Iko hv Bei ikiwa chini inamaana watu wengi wataachana na solar waunganishiwe umeme...Ukweli nikwamba kuunganishiwa Umeme kwa 27 elfu ni hasala kwa Tanesco,maana lazima tujue kwamba hivyo vitu vina nunuliwa .
.
Hata hivyo inafaa kuweka Bei nafuu kiasi ,mfano nguzo si sahihi mteja kulipia sawa na mteja kulipia miundombinu ya simu ,Kama simu hatulipi inafaa na Tanesco kuondoa gharama hiyo .
Pili Meter luku isizidi tsh 150,000\=
Wateja wa tanesco wakiwa wengi ndivyo mapato ndani ya tanesco yataongezeka
Kuna nchi nyingine ukijenga nyumba ikafikia pagala wanakutafuta kukushawishi wakuunganishie umeme,sababu ukishaunganishiwa unakuwa mteja wao wa maisha