Rais Samia amwalika Rais Kenyatta kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 60 za Uhuru wa Tanzania

Mwanzo mzuri wa kukua kwa diplomasia ya Tanzania iliyokuwa imefikia kwango cha chini kabisa (2015-20) kuliko wakati wowote tangu uhuru! Liberata Mulamula kazini!
Lkn tunatakiwa tuzingatia uchumi pia wa nchi yetu,wakati wa utawala wa kikwete tanzania lilikuwa dampo la bidhaa za kenya,lkn kwenye utawala wa awamu ya tano,serikali ilikuwa ikivilinda viwanda vya ndani dhidi ya bidhaa toka nje,hivyo tunatakuwa tuendelee kuvilinda viwanda vyetu na wafanyabiashara wetu
 
Katika kasoro zote za muungano hili la Tanganyika kutokuwa na kiongozi tumebugi,inakuwaje Mzanzibari awaongoze Watanganyika katika sherehe za uhuru wao wakati yeye sio Mtanganyika?
Mawazo kama haya hayawezi kukufikisha popote mkuu na sidhani kama ata akiongoza mtanganyika maisha yako yanaweza kubadilika au kuna jambo litaongezeka kwako
 
Imeanza leo,
kwani shida Nini? Kila Jambo Lina mwanzo usihofu anzisha mwendo wengine watafuata..
Kwa hiyo katikati atakaa Kenyatta?Kwenye lile gari la wazi pembeni ya Mabeyo ataingia nalo kenyata? brief za military exhibition atapewa Kenyatta? Wa Kwanza kutoka uwanjani atakua Kenyatta?Hotuba ya Kenyatta itafuata baada ya Samia?

Hamjua mgeni rasmi ndo mkuu Wa hafla husika??
 
Katika kasoro zote za muungano hili la Tanganyika kutokuwa na kiongozi tumebugi,inakuwaje Mzanzibari awaongoze Watanganyika katika sherehe za uhuru wao wakati yeye sio Mtanganyika?
Umenena kweli kabisa

Haiwezekani ni jambo la muda tu

Mchungaji namkumbuka mpigania Tanganyika
 
Yani kamwalika Rais wa Kenya awe mgeni rasmi (the most important guest at an occasion) kwenye Sherehe ya Uhuru wa Tanganyika?? Hii protokali imeanza lini ndugu zangu😳😳😳😳
Kama umezaliwa juzi uliza walio kutangulia,sio kuja na Mshangao kama umedemka kutoka usingizini !!
 
Kama umezaliwa juzi uliza walio kutangulia,sio kuja na Mshangao kama umedemka kutoka usingizini !!
Acha ujuaji Morenja kina Pohamba na wengine waliohudhuria hizi sherehe kabla walikuja kama Wageni rasmi au Wageni waalikwa?
 
Wakuu
Kwanini leo Rais wetu akiwa kenya mpambe alikuwa mwenye jezi za KENYA / MKENYA?
 
Kwa hiyo katikati atakaa Kenyatta?Kwenye lile gari la wazi pembeni ya Mabeyo ataingia nalo kenyata? brief za military exhibition atapewa Kenyatta? Wa Kwanza kutoka uwanjani atakua Kenyatta?Hotuba ya Kenyatta itafuata baada ya Samia?

Hamjua mgeni rasmi ndo mkuu Wa hafla husika??
Sio Mbaaaali ki hivyo ndugu yangu sogeza sogeza kidogo, kiswahili kigumu maneno mengine ni Tata kinoma, ok pale kwenye sherehe za kutimiza miaka 50 kulialikwa wageni maarufu maraisi wa nchi tulikuwa tunawaitaje yaani Avery special guest hapo tu.
 
Ana Uhakika atafika Hyo December 9?
Ha ha ha, hajasema panapo majaliwa
IMG-20210503-WA0011.jpg
 
Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021.

Rais Kenyatta amekubali ombi hilo.

===

Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December, Tanzania tunatimiza miaka 60 ya uhuru wetu na hivyo nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Uhuru Kenyatta awe mgeni rasmi katika maadhimisho yale ya miaka 60 ya uhuru wetu.

Kazi Iendelee!
Bwashee mbona hii ikulu kama ya Dodoma bwashe.
 
Mwanzo mzuri wa kukua kwa diplomasia ya Tanzania iliyokuwa imefikia kwango cha chini kabisa (2015-20) kuliko wakati wowote tangu uhuru! Liberata Mulamula kazini!
Ficha upumbavu wako
Screenshot_20210504-103609_YouTube.jpg
 
Yani kamwalika Rais wa Kenya awe mgeni rasmi (the most important guest at an occasion) kwenye Sherehe ya Uhuru wa Tanganyika?? Hii protokali imeanza lini ndugu zangu😳😳😳😳
Ndiyo inaanza hivyo chief 😁!
 
Katika kasoro zote za muungano hili la Tanganyika kutokuwa na kiongozi tumebugi,inakuwaje Mzanzibari awaongoze Watanganyika katika sherehe za uhuru wao wakati yeye sio Mtanganyika?
Acha upumbavu! Mbona hukuyasema hayo wakati wa mzee Ruksa? Au wakati ule ulikuwa unanyonya ziwa na kunya Mavi ya mafungu?
 
Back
Top Bottom