PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
wenzake wanakutana na Raisi na viongozi wa juu Mama mwizi wetu anakutana na naibu balozi

View: https://youtu.be/8p9riRjgazo?si=7APGYp7FzqIfPaXh

View: https://youtu.be/1n-h-N25P3E?si=PTKrmI_Nl9zXm29Z

hahaha sasa hiyo podium si unatakiwa pia uwe composed kwanza, angalia Ruto na body language yake, ametulia anakata ishu huku Trump, Rubio wakisikiliza kwa makini, sisi mambo hayo hatuwezi, tulikuwa na B.Mkapa (rip) ndiyo alikuwa anaweza kumudu podium kama hizo, ila sasa hivi tumepatikana aisee, duh ...
 
Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?

Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Watu wamevurugwa kwa sasa waacheni tu.
 
Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?

Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Kuna namna hapo si bure
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
We endelea kupika tu utaunguza chakula mlale njaa
 
‎Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano Treni ya umeme piga kiberiti ,
‎Ma generator ya bwawa la Nyerere piga kiberiti ,

‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Alafu wananchi waishije?
 
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?

Viongozi mahiri kama Nyerere alipata kusema haya, kumbukumbu kutoka intaneti / youtube

TOKA MAKTABA

Nyerere asema mataifa makubwa yana uwezo wa kutia mbinyo ili mabadiliko yapatikane

View: https://m.youtube.com/watch?v=d3LQ5RrYga4
Mwalimu Nyerere anatambulika kama Mwanamajumui na Baba wa Ukombozi wa Nchi za kusini mwa Afrika na Afrika kwa ujumla, jitihada zake katika kuzisaidia nchi za kusini kutoka kwa ukoloni ndizo zilizomsaidia sifa hiyo, msikilize hapa akihutubua wananchi nchini Tanzania mwaka 1964 kuhusu juhudi zake katika kuzisaidia Angola na Msumbiji kujinasua katika ukoloni wa Wareno...
 
Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?

Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Ipo sawa
 
Nchi ya wajinga hii
Eti kuna mimbulula inaota waandamanaji wengine watatoka na bunduki, mtaota sana
Kesho hii hapa
 
Viongozi mahiri kama Nyerere alipata kusema haya, kumbukumbu kutoka intaneti / youtube

TOKA MAKTABA

Nyerere asema mataifa makubwa yana uwezo wa kutia mbinyo ili mabadiliko yapatikane

View: https://m.youtube.com/watch?v=d3LQ5RrYga4
Mwalimu Nyerere anatambulika kama Mwanamajumui na Baba wa Ukombozi wa Nchi za kusini mwa Afrika na Afrika kwa ujumla, jitihada zake katika kuzisaidia nchi za kusini kutoka kwa ukoloni ndizo zilizomsaidia sifa hiyo, msikilize hapa akihutubua wananchi nchini Tanzania mwaka 1964 kuhusu juhudi zake katika kuzisaidia Angola na Msumbiji kujinasua katika ukoloni wa Wareno...

08 December 2025
Chamwino Dodoma

Tanzania, U.S. Move to Finalise Landmark Investment Agreements | Updates 2025​

View: https://m.youtube.com/watch?v=StJBB6dz8tk
Live from Dodoma, Tanzania — 8 December 2025 Tanzania and the United States are entering the final phase of negotiations on several major strategic investments expected to reshape the nation’s economic landscape and strengthen bilateral ties.

President Dr. Samia Suluhu Hassan held high-level talks at Chamwino State House with Andrew Lentz, the Acting U.S. Ambassador to Tanzania, focusing on deepening cooperation and reaffirming a shared commitment to a modern, mutually beneficial partnership.

Ambassador Andrew Lentz underscored Washington’s renewed determination to expand economic, political, and security collaboration, emphasising that the U.S. seeks a partnership rooted not in aid dependency but in shared prosperity.

Discussions centred on the progress of three major U.S.-linked investments: the LNG project, the Tembo Nickel project, and the Mahenge Graphite project.Both sides confirmed that the LNG and Tembo Nickel negotiations are in their final stages pending formal agreements, while work continues on the Mahenge Graphite initiative.

