Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
I say come up with new insults….something I’ve never heard before.You've probably said that a gazillion times before. Bitch bottom faggot Nyani you better come up with something newer, more imaginative and nastier.
Mashamba ya maua yako eneo gani ndg zangu watanzania? Huku USA river Arusha siyaoniRais anapokea ndege ya Tisa
Taarifa zaidi kukujia
RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga
Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na ndege 9
==
RAIS SAMIA: TUMENUNUA NDEGE YA MIZIGO KWA KUWA UCHUMI UNAKUA
Rais Samia Suluhu amesema sababu ya kununua Ndege ya Mizigo ni kukua kwa uchumi
Amesema kwa sasa Tanzania inazalisha sana maua na mbogamboga hivyo Ndege ya Mizigo ni muhimu
Kapotea kama Meko alivyopotea mpaka mama alipotangaza usiku wa manane kuwa shujaa wa wanyonge kapata kazi mpya ya kuongoza malaika...Haaa! Kumbe Mr haonekani?
Dah!Kapotea kama Meko alivyopotea mpaka mama alipotangaza usiku wa manane kuwa shujaa wa wanyonge kapata kazi mpya ya kuongoza malaika...
Mi nangoja nione kama tutatoka nje ya nchi na hizi ndege... Maana hadi sasa tushashuhudia matangazo kibao ya kwenda China, SA tulukokamatiwa...!!! Na corona imesitiri mengi kwenye ndege hiziRais anapokea ndege ya Tisa
Taarifa zaidi kukujia
RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga
Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na ndege 9
==
RAIS SAMIA: TUMENUNUA NDEGE YA MIZIGO KWA KUWA UCHUMI UNAKUA
Rais Samia Suluhu amesema sababu ya kununua Ndege ya Mizigo ni kukua kwa uchumi
Amesema kwa sasa Tanzania inazalisha sana maua na mbogamboga hivyo Ndege ya Mizigo ni muhimu
Tumwombee Spika wetu. Huwezi jua labda mwendazake kashamteua kwenye timu yake ya uongoziDah!
Uncle JJJohnson And Johnson (J&J) Hii Bhaghosha
Tumuombee naimani atakua poaTumwombee Spika wetu. Huwezi jua labda mwendazake kashamteua kwenye timu yake ya uongozi
He was genius from this!.Hv Nyerere na yeye alikuwa akienda airport kupokea yale maboeing aliyonunua?
Nchi inaongozwa n chama cha hovyo kabisa,hizo ndege ni hasara tupu bado mrembuaji kapigilia suti kupokea zingine...jk katuachia awamu zilizojaa wajingaRais anapokea ndege ya Tisa
Taarifa zaidi kukujia
RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga
Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na ndege 9
==
RAIS SAMIA: TUMENUNUA NDEGE YA MIZIGO KWA KUWA UCHUMI UNAKUA
Rais Samia Suluhu amesema sababu ya kununua Ndege ya Mizigo ni kukua kwa uchumi
Amesema kwa sasa Tanzania inazalisha sana maua na mbogamboga hivyo Ndege ya Mizigo ni muhimu
Mimi nikajua ni BoeingRAIS SAMIA: TUMENUNUA NDEGE YA MIZIGO KWA KUWA UCHUMI UNAKUA
Nimeshangaa aiseeKichwa cha habari yako ni tatizo! Bombadier Q400 ndo iwe ndege ya mizigo kweli?
Hajasema hivyo wewe ulikua unasikiliza video ipi aliyosema kanunua ndege sababu uchumi umekua? Ndege ya mzigo ilinunuliwa na magufuli (wanasubiri ije) kasema kama uchumi utakua vizuri wataongeza nyingineRais anapokea ndege ya Tisa
Taarifa zaidi kukujia...