Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.