Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

mdogo wa Rostam aliyekamatwa na nyara pamoja na bunduki zisizo na idadi aliachiwa fasta baada ya Rostam kutinga Ikulu , hii ndio siku ccm ilihongwa channel 10
Dah!! Sitasahau lile tukio Mkuu wangu....

Na kama hiyo haitoshi, Rostam akapigiwa debe na Mkulu eti akagombee ubunge Morogoro...

Hakika CCM ni zaidi ya uijuavyo...
 
Wajinga hawa jamaa, hizi kodi zilizokusanywa hii miezi 3 ingekuwa kipindi cha jiwe kusingekalika!! Yangeimbwa mapambio kila kona ya nchi hii!! Na wengine wangepata uteuzi kupitia hayo mapambio ya kibwege
Rais Magufuli alipenda sana Sifa haijawahi tokea.
 
mdogo wa Rostam aliyekamatwa na nyara pamoja na bunduki zisizo na idadi aliachiwa fasta baada ya Rostam kutinga Ikulu , hii ndio siku ccm ilihongwa channel 10
1week before Rostam alikuwa Ikulu wanapiga Picha na Fisadi Magufuli.
 
B
Dah!! Sitasahau lile tukio Mkuu wangu....

Na kama hiyo haitoshi, Rostam akapigiwa debe na Mkulu eti akagombee ubunge Morogoro...

Hakika CCM ni zaidi ya uijuavyo...
Bora huyu Rostam,hata akiiba anawekeza ndani,unajua Makampuni ya Rostam yameajili Watanzania wangapi?na analipa kodi kiasi gani? uwezi linganisha Rostam ,na akina Brail matapeli wakubwa wa dunia
 
Blair's company paid just £315,000 tax on income of more than £12m | The Independent | The Independent

When you have already spent half a million pounds on rent, £300,000 on furniture and £2.3m paying your staff, an extra £8m on unexplained “administrative expenses” might seem to be stretching credulity, but that is what Tony Blair has told Her Majesty's Revenue and Customs, which as a consequence has received a rather smaller cheque from the former Prime Minister than it might have expected.

Wakati wa uongozi wake walituuzia radar fake ambayo ilikuwa imenunuliwa kwa bei kubwa. Hivi Watanzania tutajifunza lini? Sio kila mzungu ni mtu mzuri wa kutupenda sana sisi.
Anaupiga mwingi. Tulia dawa ikuingie
 
Kuna rais mmoja wa nchi 1 huko Africa ye alikua ndio bonge la TP aliwahi kuokota vichwa vya treni pale Bandarini.
 
Naona Misukule ya Jiwe bado inaendelea kuhangaika na Samia!!

Hivi Jiwe amekunywa chai mara ngapi na Rostam Azizi pale Ikulu?! KHuyu Rostam si ni moja ya mafisadi wakubwa nchi hii?!!
Rostam ni mwekezaji tu...kama angekuwa fisadi huenda angeshtakiwa kwenye mahakama ya ufisadi na uhujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom