing effect on the globally dominant US dollar, and of the impact that private and centrally banked currencies might have.

[\QUOTE]
 
Lkn nadhani mama ameitaja tu Bitcoin na crypto currency kama mfano. Alimaanisha sarafu mtandao kwa ujumla
Fafanua,sarafu mtandao ndio nini? Au unamaanisha major currencies? Lakini BTC sio mojawapo.
 
Pumzika kwa Amani JPM huku tushauzwa baba

Hili sio Pengo lako linaonekana bali Mapengo yako yanaonekana wazi wazi.

Kuna mambo hayahitaji usomi wa Elimu ya juu ila leo hii yanafanywa na uliowaachia Nchi.

Niko nasumbuana chenchi na konda leo hii mniletee habari zenu za mahela ya triple six,niachwe kidogo ntakua wa mwisho kuingia huko.
 
kwani nch ilikuwa ya kwake binafsi
 
Mama Rais wangu Samia Suluhu, mambo ya digital Currency tusikimbilie kwanza, ni fedha ambazo ni very unstable, leo unaamka iko juu, kesho mwenye share kubwa kafa au kasema negative about future hela inashuka kama upepo.. Tusikimbilie kabisa
 
cryptocurrency itakua inahitaji mbolea nyingi zaidi ya kukuzia na kupandia

Kwa mjini na kwa watu wenye kuelewa inawezekana. Ila ni asilimia ngapi? Kama mpaka leo hii kuna mamilioni hawawezi kutumia simu kwa Mpesa na Tigo pesa? Wanategemea msaada wa watu wengine.
Halafu mkonga wa Taifa wa majadiliano, lini utasogeza huduma zake majumbani? Tunahitaji internet ya speed kubwa na ya uhakika, kwa gharama nafuu. Hili lengo litafikiwa lini? 5G technology imeanza, sisi bado tunaendelea kutumia kuchat tu?
Kuna stage za maendeleo hazikwepeki. Hatuwezi kuziruka
 
Pumzika kwa Amani JPM huku tushauzwa baba

Hili sio Pengo lako linaonekana bali Mapengo yako yanaonekana wazi wazi.

Kuna mambo hayahitaji usomi wa Elimu ya juu ila leo hii yanafanywa na uliowaachia Nchi.

Niko nasumbuana chenchi na konda leo hii mniletee habari zenu za mahela ya triple six,niachwe kidogo ntakua wa mwisho kuingia huko.
Mbona yapo hapa kitambo mkuu hata kabla ya jk kuwa raisi meyasikia leo kwa mama hata tukiyakataa yalimo yamo

534597CC-AA96-4B51-BB31-3CEE67D5CF3D.png
 
Pumzika kwa Amani JPM huku tushauzwa baba

Hili sio Pengo lako linaonekana bali Mapengo yako yanaonekana wazi wazi.

Kuna mambo hayahitaji usomi wa Elimu ya juu ila leo hii yanafanywa na uliowaachia Nchi.

Niko nasumbuana chenchi na konda leo hii mniletee habari zenu za mahela ya triple six,niachwe kidogo ntakua wa mwisho kuingia huko.
Huna akili
 
Wanachoshindwa kuelewa watu ni kwamba katika kila karne mfumo wa pesa unabadilika.

Kuna miaka biashara ilikuwa ilikuwa inafanywa kwa kubadilishana bidhaa au goods (barter trade)

Ikaingia mfumo wa dhahabu na madini mingine. Watu wakawa wanatumia dhahabu na silver kununua bidhaa (1000 Bc)

Ukaingia mfumo wa notes (7th century) watu wakawa wanatumia notes kama mfumo mpya wa pesa.

Ukaja mfumo wa credit cards (1950)

Na ikaanza crypto currency (2008) kama mfumo mpya wa pesa. Ambao mfumo huo hauna 3rd party. Ni kwamba nikitaka kutuma hela kutoka kwangu kwenda kwa mtu mwengine haina haja ya kupita kwa mtu wa kati (bank) ina maana hela hiyo itaenda direct bila makato yoyote na bila serikali kuweza kujua transaction hiyo. Mfumo huu unakuwa kwa kasi sana, kuanzia 2019 hadi 2026 mfumo huo wa pesa utakuwa kwa asilimia 30% kwa mwaka.

Sasa, kwa yeyote anaefikiria kama huu ni utapeli basi amekosea lakini cha kushauri ni kwamba, asie na ujuzi kuhusu maswala haya ya cryptocurrency basi ni vyema kuachana navyo kwa sasa au ni bora kujifunza.

