Email ni mawasiliano tosha. He is a smart guy don't underestimate him. 😉HAya mambo haya...unaweza kushangaza unaletewa risiti ya FedEx, sura tutaziweka wapi
Email ni mawasiliano tosha. He is a smart guy don't underestimate him. 😉HAya mambo haya...unaweza kushangaza unaletewa risiti ya FedEx, sura tutaziweka wapi
Nyerere alikataa kuitwa mheshimiwa,hakuna jipya kwa balozi Polepole kuitwa Polepole.Anapoteza pakubwa sana maana kuanzia leo hatajwi tena kama Mh Balozi,atabaki kuitwa Polepole.
ni kweliWatanzania wengi ni wajuaji ambao hawajui kitu chochote.
Na kwa hali ilivyo mchakato wa uchaguzi ukiisha Humphrey anatimuliwa uanachamaHili lilifahamika kitambo tangu HPolepole alipoandika barua ya kujiuzuru kwake.
Wanasema ukitaka kuruka agana na nyonga, hopefully Polepole alifanya hivyo Kwa kujua consequences zake
Kuna point moja hamjaielewa. Ukijiuzulu cheo chako cha ubalozi kinabaki pale pale na privilege zake. Sasa huyu Huphrey amevuliwa kabisa ubalozi hatupaswi tena kumuita balozi mstaafu. Tunapaswa kumuita aliyekuwa balozi mstaafuinakuwaje mtu alie jiuzulu na kuachishwa Kazi...anafukuzwa Kazi?
Ni kweli Mkuu, sio rahisi yeye kuendelea kusalia CCMNa kwa hali ilivyo mchakato wa uchaguzi ukiisha Humphrey anatimuliwa uanachama
Duh.......huenda ikawa hivyoKabla ya uchaguzi atatimuliwa