zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
Hivi tuna shida gani waTanzania, whether Movie iwe ya mzungu kwani akishirikishwa Ili kuvutia watalii maana wakisikia Rais ndio kaongoza movie watafurika kuangalia then tukapata watalii kadhaa hapo kosa likwapi?Hivi wew kilaza lini utakuwa na akili!!???
Vijisent kidogo tu tiali ushaiuza nchi yako na ndugu zako..
Filamu ni mali ya mtu binafsi sasa raisi alicheza kama mtu binafsi au raisi!???
Hiyo hati miliki ya movie ni ya hao wafadhili au ni ya serikali!??
Kama kacheza hiyo movie ilikuwa ni sehemu ya majukumu ya raisi kwa siku 14
mbona haina hati miliki ya serikali???
Nimemaliza vilaza kama ninyi sina hamna nafasi ya kuendelea kujibizana na nami
pengine akili zitawarudi kwenye pumzi zenu za mwisho.
Kwanini mnaangalia hatimiliki ya movie na bajeti ya movie ila hamuangalii faida ya movie??
Faida ya movie inaweza isiwe ya malipo ya filamu but kwa multiplier effect ya watalii watakaokuja sababu ya filamu Ile!! Hilo ndio la msingi.
Shida exposure na Elimu ni ndogo mnadhani faida ya movie ni Ile pesa ya Amazon na sio lengo la kuleta watalii.