Wale wahuni wanaomzunguka wameshinikizaBi mkora ana gubu.
Wale wahuni wanaomzunguka wameshinikizaBi mkora ana gubu.
Ametengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
Jamani na nyie huwa mnamsingizia tu! Hiyo akili ya kukausha anaitoa wapi? In fact yule mother ni average person sana sawa na maza wa kijijini tu!Mama sometimes angekua anakausha tu.
Ahaaa !!!Hukaguliwi Airport 😂✔️
Airport unaweza pita Bila kukaguliwa Ata na heroinHiyo hadhi ya ubalozi ukiwa nayo unapata faida gani na ukiikosa unapata faida gani ?
Au na mabolozi hulipwa marupurupu mpaka wanakufa ?
A lot of Maza f@c@rs will never understand this .Kati ya mambo atakayolaumiwa nayo Magufuli ni panoja na kumteua sa100 kuwa makamu wake . It was a very Big fvckng mistake
Alilazimishwa na Kwete ili apate pa kupumzikia! Sasa kama hamjui Kwete ndiye Rais wetu! Sasa hii ni akili ya wapi mimi nimejiuzulu halafu unatoka chooni na kuropoka eti umenitengua! Hopeless kabisa bora angeishia kumvua ubalozi angeeleweka!Kati ya mambo atakayolaumiwa nayo Magufuli ni panoja na kumteua sa100 kuwa makamu wake . It was a very Big fvckng mistake
Hiyo title ya Dr uifute aisee! Yaani Dr mzima hujui faida ya hadhi ya ubalozi?Hiyo hadhi ya ubalozi ukiwa nayo unapata faida gani na ukiikosa unapata faida gani ?
Au na mabolozi hulipwa marupurupu mpaka wanakufa ?
Ngoja wataalamu waje watujibuHiyo hadhi ya ubalozi ukiwa nayo unapata faida gani na ukiikosa unapata faida gani ?
Au na mabolozi hulipwa marupurupu mpaka wanakufa ?
atarudishiwa na Rais ajaye kama ilivyokuwa kwa Costa MahaluView attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Hivi kwanini jamaa kaamua kuacha fursa zote hizi ilihali bado kijana kabisa1. Upatikanaji wa huduma za kipekee kwenye viwanja vya ndege (kama chumba cha VIP)
2. Uwezo wa kuhudhuria hafla za kimataifa bila vizuizi
3. Uungwaji mkono wa kisheria na ulinzi wa kimataifa
4. Fursa za mitandao ya kijamii na kitaaluma na viongozi wengine
5. Uwezo wa kuwakilisha maslahi ya taifa au taasisi kimataifa
6. Upatikanaji wa taarifa za siri au za kipekee (kulingana na makubaliano)
7. Uzoefu wa kujadili na kusuluhisha migogoro ya kimataifa
8. Kuimarisha uhusiano wa kibinafsi na kitaaluma na wawakilishi wa nchi zingine
9. Kinga ya kidiplomasia
10. Msamaha wa kodi na ushuru
11. Ustawi wa kifedha
12. Uwezo wa kushawishi kimataifa
13. Fursa za ushauri na kazi za kujitegemea
14. Heshima na hadhi ya kijamii
15. Uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa
16. Uzoefu wa kuongoza na kushirikiana na mataifa
Alimkataa yeye alipendekeza hussein mwinyiKati ya mambo atakayolaumiwa nayo Magufuli ni pamoja na kumteua sa100 kuwa makamu wake . It was a very Big fvckng mistake
Most likely lakini impact ndio hizo kuvuliwa hadhi ya ubalozi huyu ni mtu wa pili,kuvuliwa hadhi ya ubalozi.Alijua litatokea hili
Mkuuu ni kukomoanaa tuuu ,na kuonyesha ni jinsi gani nchi yetu inaongozwa bila kufuata sheriaAngeridhia kustaafu kwake na stahiki zake akapewa.
Pole pole na magufuli waliiba kura 2020 wakijua wanamkoa nani !atarudishiwa na Rais ajaye kama ilivyokuwa kwa Costa Mahalu
Kumbe alikuwa hajajiuzuru mpaka.kutenguliwa,who is who in the saggaView attachment 3432675