President Samia Hassan commended the U.S. commitment and assured that Tanzania is dedicated to completing all remaining procedural steps.She reiterated that Tanzania, as a non-aligned nation, is “open, ready, and committed to working with partners who respect our sovereignty and share our vision for prosperity.”

The President also highlighted strong investor confidence, noting that over 400 American companies currently operate in Tanzania, signalling long-term economic stability and openness to investment.

Beyond the investment portfolio, the meeting also addressed broader areas of cooperation, including political stability, regional security, private-sector development, health partnerships, and people-to-people exchanges.

Ambassador Andrew Lentz praised Tanzania’s Vision 2050 and expressed the U.S. Government’s readiness to support its implementation, including the President’s 4R philosophy of governance reforms.Both nations agreed that enhanced communication, consistent engagement, and timely action on pending agreements will be pivotal to unlocking the full potential of U.S.–Tanzania relations.

Key Flagship Projects

1. LNG Project — Estimated Value: USD 42 Billion A transformative natural gas development designed to unlock Tanzania’s vast offshore reserves. Once operational, it is expected to significantly increase national revenue, create thousands of jobs, and position Tanzania as a major global LNG supplier.

2. Tembo Nickel Project — Value: USD 942 MillionLocated in Ngara, this critical minerals project targets nickel production—an essential component of electric-vehicle batteries. The investment will support global clean-energy supply chains, strengthen industrialisation, and boost Tanzania’s export earnings.

3. Mahenge Graphite Project — Value: USD 300 MillionOne of the world’s largest high-grade graphite ventures, intended to serve the rapidly expanding battery and renewable-energy sectors. The project reinforces Tanzania’s role as a leading supplier of battery-grade minerals.A Defining Moment for Tanzania–U.S. Relations

The meeting marks a pivotal step in revitalising the partnership between the two countries. The reaffirmed commitments signal the emergence of a transparent, private-sector-driven relationship rooted in mutual respect, shared prosperity, and long-term strategic cooperation
 
Who are you??? Huyu Mama ni kichekesho
Huyu mama, walio karibu naye wamchunguze na kumfuatilia sana. Kuna siku badala ya kutoka amevaa ushungi kichwani, mnaweza kumwona amevaa underwear kichwani! Anakoelekea ni giza totoro.

Fikiria leo unasema who are you, kesho unaenda kumpigia magoti huyohuyo uliyemwambia who are you!
 
CCM na viongozi wake wameiweka Tanzania katika hali inayohatalisha sana usalama wa taifa.

Sasa hivi viongozi wamejenga mazingira ambayo wanaweza kupewa mawazo na mashinikizo ambayo hawatakuwa budi kuyakubali ili wao au taifa lipone.

Katika mazingira tuliyopo, Rais anaweza hata kuwa "blackmailed" na baadhi ya watu wa ndani au wa nje.

Nyakati kama hizi zinahitaji watu wenye "superior intelligence" ili kujua nini cha kufanya kuliokoa taifa.

NB. Nadhani leo jioni Samia atatoa hotuba. Stay tuned!

Tayari Ufaransa wameingia Bagamoyo kwa kupitia Zanzibar

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd yenye Makao Makuu yake Nchini Ufaransa ambayo ni kampuni tanzu ya MSC, kwa ajili ya usanifu, Ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu katika Bandari ya Bagamoyo.

Hati hii ya makubaliano (MoU) imesainiwa tarehe 6 Disemba,2025 Makao Makuu ya TPA Jijini Dar es Salaam kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Bw. Plasduce Mbossa na Rais wa AGL Philippe Labonne.

Bw. Mbossa amesema, kusainiwa kwa hati ya Makubaliano ni ishara ya utayari wa kuanza kwa mradi wa Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo kwa kuanzia AGL itaanza usanifu na Ujenzi wa gati tatu mpya za Kisasa kati ya 28 zinazotatajiwa kujengwa katika Bandari hiyo pamoja na gati mbili mpya za Kisasa katika Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa upande wake Rais wa AGL Bw. Philippe Labonne anasema wameamua kuingia makubaliano na TPA na kuwekeza Tanzania kutokana na kuwa nchi yenye Amani, Usalama na mazingira bora na tulivu ya uwekezaji iliyosehemu sahihi kijiografia kwa Sekta ya Uchukuzi na kuwa lango la Biashara Kitaifa na kimataifa.

Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa gati mpya tatu utasanifiwa na kujengwa kwa miezi 36 (miaka mitatu) na Kampuni ya AGL imepata nafasi hii ya kushirikiana na TPA katika Ujenzi huo kutokana na uzoefu wao kama kampuni kubwa ya huduma za usafirishaji na logistiki, inayotoa huduma kamili za usafirishaji, usimamizi wa mizigo, usafirishaji wa kimataifa na huduma za forodha, ikiwa sehemu ya kundi la kimataifa la AGL (zamani Bolloré T&L) na sasa wakiwa chini ya MSC.

tpa.png
 
Aan

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imesaini hati ya Makubaliano ( MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics ( AGL) Tanzania Ltd yenye Makao Makuu yake Nchini Ufaransa ambayo ni kampuni tanzu ya MSC, kwa ajili ya usanifu, Ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu katika Bandari ya Bagamoyo.

Hati hii ya makubaliano ( MoU) imesainiwa tarehe 6 Disemba,2025 Makao Makuu ya TPA Jijini Dar es Salaam kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Bw. Plasduce Mbossa na Rais wa AGL Philippe Labonne.

Bw. Mbossa amesema, kusainiwa kwa hati ya Makubaliano ni ishara ya utayari wa kuanza kwa mradi wa Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo kwa kuanzia AGL itaanza usanifu na Ujenzi wa gati tatu mpya za Kisasa kati ya 28 zinazotatajiwa kujengwa katika Bandari hiyo pamoja na gati mbili mpya za Kisasa katika Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa upande wake Rais wa AGL Bw. Philippe Labonne anasema wameamua kuingia makubaliano na TPA na kuwekeza Tanzania kutokana na kuwa nchi yenye Amani, Usalama na mazingira bora na tulivu ya uwekezaji iliyosehemu sahihi kijiografia kwa Sekta ya Uchukuzi na kuwa lango la Biashara Kitaifa na kimataifa.

Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa gati mpya tatu utasanifiwa na kujengwa kwa miezi 36 ( miaka mitatu) na Kampuni ya AGL imepata nafasi hii ya kushirikiana na TPA katika Ujenzi huo kutokana na uzoefu wao kama kampuni kubwa ya huduma za usafirishaji na logistiki, inayotoa huduma kamili za usafirishaji, usimamizi wa mizigo, usafirishaji wa kimataifa na huduma za forodha, ikiwa sehemu ya kundi la kimataifa la AGL (zamani Bolloré T&L) na sasa wakiwa chini ya MSC.

TOKA MAKTABA:

19 October 2023
Unguja, Zanzibar

ZMT, the company created by Africa Global Logistics AGL to manage and develop the terminal serving the million women and men who live in the Zanzibar Archipelago.

From Zanzibar to Bagamoyo

Official commissioning of Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT)​

On 18 October 2023, the Head of State of the People’s Republic of Zanzibar, H.E. Hussein Mwinyi, officially commissioned the Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT) in the presence of Philippe Labonne, Chairman of AGL, the Zanzibar political authorities and Nahaat Mahfoud, Managing Director of the Port Authority, Zanzibar Ports Corporation.

This ceremony marks the formal launch of the activities of ZMT, the company created by Africa Global Logistics to manage and develop the terminal serving the million women and men who live in the Zanzibar Archipelago.

The ZMT management contract signed on 18 May 2023, following a call for tenders, will provide the country with a competitive infrastructure which, combined with AGL’s experience in port operations, will enable the country’s imports and exports to be carried out to the highest levels of quality, safety and security, in accordance with international standards. With the assistance of the MSC Group, of which AGL is a member, ZMT will help to streamline trade in the region and boost the attractiveness of Zanzibar, while accelerating the country’s economic development.

The Zanzibar Multipurpose Terminal is committed to implementing an investment plan. The company will build an external container emptying area to relieve congestion in the port of Malindi, as well as renovating and updating infrastructure and equipment. The aim is to increase the volume of goods handled at the port of Malindi.

