Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

Hili pambano Gwaji girl anapoteza!!?
hakuna kosa la jinai hapo kuwa involve polisi...
labda madai /defamation
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Bishop Gwajima hataki tena kuwa Mbunge, dhambi ya wizi wa kura inamtafuna, aliyemuweka madarakani(sponsor) hayupo tena. Namna pekee ya kufanya ili afukuzwe ni kufanya mambo yasiyovumilika.Hizi kelele anazopiga ni style ya pepo aliyemwingia kutoka.
 
Mbunge wangu Gwajima ndio anafanya utoto akimkwaza Rais Samia na serikali yake.

Anaongea mambo ya kitaalam huku akiwa haelewi zaidi ya nusu ya hayo anayoyasema.

Hizi sio chanjo za kwanza kuingizwa miilini mwetu tangu nchi hii ianze kuwepo, haingii akilini chanjo zile za zamani hazijatuathiri halafu hizi za covid ndio ziwe na nia mbaya kwetu.
 
Kweli kabisa. Gwajiboy hakupaswa kuropoka ropoka. Yeye kama hataki chanjo kimpango wake sio kupayuka payuka. Kila mtu ana maaumuzi ya kufanya sasa kila asiyetaka chanjo akipayuka patakalika kweli.

Anayechanjwa achanjwe asiyetaka asichanjwe lakini kila siku kuongelea na kuponda juhudi za wengine kutaka kujiokoa ni UTOTO kabisa.
 
Wewe ndo zero kabisa! Yaani chanjo zingine ulizochanjwa ziko sawa na hii?

Uliwahi kujaza consent form hizo chanjo zingine?
Unajua hizo chanjo zingine zilichukua miaka mingapi mpaka zilipoanza kutumika?

Madaktari wenyewe wameshindwa kumjibu Gwajima kitaalamu, wewe umebugia chai viazi ndo na wewe unamzodoa Gwajima 😂😂
 
Kweli kabisa. Gwajiboy hakupaswa kuropoka ropoka. Yeye kama hataki chanjo kimpango wake sio kupayuka payuka. Kila mtu ana maaumuzi ya kufanya sasa kila asiyetaka chanjo akipayuka patakalika kweli.
Anayechanjwa achanjwe asiyetaka asichanjwe lakini kila siku kuongelea na kuponda juhudi za wengine kutaka kujiokoa ni UTOTO kabisa.
Yeye anaongea akiwa Kanisani na waumini wake,kina kuuma Nini?
Yeye ameuliza maswali ameomba ajibiwe,hajajibiwa bado.

Au wewe Kama unamajibu mjibu basi. Hizo short term na long term za hiyo chanjo ni zipi?

Kwanini achomwe chanjo ikiwa hata akichanjwa bado ataambukizwa na kuambukiza na hata kufa kwa Corona?

Je hi chanjo ya Sasa inaweza kumkinga na huyu Delta, maana ni chanjo ya mdudu yule wa Kwanza?

Jibu Sasa wewe mwerevu kumzidi Gwajima.
 
Yeye anaongea akiwa Kanisani na waumini wake,kina kuuma Nini?
Yeye ameuliza maswali ameomba ajibiwe,hajajibiwa bado.

Au wewe Kama unamajibu mjibu basi. Hizo short term na long term za hiyo chanjo ni zipi?

Kwanini achomwe chanjo ikiwa hata akichanjwa bado ataambukizwa na kuambukiza na hata kufa kwa Corona?

Je hi chanjo ya Sasa inaweza kumkinga na huyu Delta,maana ni chanjo ya mdudu yule wa Kwanza?

Jibu Sasa wewe mwerevu kumzidi Gwajima.
Na wewe mropokaji basi tuseme umeshinda
 
Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?

Kwa nini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya?. Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.

Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya wafanye kazi zao na si kuhangaika na uongo waliouanzisha wao.

Mama punguza "CHAWA" kwenye Cabinet yako, wanakudhalilisha

INA'MAKE SENSE'!
1629267470417.png
 
Sisi tunavyojua ni kwamba hakuna kitu kinachoitwa Corona,kama wanataka kuchanja watu wakachanye familia zao,hachanjwi mtu hapa.
 
Huyu mama sijuhi kwanini alipewa uwaziri,ana makelele sana kama kigagura,Swaga nyingi,masihara Mengi!!
Amejaa mipasho tu,anavyoongea utafikiri Mzalamo yupo kwenye ngoma ya mdundiko,Huyu mama,Kitira mkumbo,Kabudi,Mwigulu,mijitu imejaa masihara matupu.
Huyu mama anadai "amehapa mbele ya majeshi yote"anatoa maagizo kwa jeshi la polisi limkamate Raia!what a stupid comment
Kuhapa=kuapa
 
Wa Bongo bwana!! Mtu akiteuliwa wanavyomwaga Sifa. Halafu baada ya muda wanaanza kama hivi Mara Chawa, Mara Jipu nk nk. Nakumbuka teuzi za kina Kabudi, Molel, Mulamula na wengine wengi tu.

Kuna huu uteuzi wa juzi nao wa balozi anayekwenda Marekani yaani ni full kusifia na kutupia ma CV humu.

Keshokutwa akiteuliwa mfano IGP Mpya tutasikia humu " huyu ndio mwenyewe, Msomi wa Harvard University sio vyuo vya ajabuajabu, alimaliza Mzumbe akapata 1 ya 3.

Tuwege na subira .
 
Hii ni KWA Dr.Doroth gwajima pamoja na Dr.mollel.Mnapaswa kukaa pembeni Sasa Ili watu aina ya gwajima wawaelewe na hatimae kuchanjwa Sasa,lakini mkiendelea kuleta sura zenu za nyungu na ghafla covid mtaendelea kujiaibisha sana.

Please mama Samia tuondolee hizi comedy za Waziri wa Afya na Naibu wake,Muweke walau Ndungulile aongoze hiyo wizara maana walau yeye alikuepo na akapingana na JPM.

we stand with Askofu Gwajima hata kama yupo wrong,ila ndimi mbili ni kitu kibaya sana KWA kiongozi.
wacha Gwajima awang'ate inaweza saidia siku nyingine wakatumia akili na kuacha mkumbo.
 
Attachments

  • 1629289989815.mp4
    1.8 MB
Back
Top Bottom