Rais Samia amteua Brigedia Generali Nduku Mabele kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi kuwa Mkurugenzi wa SUMA - JKT

Major unamjua?
Nadhani alikua na maana ya "Major General" Lakini hakutakiwa kuandika hivyo kama anazijua vizuri ranks za jeshi kwa sababu kuna rank ya Major ambayo siyo General. Pia "Lieutenant General" huwezi kuandika tu "Lieutenant" kwa sababu kuna rank "Lieutenant Colonel" ambayo siyo General

"Brigadier General" ndiye pekee unaweza kuandika tu "Brigadier" na akabaki kueleweka kuwa ni Brigadier General.
 
Wale wafia dini wataangalia jina "Rajabu" maana wanachotaka wao teuzi zote ziwe upande wa pili.
wale jamaa wa upande ule wamevumilia sana kuonesha hisia zao za upande kwenye uzi huu. na nimeusoma mpaka hapa ulipofikia sijaona hata mmoja aliyeeleza zile hisia zao za kishetani humu. nadhani wanaishia kutukana tu ila kuandika wanajisitukia. kuna mengi wamejifunza kutoka upande huu. mwendazake alipokuwa akiteua upande mmoja hatukuongea, tulinyamaza kimya na tukaendelea na kazi zetu. nadhani wamejifunza kitu au wanaona aibu, maana hao jamaa kwa roho mbaya hawajambo.
 
We Acha Tu.
Kuna watu Wana bahati.
Wana KAZI mbili Kwa wakati mmoja.
Kwa utaratibu wa Selikali hakuna mtu Analipwa mshahara Mara 2, hicho kitu hakuna, nakumbuka Jana Kuna mtangazaji wa Wasafi alimhoji Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, KAMISHNA ANDENGENYE Kuwa mnalipwa mishahara miwili wa Kamishina wa police na Ukuu wa Mkoa alikataa na kujibu kuwa Hakuna mwajiliwa wa Selikali anayepokea mishahara miwili.

Ukishakuwa katika Kitengo flan mfano Major General wa Jeshi unaalipwa mshahara mfano 5M Na baadae ukachaguliwa kuwa mkuu wa Mkoa, wanangalia Kati ya hizo sehemu 2, ulipotoka na ulipo wapi mshahara ni mkubwa huo ndo unaolipwa..
 
Ushakuwa mwingereza mara?
Mimi kiswahili na kiingereza ni lugha ngeni. Kwetu kama hukuenda shule huwezi kujua kiswahili. haya maneno ya kiswahil wanayounda kienyeji waulize etymological origin ni ipi, they will never tell you!
 
Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT

View attachment 1791307View attachment 1791308
Huu ni uteuzi safi kabisa!. Uteuzi jeshini, unategemea ukakamavu!. CDF, kuna Ngw'anangosha mkakamavu Mabeyo, sasa na JKT mmeletewa Ngwanangosha mkakamavu Mabele!. Wale waliokuwa wakimtuhumu Mwendazake kwa kuteua Wasukuma, mkome!. Uteuzi hauangalii kabila la mtu, unaangalia, sifa, vigezo na ukakamavu. Wasukuma, kina Ngwanangosha ni wakakamavu sana!.

Hivyo japo nililaumiwa sana kwa hoja hii
But I was right!.
P
 
Kuna Mjeda mmoja nadhani ni Meja anaishi Goba yupo vizuri sana kimaisha. Na hata hao wengine sijui kapteni na nyota 2 sijawahi kuona wenye dhiki. Wengi ninaowajua wana nyumba za Maana na Magari. Hata wale wanaovaa lisaa.

Hivyo wewe ni Muongo. Huenda umechukuwa reference ya ndugu yako Mlevi
MIKOPO tofauti na hapo huyo jamaa yuko sahihi kabisa......
 
MIKOPO tofauti na hapo huyo jamaa yuko sahihi kabisa..
Hayupo Sahihi hata kidogo. Kama tu wale wasio na nyota wanaweza kujenga nyumba za maana na kumiliki gari na watoto wanasoma shule za maana tu halafu eti wenye nyota wawe choka mbaya!!!!.

Halafu hoja yako ya mikopo haina mashiko kabisa. Mikopo ni sehemu ya maisha kwa watumishi wa serikali .

Nikilinganisha maisha ya ma lecturer wangu wa UDSM tena wengi tu na nyota 3 wa jeshini natamani na Mimi bora ningeingia jeshini
 
Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT

View attachment 1791307View attachment 1791308
Huyu mtu anaonekana yuko smart sana kichwani. Yaani kuna miradi yake anaendesha pale Chita JKT Mororgoro ya kushangaza sana. Akili kubwa sana imetumika kwenye ubunifu wa miradi hiyo. Nimewahi kuiona kwenye makala za Kishindo cha Awamu ya Sita; na mtangazaji Agnes Mbapu. Jamaa yuko smart sana. Yaani mtu hapa una-feel kabisa kuwa kuna kiongozi wa wanachi mahali fulani
 
Back
Top Bottom