«WE ARE HONOURED BY THE TRUST THAT ZANZIBAR’S HIGHEST AUTHORITIES HAVE PLACED IN AGL, AND THIS FORMAL COMMISSIONING CEREMONY IS PROOF OF THEIR INTEREST. FOLLOWING THE LAUNCH OF OPERATIONS ON 18 SEPTEMBER 2023, WE HAVE MOBILISED ALL OUR TEAMS AND DEPLOYED THE NEW RELATED TOOLS IN ORDER TO IMPROVE PRODUCTIVITY AT THE PORT OF MALINDI. THANKS TO THE SUPPORT OF OUR 400 DIRECT EMPLOYEES, WE BELIEVE THIS PORT WILL MAKE A CONTRIBUTION TO THE GROWTH OF THE LOCAL ECONOMY» said Nicolas Escalin, Managing Director of ZMT
With a 240-metre quay and 11 metres of draught, the port is part of a local development strategy that will benefit local communities and includes a training programme for the company’s employees. The company will also draw up an action plan to reduce the terminal’s environmental impact.

ABOUT ZANZIBAR MULTIPURPOSE TERMINAL (ZMT)
ZMT is the operator of the Malindi terminal in Zanzibar. Its principal shareholders AGL, a major player in the transport and logistics industry in Africa, and SEGA Logistics, its local partner, have ambitions to make the port of Malindi one of the leading ports in East Africa. An investment plan is being implemented to provide Zanzibar with modern infrastructure. Maintaining and developing the jobs and skills of direct and indirect employees is a strategic area of development for this port platform, which will benefit from the experience of AGL, a member of the MSC Group and the leading operator of port concessions in Africa
 
WAWEKEZAJI WAMEJIPANGA FOLENI KUTUMIA UTAWALA ULIOFITIMIKA

TOKA MAKTABA:

19 October 2023
Unguja, Zanzibar

ZMT, the company created by Africa Global Logistics AGL to manage and develop the terminal serving the million women and men who live in the Zanzibar Archipelago.

From Zanzibar to Bagamoyo

Official commissioning of Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT)​

On 18 October 2023, the Head of State of the People’s Republic of Zanzibar, H.E. Hussein Mwinyi, officially commissioned the Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT) in the presence of Philippe Labonne, Chairman of AGL, the Zanzibar port authorities and Nahaat Mahfoud, Managing Director of the Port Authority, Zanzibar Ports Corporation.

This ceremony marks the formal launch of the activities of ZMT, the company created by Africa Global Logistics to manage and develop the terminal serving the million women and men who live in the Zanzibar Archipelago.

The ZMT management contract signed on 18 May 2023, following a call for tenders, will provide the country with a competitive infrastructure which, combined with AGL’s experience in port operations, will enable the country’s imports and exports to be carried out to the highest levels of quality, safety and security, in accordance with international standards. With the assistance of the MSC Group, of which AGL is a member, ZMT will help to streamline trade in the region and boost the attractiveness of Zanzibar, while accelerating the country’s economic development.

The Zanzibar Multipurpose Terminal is committed to implementing an investment plan. The company will build an external container emptying area to relieve congestion in the port of Malindi, as well as renovating and updating infrastructure and equipment. The aim is to increase the volume of goods handled at the port of Malindi.

With a 240-metre quay and 11 metres of draught, the port is part of a local development strategy that will benefit local communities and includes a training programme for the company’s employees. The company will also draw up an action plan to reduce the terminal’s environmental impact.

ABOUT ZANZIBAR MULTIPURPOSE TERMINAL (ZMT)
ZMT is the operator of the Malindi terminal in Zanzibar. Its principal shareholders AGL, a major player in the transport and logistics industry in Africa, and SEGA Logistics, its local partner, have ambitions to make the port of Malindi one of the leading ports in East Africa. An investment plan is being implemented to provide Zanzibar with modern infrastructure. Maintaining and developing the jobs and skills of direct and indirect employees is a strategic area of development for this port platform, which will benefit from the experience of AGL, a member of the MSC Group and the leading operator of port concessions in Africa

TOKA MAKTABA​

19 Oktoba 2023​

Kuzinduliwa rasmi kwa Kituo cha Mizigo ya bandari ya Zanzibar (ZMT)​

Tarehe 18 Oktoba 2023, Mkuu wa Nchi ya Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar, HE Dr. Hussein Mwinyi, aliye pia mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi SMZ alizindua rasmi ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Bandari ya Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT) mbele ya Philippe Labonne, Mwenyekiti wa AGL, na Nahaat Mahfoud, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Shirika la Bandari Zanzibar ZPC.

