Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Mtawala anayefanya uporaji, utekaji, uonevu wa kila aina hafai..

Hii imethibitishwa?
 
Katika historia ya nchi yetu ni Rais mmoja tu aliyeweza kuvumilia viongozi wajinga na kuwaona ndo wazuri. Hata Mkapa na ukali wake asinheweza kumvumilia Sabaya kwa mwaka mmoja.
 
Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.

Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
Screenshot_20210518-061113.jpg
 
Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.

Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
Tumia akili unitumie nguvu tafuta ajira uache kuwa chawa
 
Wataozuia watu kufanya biashara za magendo?

Wataozuia raia kudhulumiwa mali zao?

Ni bora uwe na kiongozi kama Makonda au Sabaya ambaye anapambana na waharifu wa kila aina kuliko kuwa na kiongozi lelemama ambaye yupo kuuuza sura tu.

Mengine watu wamebakiza uzushi na speculations tu.
Waswahili au wapwani hawapendi lawama wala kutoa jasho. Mama atawasikia wapenda magendo wala rushwa wauza dawa za kulevya na dhulumati wa kila aina kumhukumu sabaya. Wanamapinduzi wa chama cha mapinduzi wanamkodolea macho. Ikifika siku watatoa hukumu yao.
Magufuli aliyelala kaburini fisadi watambue ni hatari kwao kuliko aliye hai. Hili walitambue fisadi wote
 
Hivi hilo jambazi liko uraiani au wemshalihifadhi kwenye mikono salama? Kwa uhalifu aliofanya anaweza hata kutorokea Kenya huyo.
 
Waswahili au wapwani hawapendi lawama wala kutoa jasho. Mama atawasikia wapenda magendo wala rushwa wauza dawa za kulevya na dhulumati wa kila aina kumhukumu sabaya. Wanamapinduzi wa chama cha mapinduzi wanamkodolea macho. Ikifika siku watatoa hukumu yao.
Magufuli aliyelala kaburini fisadi watambue ni hatari kwao kuliko aliye hai. Hili walitambue fisadi wote
Hao waswahili ndo wanaongoza nchi sasa hivi, hamia Burundi basi bara ndani ndani huko.
 
Wakati unahangaika na mambo ya Ardhi, Mambo ya Qnet, Mambo ya Watumishi wa Umma, kutatua changamoto za wananchi wa Hai Tulidhani Dhamira yako ni ya kweli kumbe Target yako ni kutafuta wafuasi watakaokuunga mkono ili kumdhalilisha Mbowe.

Kitu ambacho hukujua wakati Unatumwa na Serikali yako ya CCM na kupewa nguvu ya Dola ni kuwa mtu unayeenda kupambana nae ni Mbabe wa kivita na Mwamba wa kisiasa.

Historia inaonesha Mbowe hakuhi kushindwa ubunge kwa miaka yote na wewe ukajifanya jasiri wa kubadili historia.

Kosa lako ni kupokea maelekezo bila kuangalia matokeo yake, Sasa uko benchi na sasa tuambie nani nani mshindi kati yako na Mbowe. Miongoni waliokupa kazi hiyo Ovu ya kumdhibiti Mwamba wanakuzomea na hakuna wa kusimama na wewe tena. Wacha Mwamba Akunyooshe sababu ameshakuvunja Mabawa na huwezi kuruka tena.

Kwakua wewe ndiye Uliyechukua Ubunge wa Mbowe Pale Hai kwa dharau na kiburi, na sasa haupo pale hai, Hii ni hatua ya kwanza ya kukuonesha Jimbo linaelekea wapi, Ufalme wa Mbowe utarudi, Utajua ni Nani, Ana nguvu gani na Utatulia. Pole sana Mbunge Bandia wa Hai bwana Saashisha, Sabaya Hukujua Mbowe ni Mtoto wa Mangi utawala wa Mangi hauwezi kuangushwa na Mgeni tena mtoto mdogo kama wewe kutoka umasaini. Pole sana. The xoming back is real.

Dkt Remen Lema
 
Acheni upumbavu hayo mambo ya mwamba hatuyataki. Ina maana Mbowe yeye ndiyo kila kitu? Sabaya alitenda jinai acha sheria uchukue mkondo wake ila si kwa sababu Mbowe alishindwa.
 
Back
Top Bottom