bitcoin


 1. Z

  Bitcoin Value Drops to $0

  So you thought Bitcoin is the best investment because it is alleged nobody controls it. Well it almost became worthless recently due to a bug that has now been patched. Who knows what will happen next time there is such a bug. “Developers of Bitcoin Core – the software used to power the Bitcoin...
 2. maliselo22

  Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

  1.Mwendo wa soko ;) Soko la cryptocurrency kwa kawaida lina kasi kubwa au mzunguko mkubwa kulinganisha na forex kwa mfano bitcoin inaweza kupanda bei kwa lisa na kushuka bei kwa lisa,hivyo basi kuna faida yake na hasara yake.lakini kwa upande wa forex soko mwendo wa soko upo taratibu ,lakini...
 3. Y

  Fursa ya uwekezaji katika sarafu ya BETCHIP chini ya kampuni ya maggelan international

  Betchip ni sarafu ya kidigitali mpya ambayo imeanzishwa mwaka 2018 mwez wa kwanza ambayo inachimbwa na kampuni ya meggelan international.sarafu hiii imetengenezwa kutumika katika shuhuli mbalimbali ikiwa ni kufanyia manunuzi mbalimbali kupitia mtandaoni pia kwaajili ya uwekezaji. Kampuni ya...