KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,850
- 4,850
Yani bado anaishi Rent free in your headTapeli ni yule aliyetapeli elfu ishirini za wamachinga.
Yani bado anaishi Rent free in your headTapeli ni yule aliyetapeli elfu ishirini za wamachinga.
Kafisidi nini Rostam lete ushahidi hapa sio longo longo, mbona Blair ametajwa kwenye mijadala ya kidunia na imedhihirika kumbuka ni waandishi 600 duniani wameshiriki kuleta majina hayo mojawapo ni huyo Blair na wengineo wengi . Unajua suala la Radar ile mbovu na Tanzania baadae tulifidiwa , fanya utafiti kabla kubisha na kujifanya unajua kila kitiuNaona Misukule ya Jiwe bado inaendelea kuhangaika na Samia!!
Hivi Jiwe amekunywa chai mara ngapi na Rostam Azizi pale Ikulu?! KHuyu Rostam si ni moja ya mafisadi wakubwa nchi hii?!!
Umesoma kilichoandikwa kuhusu Blair, au unakurupuka tu kwa sababu MATAGA wenzako wamesema??!Kafisidi nini Rostam lete ushahidi hapa sio longo longo, mbona Blair ametajwa kwenye mijadala ya kidunia na imedhihirika kumbuka ni waandishi 600 duniani wameshiriki kuleta majina hayo mojawapo ni huyo Blair na wengineo wengi . Unajua suala la Radar ile mbovu na Tanzania baadae tulifidiwa , fanya utafiti kabla kubisha na kujifanya unajua kila kitiu
Mmeelewa hiyo taarifa lakini au mnazusha tuu. Kwa sheria za Uingereza hakuna misconduct yoyote iliyofanyika hapo.
Tangu lini ma-CCM mkashitaki ma-CCM wenzenu ambao ni mafisadi?Rostam ni mwekezaji tu...kama angekuwa fisadi huenda angeshtakiwa kwenye mahakama ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Mwizi mwizi tu, hakuna ubora wowote kutoka kwa mwizi!! Mtu anaiba 10 Billion kwa mfano, 8 anapeleka nje, na 2 zinabaki ndani za kuzugia halafu unasema "anawekeza ndani"?B
Bora huyu Rostam,hata akiiba anawekeza ndani,unajua Makampuni ya Rostam yameajili Watanzania wangapi?na analipa kodi kiasi gani? uwezi linganisha Rostam ,na akina Brail matapeli wakubwa wa dunia
Ndio tunauzwa hivyo, daahNimekumbuka historia ya Carl Peters na Chief Mangungo
Nyambafuu. Nchi iko Tahabani Bin Mzurufu then unasema anatafuta Nini??'Hivi huyu mzungu mbona kila siku yupo kwa Samia anatafuta nn Tanzania???
Miafrika Mingi Kichwani Yiko Zero na wewe Included.Limekuja kuhakikisha mikataba ya chanjo inafanikiwa...
Sasa kama ni hivyo mbona mama samia asimkamate huyo rostam na mdogo wake ili tuamini kuwa yupo kwa ajili ya haki ,magufuli alisamehe mambo mengi kuna mafisadi wengi walipata mgao wa fedha za rumbesa ila magu ali shugurika na vigoo wawili wa hizo fedha wengine akafumbia macho ,ila huyu mama kawa acha hurumdogo wa Rostam aliyekamatwa na nyara pamoja na bunduki zisizo na idadi aliachiwa fasta baada ya Rostam kutinga Ikulu , hii ndio siku ccm ilihongwa channel 10
Swala siyo kukutana nao swala ni je alishiriki katika nia zao mbovu za kufisidi nchi ,yesu anasema kaenda kwa walevi siyo kulewa bali sababu ni wenye afya awaitaji doctorHii mijamaa minafiki sana Mkuu, Jiwe hakukutana tu na Rostam, but alikuwa ni mmojawapo wa washauri wake wa mambo ya uchumi! Mshauri mwingine wa Jiwe miaka yake 2 ya mwisho ya uongozi alikuwa Lowassa! Lowassa and Rostam watu ambao kwa miaka kadhaa tuliaminishwa na watu hawa hawa kuwa ndiyo mafisadi namba 1 wa nchi hii
Kama una amini mama samia kadanganya kuhusu kifo cha magufuli kwanini unataka sisi tumuamini kuhusu mengine anayosemaAnd sifa ndiyo zimemuua. How can you fight with COVID through prayers? That's Silly
Walikuwa washauri wake namba moja wa uchumi, rejea mchango wa kujenga kanisa Chamwino, wao ndio sababu ya jamaa kumtosa BashiteSwala siyo kukutana nao swala ni je alishiriki katika nia zao mbovu za kufisidi nchi ,yesu anasema kaenda kwa walevi siyo kulewa bali sababu ni wenye afya awaitaji doctor
Heshima ya jemedari lazima ilindwe Mkuu, pamoja na mabaya yake alikuwa na mazuri pia, kuutangazia ulimwengu kafa na Corona ilikuwa ni bad move..Kama una amini mama samia kadanganya kuhusu kifo cha magufuli kwanini unataka sisi tumuamini kuhusu mengine anayosema
Huyo Yesu wako nalikuwa anapiga tungi hadi anazimaSwala siyo kukutana nao swala ni je alishiriki katika nia zao mbovu za kufisidi nchi ,yesu anasema kaenda kwa walevi siyo kulewa bali sababu ni wenye afya awaitaji doctor
Serikali ya Uingereza kwa nini iliilazimisha zile fedha zirudishwe na zikarudi .Hukumbuki hizo fedha zilileta balaa mpaka kwenye Bunge la Uingereza. Naomba uwe unafatilia mambo na usilete stoty za mitaani hapa .Umesoma kilichoandikwa kuhusu Blair, au unakurupuka tu kwa sababu MATAGA wenzako wamesema??!
Hiyo radar kwani Blair aliyalazimisha Mafisadi ya CCM yakanunue hiyo radar au ni kutokana na tabia yenu ya kupenda ufisadi, ndipo mkaenda kununua!!
Kwamba eti Rostam kafisdi nini ni kiroja!!
Hayo ma-CCM yenyewe yalimwingiza kwenye orodha ya kujivua gamba, sasa unaongea nini??! Au unataka kutetea ujinga kwa sababu tu alikunywa chai na Jiwe Ikulu, na baada ya hapo mdogowa RA aliyekuwa amekutwa na silaha, risassi kadhaa na nyara za serikali akaachiwa, eti amelipa faini!!
Tangu lini MAJANGILI yakatakiwa kulipa faini, na kuachiwa huru?
Zero ni kujibu hoja bila hojaMiafrika Mingi Kichwani Yiko Zero na wewe Included.
Yaani wewe wa kuniambia niwe nafuatilia mambo?! Sina kawaida ya kuandika kitu ambacho sina uhakika nacho....Serikali ya Uingereza kwa nini iliilazimisha zile fedha zirudishwe na zikarudi .Hukumbuki hizo fedha zilileta balaa mpaka kwenye Bunge la Uingereza. Naomba uwe unafatilia mambo na usilete stoty za mitaani hapa .