GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara leo Ijumaa Oktoba 10, 2025. Dkt. Samia ameambatana na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Asharose Migiro na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Tanzania Bara Mzee Stephen Wasira.

Pia Soma:Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi
1760088490653.png

1760088515816.png

1760088554153.png
 
Write your reply...chizi hakuwepo?
Pale ambapo unamwaga damu za watu na kuteka watu halafu unaenda kujifanya mwana kondoo kwa kuweka mashada ya maua kwenye makaburi ya waasisi wa nchi hii..haisaidii kitu.
 
Andrew ina maana kapuuza kwanin uende kwenye kaburi la ukoo sio wako kwa lazima?

Why?
How?
 
Afahamu tu Nyerere katika maisha yake yote hajawahi kuwa rafiki wa Wahuni.
 
Anapenda mashindano kama wamama wa uswahilini yombo vituka 🤣🤣🤣🤣
 
Anapenda mashindano kama wamama wa uswahilini yombo vituka 🤣🤣🤣🤣
Mamamamae, ndo mtabaki hivi hivi na maneno ya kwenye vijora. Si mlisema asiende?!! Huyo kafika.......🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom