Rais Samia amteua Brigedia Generali Nduku Mabele kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi kuwa Mkurugenzi wa SUMA - JKT

Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT
View attachment 1791307View attachment 1791308
Brig. Gen. Juma Nkaanga Issa Sipe wa Mkurugenzi ya Habari. Nilikuwa sijui, sio kama siku ile walimleta Mwakibolwa aeleze vifo vya wanajeshi akasema "tunawaombea marehemu wapone haraka ". Hata ule mlipuko wa mabomu kuna mmoja alitetereka kutoa maelezo.

Wanajeshi wengi hawajui kujieleza
 
Kutoka ukuu wa JKT mpaka ukuu wa mkoa.

Hii kibaharia inaitwaje na kitaalamu inaitwaje wakuu
 
Huyu Brig hapandishwi cheo ? Maana Mkuu JKT huwa Maj Gen ......au ni suala la muda ?
General mmoja CDF, kuwa na Major watatu wa maji, anga na nchi kavu kila mmoja. Kuwa na Chief of Staff akiwa Major.

Wengine wanaofatia hata wawe Brig. hakuna shida. Nchi kama haina vita ikiwa na mavyeo mengi, ikitokea vita mavyeo yataongezeka zaidi na kuleta usumbufu.

Mpangilio kama huu ukiwepo hata sio vibaya
 
Nakumbuka ni mwalimu kitaaluma Uyo Sendiga
Huyo anaweza kuwa kwenye kundi moja la wenye CV kizungumkuti, kama yule mkurugenzi mstaafu wa TPDC aliyekuwa mhitimu wa St.Yohana University evening class, aliyedumu kwa masaa 6.... si watazamaji na kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom