Rais Samia amwalika Rais Kenyatta kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 60 za Uhuru wa Tanzania

... "... ana kifua .." sifa muhimu sana ya diplomat! Kutukanatukana mataifa na raia wa kigeni sio diplomasia ni ushamba na ukosefu wa weledi wa kidiplomasia. By the way, unaonekana mwehu tu!
jpm aliwaweza.

unafiki ni kitu kibaya sana kwenye nchi masikini kama hizi za daraja la 4.
 
Lkn tunatakiwa tuzingatia uchumi pia wa nchi yetu,wakati wa utawala wa kikwete tanzania lilikuwa dampo la bidhaa za kenya,lkn kwenye utawala wa awamu ya tano,serikali ilikuwa ikivilinda viwanda vya ndani dhidi ya bidhaa toka nje,hivyo tunatakuwa tuendelee kuvilinda viwanda vyetu na wafanyabiashara wetu
Huyu mama anapenda ku compromise Sana. Yani tunarudi kule kule kwenye kila kitu ruksa. Ilifikia mahali kwenye utawala wa awamu ya nne kampuni ya maziwa ya kenyatta, ilikuwa inakusanya maziwa Tz wanakwenda kuprocess kisha wanayarudisha tena kama finished product. Baada ya JPM kuja, upuuzi huo ulikoma, wa Kenya ni kwenda nao kwa akili Sana.
 
MAMA anatakiwa kucheza vzr sana ktk mechi hii,akitaka kumfurahisha nyani,atavuna mabua,kipindi cha utawala wa awamu ya 4,ukiingia dukani asilimia 90 ya zoote zilikuwa ni kutoka kenya,awamu ya tano ni tofauti kabisa,utawala wa jpm ulikuwa na mwelekeo mzuri sana kiuchumi,na serikali ilikuwa kweli ikiwalinda wafanyabiashara wake,
 
Kune sentiments za kibaguzi zinatolewa kuhusu Rais Mzanzibar kutawala TANZANIA hili haiina shida kwani anatawala Tanzania sio Tanganyika. Hakuna nchi inayoitwa Tanganyika bali kuna nchi inaitwa Tanzania. Ndani ya Tanzania kuna serikali mbili nazo ni Serikali ya Muungano na serikali ya Zanzibar period.
 
Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021.

Rais Kenyatta amekubali ombi hilo.

===

Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December, Tanzania tunatimiza miaka 60 ya uhuru wetu na hivyo nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Uhuru Kenyatta awe mgeni rasmi katika maadhimisho yale ya miaka 60 ya uhuru wetu.


Kazi Iendelee!
Bibi Mkora nchi ishamshinda hii.
 
sindo hawa walisainishana mikataba fulani wawili tu,kimya kimya na mpaka Leo hatujui ,alisaini nn ,jmn haka kataifa kana watu wasumbufu aise!!duuuuh unaweza kuugua ukichaa ukikawazia sana.,bola ule bata tu.
 
sindo hawa walisainishana mikataba fulani wawili tu,kimya kimya na mpaka Leo hatujui ,alisaini nn ,jmn haka kataifa kana watu wasumbufu aise!!duuuuh unaweza kuugua ukichaa ukikawazia sana.,bola ule bata tu.
...ukiyawwza sana utaugua cardiac arrest....Hapa ni kuishi kwa mwendo wa BIA TAMU..
 
Back
Top Bottom