Uwezi kupokea pesa ukiwa bongo japokua Safaricom ya Kenya unapokeaSawa Mkuu, kwahiyo kumbe ukiwa na PayPal account huwezi pokea pesa ukiwa Bongo si ndio? Yaani account unakuwa nayo ila kwenye kupokea pesa ndio haiwezekani? Naomba unieleweshe zaidi, maana mie nachofahamu ni kuwa, kuna PayPal account na Bank account unayoweza link na PayPal account. Unaweza kuwa na pesa kwenye PayPal account na bado usitake kuzihamisha pesa kwenda kwenye Bank account.
China juzi juzi imepiga marufuku Cryptocurrencies kutoka na sababu mbali mbali. Tesla nayo imetengua uhamuzi wake wa awali wa kukubali malipo ya crypto.
Crypto inakubalika nchi kama El Salvador ambayo inanuka rushwa!!
Mama asikimbilie hayo mambo, bado machanga sana na bado yako volatile sana. Nchi nyingi zilizoendelea bado hazijaruhusu hizo currency so hakuna haja ya kukimbilia.
Bitcoin yule jamaa wa Tesla Elon akiongea vibaya inaporomoka thamani, akiongea vizuri inapanda thamani, sasa currency gani iko weak namna hiyo inategemea kauli za wavuta bangi kama wale[emoji23]?

Dah! kuna binadamu mmekosa shukrani,aliyekuambia kila kitu kitafanywa na JPM ni nani?unajuaje maamuzi ya SSH kwenye hili ni mawazo ya mtangulizi wake?Ametisha sana mama ktk hili.
Siyo kama mwendazake alikaa kizamadamu sana yule.
Yani kama wasengerema wabongo full uoga na kutokujiaminiMtu anakwambia usifanye hivi sababu wengine hawajafanya. Kwani ni kinyesi hicho kuwa kila binadamu lazima anye? Wajuzi wa mambo nchini wakae waangalie tuone tunajiingiza vipi kwenye ulimwengu wa kisasa kwa tahadhari.
Mpuuzi mwingine yupo hapaBitcoin kama QNET tu, hamna kitu cha maana huko.
Hi
wana ccm kutoa raisi wanapenda analog kwasabu ya ulasimu na wizi na Ndio maana na wachukia wanarudisha maendeleo nyuma
Mtu anayependa mifumo ya kizamani anaweza kuwa nchawi anataka watu wapange foleni ili atupie majini
ukiangalia bajeti zao na mawazo yao ya ki analogia ukiwaambie turushe satellite kwajili ya mawasiliano wazee wana analog wataanza ku google na kuliza hiyo satellite inabeba watu wangapi wanafikiri ni bomba dia hawa jamaa akili zao wanazijua wao
Nimegundua kitu huyu mama ni mwepesi sana kumdanganya, naona kabisa tunapoelekea vitaruhusiwa vitu ambavyo hata shetani mwenyewe anaviogopa
Kupanda na Kusha nikawaida hata dolla upanda na kushuka kulingana na demand
Kuhusu utapeli iko hivi kwanfano matepili waweza kuingi kwenye Database ya system ya bank kisha wanatia password yao nakuweka ujumbe kwamba mkitata tuachilie system yenu tuma bilioni moja kwenye Address hii ya btc tuachie system yenu isipungue hata mia
Kisha wanakaa kimya wanajua bank wakipoteza saa moja bila kutoa huduma usumbufu utakua nkubwa sana lazima bank itatuma hicho kiasi cha pesa
Baada ya kutuma vyombo vya ulinzi na usalama waneza ku track na kupata IP address ya mpokeaji kama hatumii VPN
Swalilangu kati ya VPN na sarafu kipi ni kikwakozo kwa mpelelezi?
Wakiweza kuzuia matumizi ya VPN nadhani utakuwa mwisho wa utapeli kwa kutumia sarafu
Bongo mtu anaenda kwa wakala anasajili line kwa alama za vidole anajilipua na kutepeli watu kila siku na pokea msg za tuma kwenye namba hii hawa nao Vipi wanatumia sarafu?

Utawapata ongezea mbwembwe za slangI am coin based basically cryptocurrency, scarface...join us its gotta be more of us

1Bitcoin=$35,6000Bitcoin kama QNET tu, hamna kitu cha maana huko.
Yule mzee wa Namanyere aliyetumiwa smartphone na kijukuu chake nani alimfunza kuchat whatsapp?Yaani mi niwe na cash halisi/ benki halafu kuna jamaa naye anashinda mitandaoni kwa magumashi mara uit wake then heti inatambulika rasmi!!
Tunahitaji elimu zaidi hili tuwe na common understanding kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa hajaevolve bado to Homosapiens, kuna viumbe katika same species huwa wanachelewa kuevolve, Alikuwa bado Homohabilis
Dj Khalid ft Nas Escobar.I am coin based basically cryptocurrency, scarface...join us its gotta be more of us