Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

Walikuwa washauri wake namba moja wa uchumi, rejea mchango wa kujenga kanisa Chamwino, wao ndio sababu ya jamaa kumtosa Bashite
Kushauri siyo shida swala je ameshiriki nia zao mbovu za kufisidi nchi
 
Heshima ya jemedari lazima ilindwe Mkuu, pamoja na mabaya yake alikuwa na mazuri pia, kuutangazia ulimwengu kafa na Corona ilikuwa ni bad move..
Siyo badi news kwa kikwete wala huyu mama yenu ,wao wangekuwa wa kwanza kumponda kuwa alikuwa ovyo ,hivyo usitudanganye hiyo kovidi isimpate mke wake wanaye lala naye
 
ukichukulia wanawake toka enzi za Hawa wanadanganyika kiwepesiii!

ah waiter mzuriii naomba Bia nyingine hapa...

Kukutana na wapinzani mfikie muafakaa name haki itendeke ngumu ila mazungu yalotutawala toka hukoo majuu wanateleza tuu ikulu yaaaniii!

waiter fungua bia nipe naglasiii....
oh sorry ntaendelea badae ngoja ninywe mapafu kadhaa! bia tamu ila kawaiter katam zaidi dooh!!
Ukiwa na akili nyepesi kama hizi ni lazima utawadharau wanawake na hapo ndipo utakapokutana na mkono wa chuma.
 
Tatizo ninyi wanawake mnataka sana udroo nasisi wanaume!! Hiyo haipo iwe mkono wachuma au washaba
Tatizo la wanaume wa kibongo ni kukariri maisha. Wanadhani leo ni lazima ifanane na kesho. Huyu Mama Samia anaweza kuwatoa nishai mpaka mkabaki mmeduwaa.

Kwa taarifa yako mimi ni mwanaume kama wewe kirengased
 
Back
Top Bottom