Wale wanao kwapua pesa za watu kwenye account zao kwavisingizio vya kodi watafute kazi za kufanya mbeleni
 
Kwa hawa IT wetu na weledi wa majeshi ya ulinzi na usalama sijui kama watamudu consequences za cryptocurrencies katika cyber crime.
 
Wewe ndiyo huelewi. Kwamba huu mfumo bado haujakubalika hata na central banks za Developed World na all of ther financial institutions. Na hiyo mifumo uliyoitaja haikuangaliwa kwa magutu magutu kama hii cryptocurrency ambayo it is all over the place. Kuna watu wakitia neno tu basi inaanguka kwa 50% au hata zaidi.
Hiyo currency ni hatari sana kwa mfumo wa malipo wa dunia na mfumo huo utayumba sana kama cryptocurrency itakubalika na central banks na financial institutions.
Imagine leo unamlipa mtu malipo yake yote ya sawa na $1,000,000 kesho kutwa anakwambia by the way kama ujuavyo kabla sijapokea hiyo pesa thamani yake ilishuka Kwa 60% hivyo ulicholipa ni 40% tu hivyo bado nakudai $600,000
Wanachoshindwa kuelewa watu ni kwamba katika kila karne mfumo wa pesa unabadilika.

Kuna miaka biashara ilikuwa ilikuwa inafanywa kwa kubadilishana bidhaa au goods (barter trade)

Ikaingia mfumo wa dhahabu na madini mingine. Watu wakawa wanatumia dhahabu na silver kununua bidhaa (1000 Bc)

Ukaingia mfumo wa notes (7th century) watu wakawa wanatumia notes kama mfumo mpya wa pesa.

Ukaja mfumo wa credit cards (1950)

Na ikaanza crypto currency (2008) kama mfumo mpya wa pesa. Ambao mfumo huo hauna 3rd party. Ni kwamba nikitaka kutuma hela kutoka kwangu kwenda kwa mtu mwengine haina haja ya kupita kwa mtu wa kati (bank) ina maana hela hiyo itaenda direct bila makato yoyote na bila serikali kuweza kujua transaction hiyo. Mfumo huu unakuwa kwa kasi sana, kuanzia 2019 hadi 2026 mfumo huo wa pesa utakuwa kwa asilimia 30% kwa mwaka.

Sasa, kwa yeyote anaefikiria kama huu ni utapeli basi amekosea lakini cha kushauri ni kwamba, asie na ujuzi kuhusu maswala haya ya cryptocurrency basi ni vyema kuachana navyo kwa sasa au ni bora kujifunza.

Wale wanao kwapua pesa za watu kwangu kwenye account zao kwavisingizio vya kodi watafute kazi za kufanya
 
Adopting Bitcoin as legal tender a risky move: Moody’s​

El Salvador’s decision to legalize crypto has systemic, stability implications
cryptocurrency

gopixa / iStockphoto.com
El Salvador’s move to adopt Bitcoin as legal tender may threaten the government’s efforts to reach a funding deal with the International Monetary Fund (IMF), says Moody’s Investor Service.
Last week, El Salvador’s legislative assembly approved the world’s first law to designate Bitcoin as legal currency for settling transactions in the country, alongside the U.S. dollar.

A Moody’s report on Monday said the step “carries risks for the financial system, the stability of the country’s monetary regime and signals a lack of a coherent economic framework because the IMF is unlikely to have been consulted about the law while negotiating economic and fiscal measures related to the funding program.”

The decision to make Bitcoin legal tender may hamper the government’s negotiations with the IMF over funding, which the rating agency said had stalled over policies to improve governance and transparency.
“In recent weeks, El Salvador’s government has adopted successive measures that undermine governance in the country, raised diplomatic tensions with international partners and risk thwarting progress toward reaching an agreement with the IMF,” it said.
This includes dropping out of an international commission to fight corruption and replacing five of its Supreme Court judges with justices who are “considered more friendly to the current administration,” Moody’s reported.
As for the move to adopt Bitcoin as legal tender, Moody’s said the government hasn’t “yet properly established a plan for laying out the infrastructure and regulations needed to manage all Bitcoin transactions in the economy.”

