Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

Ila jamanii kuna mikoa Tanzania na vijiji vilivyopo kusema uwekewe umeme kwa Elfu 27 + Nguzo +Mita hata si kweliii....

Inabidi tuu kama una shida kweli basi saidiana na Tanesco utatuliwe shida yako ya umeme.

Maana kuna mabonde hiwezi vusha umeme kirahisi...

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe sukuma gang

Umeme wa Rea kuinganishiwa bei imebaki ile ile elfu 27 Kwa vijijini

Mijini ndo Kuna bei elekezi. Na hili sio jipya Mie nimeweka umeme kwangu mwaka 2020 nililipa laki 9 njia 3
View attachment 2069423


Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!

Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
 
Uzi wa sukuma gang pumbavu inaomba mama alibu maisha ya vijijini na mijini ni vitu viwili tofauti lipia bei elekezi utaki nunua solar utaki Lala kiza
 
Ukweli nikwamba kuunganishiwa Umeme kwa 27 elfu ni hasala kwa Tanesco,maana lazima tujue kwamba hivyo vitu vina nunuliwa .
.
Hata hivyo inafaa kuweka Bei nafuu kiasi ,mfano nguzo si sahihi mteja kulipia sawa na mteja kulipia miundombinu ya simu ,Kama simu hatulipi inafaa na Tanesco kuondoa gharama hiyo .

Pili Meter luku isizidi tsh 150,000\=
Mapato ya mauzo ya umeme yanaenda wapi?
Yaani wananchi ndio walipe gharama za uwekezaji katika shirika?
Tena la umma.
Wao wanatakiwa kutafuta watumiaji wengi wa umeme. Wawekeze kwenye uuzaji wa umeme. Wapate mapato kupitia uuzaji wa umeme.
 
Kama suala la sukari limeishinda serikali ya CCM wanasubiri nini kitokee ili kuhusisha sekta binafsi kusambazia watu umeme.
 
View attachment 2069423


Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!

Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Umeamua kupotosha makusudi.
👉 Bei ya kuunganisha umeme haijashushwa?
👉 Ufafanuzi alizotoa jana unahusu ukweli kwamba gharama za uunganishaji wa umeme zinatofautiana kati ya eneo na eneo. What does this mean? Haijaondoa ukweli kuwa gharama zimeshushwa lakini pia kuna maeneo hususan ya mijini gharama zitakuwa juu ya kiasi kilichoshushwa.
 
Umeamua kupotosha makusudi.
Bei ya kuunganisha umeme haijashushwa?
Ufafanuzi alizotoa jana unahusu ukweli kwamba gharama za uunganishaji wa umeme zinatofautiana kati ya eneo na eneo. What does this mean? Haijaondoa ukweli kuwa gharama zimeshushwa lakini pia kuna maeneo hususan ya mijini gharama zitakuwa juu ya kiasi kilichoshushwa.
 
View attachment 2069423


Kwa nini unataka kutufanya wananchi wajinga?!

Wananchi wenzangu kiongozi wa ndimi mbili aina ya huyo ni sahihi kwetu?
Mbona sasa 2020, wapinzani walituwekea huyu tumchague

images (7).jpeg


lissu-na-lowassa1888496839.jpg
 
Back
Top Bottom