Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Kwa manufaa ya umma au manufaa ya wahuni
Hp ni toto tundu sana👍😁Tujiandae kuzimiwa internet muda wowote..
Maaana slowslow lazima ajibu
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
😄 so unasubiria episodeJamaa ndo Alikuwa anasubiri kupigiwa kama hivyo ili aje na episode nyingine
Too lateWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
😄Kitakachofuata ni kumfukuza CCM.
Jaya maCCM yansfikiri hii nvhi ni yao peke yao hasa hawa WANAMTANDAO.
Polepole aendelee kukaza kamba. Msumivu wameyasikia.
Mbona mabalozi wastaafu tunao wengi mtaani na viatu vimetoboka,hiyo asali iko wapi.Ukikosa hadhi ya ubalozi , unakosa marupurupu ambayo ndio asali original
😂😂😂😂😂 kwanini?Slow slow naona kayatimba
Kama yuko nje sawa ila kama yuko bongo mhhh 😄
Ova
Hapa si ndiyo kampa kibali cha kuzungumza bila break!? Naweza kuwa nawaza isivyosahihi.Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Aibu kwa slowslow,hakutuma barua ya kujiuzulu,kunakohusika.Kaituma barua mitandaoni,badala kwa mwajiriKiongozi wetu kweli hamna kitu hii ni aibu kwa taifa
Na nafikiri alikuwa anasubiri hii move kwa hamu sana,juzi kasema huu mchezo kajipanga haswa,nafikiri sasa anaenda kuachia maushaidi jinsi Samia na Kikwete walivyohusika kwenye ule mchezo wa kuanzia 2020 mpaka March 2021Alisema toka siku ya kwanza haitaji hayo marupurupu ndio maana kila siku anashambulia
Slowslow ndio hamna kitu,badala kutuma barua ya kujiuzulu.kwa mwajiri wake,ambaye ni serekali,katumq barua mitandani.Kiongozi wetu kweli hamna kitu hii ni aibu kwa taifa
Kwa hiyo tupo autopilot? Sidhani kama ni kweli kuvunjwa kwa bunge kuna mfanya Rais asiendelee na kazi zake. Ndiyo, maana hata rais anayeondoka madarakani...kabla rais mteule hajaapishwa bado yule rais anayeondoka anaendelea kufanya kazi za urais.Bunge limeshavunjwa,
Hili likumbukwe.
Huyu slow slow,hama kitu kichwani,badala ya kupeleka barua kwa qliye muajiri ya kujiuzulu,anapeleks mitandaoni,akili ni mali.Na nafikiri alikuwa anasubiri hii move kwa hamu sana,juzi kasema huu mchezo kajipanga haswa,nafikiri sasa anaenda kuachia maushaidi jinsi Samia na Kikwete walivyohusika kwenye ule mchezo wa kuanzia 2020 mpaka March 2021
Hakuna kitu mnaweza fanya kwa polepole,Tanzania imeshajichokea,na Kagame anawatafutia timing tu*****, mnahangaika nae tangu 2021 mpaka Leo hamjamuweza na hamtokaa mumuweze we kima unazungumza nini'?!!!! Hujui kifuatacho nyumbu, tulia Ngoma ya kikubwa hii dogo..............baada ya kimbunga kinachofuata ni shwari. Ye anapiga episodes, nafikiri mpaka Sasa ni tatu, watu wanapiga moves, hiyo ni Moja tu......ya nne chaliiiiiiiii.
Na ndio.ukweli huu.Kwa hiyo tupo autopilot? Sidhani kama ni kweli kuvunjwa kwa bunge kuna mfanya Rais asiendelee na kazi zake. Ndiyo, maana hata rais anayeondoka madarakani...kabla rais mteule hajaapishwa bado yule rais anayeondoka anaendelea kufanya kazi za urais.
Slow slow,ana matatizo ya afya ya akili.Hakuna kitu mnaweza fanya kwa polepole,Tanzania imeshajichokea,na Kagame anawatafutia timing tu
Kiwango duni (KIDU)Mama sometimes angekua anakausha tu.