Tanzania kushirikiana na Malawi masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)

Jun 4, 2022
68
184
Kufuatia Ziara ya Kiserikali ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Malawi, Nchi za Tanzania na Malawi zimeingia Mkataba wa Makubaliano (MoU) kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) uliosainiwa na Mawaziri husika wa pande zote mbili Nape Moses Nnauye na Moses Kunkuyu Kalongashwa wa kwanza (kushoto)
IMG-20230707-WA0028.jpg
 
Back
Top Bottom