Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 723
- 652
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
4 Septemba 2024: Rais Samia Mkutano na Xi Jinping, China
Tarehe 4 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Beijing, China, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China katika ukumbi wa Great Hall of the People.
Mkutano huo ulifanyika wakati Rais Samia akishiriki Mkutano wa Kilele wa FOCAC 2024 (Forum on China-Africa Cooperation). Mazungumzo yaligusa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kimkakati kati ya Tanzania na China. Mwaka 2024 pia uliadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China.