Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

Tuhuma zako zina ushaidi,maana ata Sabaya mulikuwa mnaimba humu,akafunguliwa mashitaka mmeshindwa kutoa ushaidi Mahakamani kaachiwa huru!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Jibu lako ni hili: In a corrupt judicial system, money and influence may decide which cases are prioritised or dismissed. Perpetrators may get away unpunished while victims are left with no answer and no justice.
 
Kwakweli hata mimi hili swali huwa najiuliza sana, katika wote... kwanini Makonda? Hawakutafakari jamii hapa nchini na kimataifa inamchukulia vipi?

Wenyewe wanadai ni mkakati maalum kwa vijana, kule Jokate na huku Makonda.
Bado, ulikuwa uamuzi mbovu.
Kwani ukiacha Makonda,nani ni msafi ndani ya CCM?
CCM ni chama cha Mafisadi;kwani ni Watanzania wangapi wanakufa kila siku kwa kukosa matibabu kisa huduma mbovu za Afya!huo sio ukiukaji wa haki za Binadamu kunyimwa haki ya kuishi?
Tuache personal attacks,CCM yote haifai!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Makonda ni kiongozi mzuri sana na mwenye MSIMAMO. Achana na propaganda za wakoloni.
 
Wengi sana tulijiuliza sana hili swali.

Hivi ndani ya chama hakuna mtu makini ambaye angeweza kuwa msemaji wa chama?

Unamteua kiongizi ambaye amepigwa marufuku kuingia kwenye baadhi ya nchi hapa duniani?
Kwani Marekani ni mbinguni?nani alikwambia Wamarekani wanawapendeni ninyi watu weusi?You are just monkeys in the eyes of whites!
Makonda ni msemaji wa chama cha matapeli wenzake,wewe umewahi kuona wapi Baraza la Maaskofu au Mashehe kumchagua jambazi kuwa msemaji wao?
Yule Makonda atakuja kupewa na Urais baadaye kwasababu ni mtu wao!
Shida siyo CCM,shida ni sisi Watanzania na unafiki wetu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Makonda ni anguko la CCM. Nimekuja kugundua Samia anafanyakazi kwa kusoma mtandaoni kumteua Bashite ni kosa kubwa sana. Makonda kipindi cha kichaa halikuwa hana adabu kabisa. Je ataweza kufanyakazi na Nchimbi.
Nchimbi mwenyewe muhuni kama Wahuni wengine wa CCM!
Nini kilimfanya ajiuzulu Uwaziri wa mambo ya ndani enzi za JK?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Itazame sana ccm hasa inapofika kipindi Cha uchaguzi, inajua fika haiwezi tena kushinda uchaguzi wowote kihalali. Mojawapo kati ya mbinu zake za kushinda ni pamoja na uhalifu. Hivyo ccm hushirikisha wahalifu ambao hupatiwa Kinga ya vyombo vya Dola, huku ikawalipa wahalifu hao kudhuru wapinzani, ama kuwafanyia hujuma wapinzani wao.

Kwa Sasa Samia amefanya Mojawapo ya mbinu Yao ya kusaka ushindi kwa kumteua huyo muhalifu Ili awe upande wa kitengo Cha uhalifu. Kwahiyo usiumize sana kichwa maana kamteua mtu sahihi kwa mipango Yao miovu.
Watanzania kwa unafiki, yaani chama cha majambazi wamemteua Jambazi mwenzao kuwa msemaji wao watu wanalalamika!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Amezidiwa ndani ya uwanja ameanza kubutua na kucheza rafu kadi nyekundu inamhusu.
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Hata ' Idd Amini dada alikuwa mchapa kazi na hana utani kwenye jambo lake.
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Matukio ya utekaji na watu kupotea yamerudi kwa kasi toka arudishwe kwenye mfumo
 
Kwani ukiacha Makonda,nani ni msafi ndani ya CCM?
CCM ni chama cha Mafisadi;kwani ni Watanzania wangapi wanakufa kila siku kwa kukosa matibabu kisa huduma mbovu za Afya!huo sio ukiukaji wa haki za Binadamu kunyimwa haki ya kuishi?
Tuache personal attacks,CCM yote haifai!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hapa mjadala ni Makonda, hao wengine ukitaka tuwajadili kawafungulie thread tutakuja kujadili.
 
Nadhani una tatizo la afya ya akili.
Angalia unavyomthamini mkoloni wako kwa Kiinglishi chako kibovu !
Makonda ni mchapakazi mzuri mno na hana utani ktk utendaji wake.
Mbona na wewe unatumia jina la 'Bigstone' kwa nini usitumie jina la kibantu kama makolosi,mapunda au masanja ili kujiyofautisha na huyo uliyemquote .
 
Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally,

Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."

Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo

Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda?

Any sensible man wil ponder about that nomination!

Wajinga wataleta majivu ya kijinga!
Ndio kwanza kaanza ,mtanyooka tuu

View: https://www.instagram.com/reel/C2UcEZ9qFdf/?igsh=dHpoN25leWl2bXhv
 
Back
Top Bottom