Rais Samia mgeni rasmi Sherehe za miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteli Tanzania (KKKT)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Kanisa la Kiinjili la Kiluteli Tanzania lilianzishwa mwaka 1963 na sasa linatimiza miaka 60 ya kuasisiwa Kwake

Sherehe za maadhimisho hayo zitafanyika wiki ijayo sawia na Mkutano mkuu wa Kanisa na mgeni rasmi atakuwa Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Kadhalika mkuu wa KKKT Dr. Shoo anaelekea kustaafu kwa mujibu wa Ukomo uliowekwa Kikatiba na Kanisa Kupata askofu mkuu Mwingine

Source: Upendo TV

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
 
Sherehe za maadhimisho hayo zitafanyika Wiki ijayo sawia na Mkutano mkuu wa Kanisa na mgeni rasmi atakuwa Rais wa JMT mh Dr Samia Suluhu Hassan

Kadhalika mkuu wa KKKT Dr Shoo anaelekea kustaafu kwa mujibu wa Ukomo uliowekwa Kikatiba na Kanisa Kupata askofu mkuu Mwingine

Source: Upendo TV

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
KKKT wanajielewa sio kama TEC
 
Kanisa la Kiinjili la Kiluteli Tanzania lilianzishwa mwaka 1963 na sasa linatimiza miaka 60 ya kuasisiwa Kwake

Sherehe za maadhimisho hayo zitafanyika wiki ijayo sawia na Mkutano mkuu wa Kanisa na mgeni rasmi atakuwa Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Kadhalika mkuu wa KKKT Dr. Shoo anaelekea kustaafu kwa mujibu wa Ukomo uliowekwa Kikatiba na Kanisa Kupata askofu mkuu Mwingine

Source: Upendo TV

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
Shekhe ponda anasemaje
 
Kwa hiyo kabla ya 1963 walikuwa wanasali wapi? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kumbe
Kanisa la Kiinjili la Kiluteli Tanzania lilianzishwa mwaka 1963 na sasa linatimiza miaka 60 ya kuasisiwa Kwake

Sherehe za maadhimisho hayo zitafanyika wiki ijayo sawia na Mkutano mkuu wa Kanisa na mgeni rasmi atakuwa Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Kadhalika mkuu wa KKKT Dr. Shoo anaelekea kustaafu kwa mujibu wa Ukomo uliowekwa Kikatiba na Kanisa Kupata askofu mkuu Mwingine

Source: Upendo TV

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
KkKT ni changa kuliko TAG iliyoasisiwa 1947 kule Mbeya?
 
Back
Top Bottom