GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.

POLE POLE ALISHAJIUZULU MAPEMA SANA. HAYA MENGINE NI AIBU YAANI ALIKUWA SAMIA HAJUI KUWA POLEPOLE KAJIUZULU? NA WATANZANIA WENGI TUNAJUA? HILI NI TATIZO.
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Breaking news, Rais Samia amekata kamba Leo 5.08.2025. 😭
 
Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole, au amekubali barua ya Pole Pole ya Kujiuzulu??
 
Mama yenu yuko nyuma ya muda na si ajabu hata kidato cha nne alipata daraja la mwishoni !
*****, mnahangaika nae tangu 2021 mpaka Leo hamjamuweza na hamtokaa mumuweze we kima unazungumza nini'?!!!! Hujui kifuatacho nyumbu, tulia Ngoma ya kikubwa hii dogo..............baada ya kimbunga kinachofuata ni shwari. Ye anapiga episodes, nafikiri mpaka Sasa ni tatu, watu wanapiga moves, hiyo ni Moja tu......ya nne chaliiiiiiiii.
 
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.

Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.

Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Anatengua mtu alie jiuzuru week 3 zimepita ?
 
Akili zingine bwana!!

Lengo ionekane yeye ndiye alitangulia kutengua hiyo July 16!!

Ilhali hivi majuzi waziri wa mambo ya nje alidai kuna mambo ya kisheria wanafuatilia kabla ya kuchukua hatua.
Wizara ya Mambo ya nje naona hawajaona kosa maana wamenawa mikono kwa kusema hadharani kabisa wamepokea maelekezo toka kwa Raisi
 
1. Upatikanaji wa huduma za kipekee kwenye viwanja vya ndege (kama chumba cha VIP)

2. Uwezo wa kuhudhuria hafla za kimataifa bila vizuizi

3. Uungwaji mkono wa kisheria na ulinzi wa kimataifa

4. Fursa za mitandao ya kijamii na kitaaluma na viongozi wengine

5. Uwezo wa kuwakilisha maslahi ya taifa au taasisi kimataifa

6. Upatikanaji wa taarifa za siri au za kipekee (kulingana na makubaliano)

7. Uzoefu wa kujadili na kusuluhisha migogoro ya kimataifa

8. Kuimarisha uhusiano wa kibinafsi na kitaaluma na wawakilishi wa nchi zingine

9. Kinga ya kidiplomasia

10. Msamaha wa kodi na ushuru

11. Ustawi wa kifedha

12. Uwezo wa kushawishi kimataifa

13. Fursa za ushauri na kazi za kujitegemea

14. Heshima na hadhi ya kijamii

15. Uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa

16. Uzoefu wa kuongoza na kushirikiana na mataifa
Haya yote hayana maana ikiwa nchi yako inaendeshwa kama gheto.
 
Hata hainogi kabisa. Kizimkazi naona kachemka kweli kweli. Unatenguaje mtu Ubalozi na kumwachisha utumishi wa umma mtu aliyejiudhuru kwa hiari yake. Naona lengo ni kumnyima haki zake za kiutumishi.

Amtengue basi na wanachama wa chama cha mambuzi.
VP Mpango aliomba kujiuzulu na akakubaliwa. Kwani ilikuwaji mbona bado yupo?
 
Back
Top Bottom