Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

Msimamo wa waziri wa afya na naibu wake kipindi cha awamu ya tano ndiyo unaowaponza na kuonekana wanafanya kazi kwa kufuta upepo unavyokwenda.Hili kwa mtalaam wa mambo inaleta shida .kama kipindi kile wangemgomea JPM kwamba hamna kitu kinachoitwa kujifukiza au wakamwelekeza kuhusu chanjo Leo wasingepata upinzani kama wa sasa.

Na hili swala la chanjo pia wanasiasa kama wanataka kuendelea kuheshimika mjini na vijijini wangekaa pembeni wawachie watalaam wa afya wao ndiyo wandeleze kampeni maana wao hawana LA kupoteza.Utalaam wao utabaki pale pale hats ikigundukika siyo salama sana au haifanyi kazi kama tunavyotegemea chanjo kifanya kazi.
Wanasiasa mzuri na mtendaji ni yule amabaye yuko consistent.

Mfanyo kwenye hii chanjo ya covid ,ningekuwa Mimi ningefanya hivi:let us say mie ndiye waziri wa afya au naibu wake

Jamani mnakumbuka swala LA kujifujikiza na kutumia kovidol nk.sasa kipindi kile ile corona haikuwa Kali sana kama ya sasa hivi.na kipindi mile chanjo bado ilikuwa hajikubarika kiviiiile.sasa limekuja wimbi Kali sana.kujifukiza japo kunasaidia lakini siyo sana kwenye wimbi hili.sasaaa Pamoja na kujifukiza ,kutumia kovidol sijui Nimricaff ,chanjo imekuja na inaonekana inauwezo wa kupambana na covid 19 ,tunashauri twende tupate na chanjo kwa hiari yetu.Hii nafikiri itatusaidia sana sana.lakini pia tusiache kusali,kunawa mikono,kuvaa barakoa,kula matunda kwa wingi ,kuota jua na kufanya mazoezi.na unapohizi umeambukizwa ugonjwa huu ,usiwe na hofu.Nenda hospitali upate ushauri zaidi.sawa jamani.


Kwa kufanya hivyo utawapata wafuasi wa Hayati JPM ( 54-85 voters) na wafuasi wa mh rais SSH.lakini kama mtaendelea kutumia mabavu nakwambia mtafeli sana tena sana.
 
Awamu ya tano hata Rashid alisema ule mkono kwenye picha ya mrembo ni wa bouncer. Sasa hivi anasema hakuna shida yeyote kutoka na mrembo.
 
Back
Top Bottom