PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Leo mama akiwa amevaa kofia ya Urais amewadanganya Wazee wa mkoa wa Dar es salaam waziwazi bila woga wala aibu .

Mfano ni kuhusu zoezi la uchaguzi na idadi ya kura.

Huu ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Kusema Uongo
 
Ni wazee wa dar. Waache wadanganywe. Sisi wazee wa mitaa ya mkendo hapa musoma tusingedanganywa kirahisi.
 
Back
Top Bottom