“Although the potential effect on the banking system is largely uncertain and will depend on the specific details of the digital currency’s implementation and the appetite for its acceptance, adoption will likely increase Salvadoran banks’ disintermediation risk as some deposits shift into Bitcoin,” the report said. “This would add pressure to their profitability as funding costs increase in the wake of a substitution and as they face more competition in their payments and transfer businesses.”
Unlike proposals to create central bank digital currencies, Bitcoin “is inherently more volatile and could be slower than centrally processed payments, which could be a disincentive to its usage and mitigate some of the risks for banks,” the report said.
However, Moody’s also noted that “a significant share of Salvadorans” are outside the existing banking system, so designating Bitcoin as legal tender could encourage its adoption in that segment of the population.
Ultimately, “acceptance will depend on the characteristics and transaction costs associated with the new payment platform,” it said.

Wanachoshindwa kuelewa watu ni kwamba katika kila karne mfumo wa pesa unabadilika.

Kuna miaka biashara ilikuwa ilikuwa inafanywa kwa kubadilishana bidhaa au goods (barter trade)

Ikaingia mfumo wa dhahabu na madini mingine. Watu wakawa wanatumia dhahabu na silver kununua bidhaa (1000 Bc)

Ukaingia mfumo wa notes (7th century) watu wakawa wanatumia notes kama mfumo mpya wa pesa.

Ukaja mfumo wa credit cards (1950)

Na ikaanza crypto currency (2008) kama mfumo mpya wa pesa. Ambao mfumo huo hauna 3rd party. Ni kwamba nikitaka kutuma hela kutoka kwangu kwenda kwa mtu mwengine haina haja ya kupita kwa mtu wa kati (bank) ina maana hela hiyo itaenda direct bila makato yoyote na bila serikali kuweza kujua transaction hiyo. Mfumo huu unakuwa kwa kasi sana, kuanzia 2019 hadi 2026 mfumo huo wa pesa utakuwa kwa asilimia 30% kwa mwaka.

Sasa, kwa yeyote anaefikiria kama huu ni utapeli basi amekosea lakini cha kushauri ni kwamba, asie na ujuzi kuhusu maswala haya ya cryptocurrency basi ni vyema kuachana navyo kwa sasa au ni bora kujifunza.

Wale wanao kwapua pesa za watu kwangu kwenye account zao kwavisingizio vya kodi watafute kazi za kufanya
 
World Bank rejects El Salvador request for Bitcoin help​

The World Bank has rejected a request from El Salvador to help with the implementation of Bitcoin as legal tender.
The international lender cited concerns over transparency and the environmental impact of Bitcoin mining.
Earlier this month, the Central American country announced plans to become the first nation to formally adopt the digital currency.
It aims to use Bitcoin as a parallel legal tender alongside the US dollar.
The World Bank's decision could mean the country faces problems in hitting its deadline to ensure that Bitcoin is accepted nationwide in the next three months.

MORE: World Bank rejects El Salvador Bitcoin request - BBC News
 
Kwa hawa IT wetu na weledi wa majeshi ya ulinzi na usalama sijui kama watamudu consequences za cryptocurrencies katika cyber crime.
IT sio lazima kutumia wakwetu wako online wanatengeneza wallet za btc kwenye website gate ways kwa mda nfupi mno

Police watajua tu kulingana na mazingira na vigezo vya kuajiri inabidi wapitie upya
 
Wewe ndiyo huelewi. Kwamba huu mfumo bado haujakubalika hata na . Na hiyo mifumo uliyoitaja haikuangaliwa kwa magutu magutu kama hii cryptocurrency ambayo it is all over the place. Kuna watu wakitia neno tu basi inaanguka kwa 50% au hata zaidi.
Hiyo currency ni hatari sana kwa mfumo wa malipo wa dunia na mfumo huo utayumba sana kama cryptocurrency itakubalika na central banks na financial institutions.
Imagine leo unamlipa mtu malipo yake yote ya sawa na $1,000,000 kesho kutwa anakwambia by the way kama ujuavyo kabla sijapokea hiyo pesa thamani yake ilishuka Kwa 60% hivyo ulicholipa ni 40% tu hivyo bado nakudai $600,000
Bado ujailewa vizuri nikikutumia nisawa na email au msg ya what’s umeisha pokea pesa ukitaka ukaeno yako wallet mimi mtumaji inanihusu nini?

Kuhusu central banks za Developed World na all of ther financial institutions nikuitambua tu nakuiwekea nfumo wa kisheri sio kwamba wataifanyia modification yoyote inabaki kama ulivyo

Nfano leo nikitaka kuuza au kunua inabidi ninunue kwenye website baada ya kutambuliwa nakuwa na option ninunue wapi kulinga na rate mzuri au niuze wapi kulingana na rate kati ya bank au online
 
Back
Top Bottom