Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

Unataka ajikaguwe Wakati Toka ameanza Kutumia Ndege za Atcl Hajalipa Chochote
.
Anajifanya anaumwa Mgongo mbona Wakati Akiwa Makamu Alikuwa anatumia Gari Kwenda Sehemu Zote.
Anaumwa aisee kiti chake chenyewe cha kukalia lazima wamuwekee kagodoro fulani.....
 
Inawezekana hata hilo deni ni kiini macho,huenda deni la taifa kwa sasa ni T 100,watueleze tu ukweli!
 
Tilion 7 zimetumika kufanyanyia kitu gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pesa hii imetumika kwenye Ujenzi wa madarasa,ukamilishaji wa miradi,ajira mpya,upandishaji madaraja watumishi wa umma,ulipaji madeni kwenye mifuko ya jamii,Ujenzi wa miundombinu ya maji nk.nimekaa ajirani 7 years bila kupanda daraja la mshahara,mama kaingia ndani ya three months nikapanda.

Itoshe tu kusema kwamba mama anaupiga mwingi!!
 
Ripoti ya kirafiki kabisa hii!

Ngoja tujipigie kwa urefu wetu wa kamba!!
 
Report imesema hilo, isome vizuri kama ilivyoletwa hapo juu, na namba zimewekwa kuhusu hilo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
@FaizaFoxy napendaga sana hiyo sentensi yako kuhusu shule. Wabongo wavivu sana kusoma vitu in details
 
Huyu mother ni wa michongo, hapo tumepigwaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Serikali haikusanyi Kodi kwa matajiri kwaiyo tegemeo lake ni kukopa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio sababu kuu ya nchi kuyumba na uchumi kuteteleka na kuishia kukopa ili kufanya mambo ambayo tungeweza kuyafanya kwa pesa zetu za ndani, lakini kwasasa matajiri hawaguswi na wanaendelea kuwanyonya watanzania masikini wasio na kitu hii nchi hii, lakini ata the end wote tutakufa tu hakuna namna.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ikifika 2024 utasikia kuwa Bwawa litakamilika 2026.Taifa linaongozwa na vibaka🚢🚢🚢
 
Chawa kama chawa kwenye ubora wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amemtaka Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa kuwafukiza Kazi watendaji na watumishi watakaobainika kuiba pesa za umma.

Rais alikuwa akizungumza Kuhusu mishahara hewa na watumishi hewa.

Kazi iendelee πŸ‘‡



 
Unateua/kuajili watu kwa vimemo, kada, fadhira, nyumba ndogo, nk. hao utaweza kuwafukuza kweli??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…