Serikali ya Rais samia haina mambo wala masuala ya kihuni huni na kishetani.ndio maana unaona watu wapo huru sana kuhoji na kukosoa kwa sababu uhuru upo wa kutosha kabisa.Yale ya kupotea kwa kuhoji yamesha dhibitiwa🤔.Ama hivi sasa ni kutojibiwa na kuelekezwa kwa wazee wetu🤔
Ni mnafiki kiwango cha lami...Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Ambapo amesema kuwa tunapaswa kuwa na jamii yenye ujasiri wa kuhoji.
Naungana na kumuunga mkono mh Rais katika hili hasa kwa vijana. Kauli hii ni kama ile ambayo imewahi kutolewa na Hayati Baba wa Taifa ambaye yeye alisema tunapaswa kuwa na vijana jeuri wenye ujasiri wa kuhoji na kuwahoji viongozi wao.
Rais Samia Ndio maana amefanikiwa kuongoza Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu ,kwa kuwa ametoa nafasi ya watu kuhoji masuala mbalimbali yanayoendelea nchini au kufanyika au kufanywa na serikali yake na kuwapatia majibu stahiki.kwa hiyo watu wanakuwa hawana dukuduku wala vinyongo katika mioyo na vifua vyao ,kwa kuwa mambo yanayoleta maswali kwao yanapatiwa majibu kwa wakati sahihi na hivyo kuwafanya watu kuwa na taarifa na uelewa au ufahamu wa kila kitu hapa nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Muongo weweSerikali ya Rais samia haina mambo wala masuala ya kihuni huni na kishetani.ndio maana unaona watu wapo huru sana kuhoji na kukosoa kwa sababu uhuru upo wa kutosha kabisa.
Mh waziri mkuu wetu alishalitolea ufafanuzi mzuri kabisa suala hiloTunapohoji alipo Makamu inakuwaje
Mwaga uongo wake🤔Muongo wewe
Uwe na adabu na heshima kwa mh Rais wetu ,ambaye ametoa uhuru wa kutosha kwa watu kuzungumza watakavyo na kukosoa wawezavyo. Msitumie uhuru kwa kushusha heshima ya mtu au kuwadhalilisha wengineNi mnafiki kiwango cha lami...
Mwambie ivo yaani
-kwa nini wale jamaa walifunguliwa kesi,kusumbuliwa na kulazwa mung'anda kwa siku kadhaa?Kwenye suala la Bandari mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania na nyota ya matumaini mh mama Samia na Serikali yake walitoa uhuru wa kutosha kwa watu, taasisi,vyama na wadau mbalimbali kutoa maoni yao na mwisho serikali yetu ilifanyia kazi maoni na mawazo yote muhimu na kuja na mkataba bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika Taifa letu.ambao utachochea ufanisi wa bandari yetu hasa katika masuala ya mizigo pale bandarini ,ambapo sasa haitakuwa inakaa sana kama awali ambapo ilikuwa inaongeza gharama kwa wenye mizigo.
Kwani kuna siku nimeandika humu kuwa nimezuiliwa kuhoji?Wewe binafsi unao uwezo wa kuhoji? Au utaendelea kuabudu na kutukuza kama kawaida yako?
Mapishi bila shaka yatakuwa ubwabwa na choda-kwa nini wale jamaa walifunguliwa kesi,kusumbuliwa na kulazwa mung'anda kwa siku kadhaa?
-kwa nini mmoja alivuliwa ubalozi?
-hayo maoni yaliyochukuliwa lini?
-mrejesho ulitolewa lini?
-kwa nini leo hii watu wahimizwe maoni?
-what's cooking?
Walifunguliwa kesi kwa kuwa walikuwa na makosa wanayotakiwa kuyatolea majibu jambo ambalo ni la kawaida kabisa. Pili mtu kuvuliwa ubalozi siyo geni wala siyo la kwanza.maana aliyevuliwa ubalozi hakuwa wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.huwezi ukawa unatoa maneno ya kihaini halafu unataka ubaki na hadhi ya ubalozi-kwa nini wale jamaa walifunguliwa kesi,kusumbuliwa na kulazwa mung'anda kwa siku kadhaa?
-kwa nini mmoja alivuliwa ubalozi?
-hayo maoni yaliyochukuliwa lini?
-mrejesho ulitolewa lini?
-kwa nini leo hii watu wahimizwe maoni?
-what's cooking?
Wawe makini.Waalikwa wana gubu sana.Wanahitaji kuwe na juisi ya bamia.Mapishi bila shaka yatakuwa ubwabwa na choda
Mbona wewe hujakamatwa wala kubughudhiwa na kila siku unaandika utakacho bila kizuiziUkihoji unakamatwa
Ova
Dhamira ya mama yetu ni njema kabisa na tuendelee kumuamini Rais wetu.Tunamheshimu sana Mama! Lakini kwa hili anatuingiza mjini.
Watakwambia wale wanauzika ni celebrities sasa huyu ndiyo kwanza anasaka mtaji, angehamishia nguvu zake Kwa kugonga inbox zao uenda ipo siku wangempumzisha Kwa kacheo fulani . Afikiliwe kijana hata kama mmemjua kupitia JF.Wanatakiwa wamuangalie
Wakina steve wanachkua hela kiulaini
Na hakuna kazi yyt wanayofanya
Lucas Ana stahili chochote kitu kwa kweli
Ov
Nani alishawahi kuvuliwa ubalozi?Walifunguliwa kesi kwa kuwa walikuwa na makosa wanayotakiwa kuyatolea majibu jambo ambalo ni la kawaida kabisa. Pili mtu kuvuliwa ubalozi siyo geni wala siyo la kwanza.maana aliyevuliwa ubalozi hakuwa wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.huwezi ukawa unatoa maneno ya kihaini halafu unataka ubaki na hadhi ya ubalozi
Vipi kuhusu hayo maneno yake!! Safari hii hayajakata kiu ya Watanzania na kuifariji mioyo yao?Ndugu zangu Watanzania,