Hafla hii inaashiria uzinduzi rasmi wa shughuli za ZMT, kampuni tanzu iliyoundwa na Africa Global Logistics AGL kusimamia na kuendeleza bandari hiyo maalum itakayo hudumia raia wa nchi wanawake na wanaume wapatao milioni wanaoishi katika Visiwa vya Zanzibar.

Mkataba wa usimamizi wa ZMT uliotiwa saini tarehe 18 Mei 2023, kufuatia wito wa zabuni, utaipatia nchi ya Zanzibar miundombinu shindani ambayo, pamoja na uzoefu wa AGL katika uendeshaji wa bandari, itawezesha uagizaji na usafirishaji wa bidhaa nchini kutekelezwa kwa viwango vya juu vya ubora, usalama na usalama, kwa kuzingatia viwango vya kimataifa.

Kwa msaada wa MSC Group ambayo AGL ni mwanachama, ZMT itasaidia kurahisisha biashara katika ukanda huu wa Afrika na kukuza mvuto wa Zanzibar, sambamba na kuharakisha maendeleo ya uchumi wa nchi.

Zanzibar Multipurpose Terminal imejitolea kutekeleza mpango wa uwekezaji. Kampuni itajenga eneo la nje la kuweka makontena ili kupunguza msongamano katika bandari ya Malindi, Zanzibar pamoja na kukarabati na kupata miundombinu na vifaa vilivyo vya kisasa. Lengo ni kuongeza wingi wa bidhaa zinazohudumiwa katika bandari ya Malindi, Zanzibar.

«TUNA HESHIMA KWA UAMINIFU AMBAO MAMLAKA KUU ZA ZANZIBAR WAMEWEKA NDANI YA AGL, NA SHEREHE HII YA UTUME RASMI NI UTHIBITISHO WA MASLAHI YAO. KUFUATIA UZINDUZI WA OPERESHENI TAREHE 18 SEPTEMBA 2023, TUMEHAMASISHA TIMU ZETU ZOTE NA KUPELEKA ZANA MPYA ZINAZOHUSIANA NAZO ILI KUBORESHA TIJA KATIKA BANDARI YA MALINDI. SHUKRANI KWA MSAADA WA WAFANYAKAZI WETU WA MOJA KWA MOJA 400, TUNAAMINI BANDARI HII ITATOA MCHANGO WA KUKUZA UCHUMI WA NDANI» alisema Nicolas Escalin, Mkurugenzi Mkuu wa ZMT.
Ikiwa na ghuba ya mita 240 na mita 11 zilizo rasimu, bandari ni sehemu ya mkakati wa maendeleo wa ndani ambao utafaidi jamii pana na inajumuisha programu ya mafunzo kwa wafanyakazi wa kampuni. Kampuni ZMT / AGL pia itaunda mpango wa utekelezaji ili kupunguza athari za mazingira za kituo hicho.

KUHUSU ZANZIBAR MULTIPURPOSE TERMINAL (ZMT)
ZMT ndio waendeshaji wa kituo cha Malindi huko Zanzibar. Wanahisa wake wakuu AGL, mdau mkuu katika tasnia ya uchukuzi na usafirishaji barani Afrika, na SEGA Logistics, mshirika wake wa ndani, wana malengo ya kuifanya bandari ya Malindi, Zanzibar kuwa mojawapo ya bandari zinazoongoza Afrika Mashariki.

Mpango wa uwekezaji unatekelezwa ili kuipatia Zanzibar miundombinu ya kisasa. Kudumisha na kuendeleza kazi na ujuzi wa wafanyakazi wa moja kwa moja na wasio wa moja kwa moja ni eneo la kimkakati la maendeleo kwa jukwaa hili la bandari, ambalo litafaidika kutokana na uzoefu wa AGL, mwanachama wa Kundi la MSC na mwendeshaji mkuu wa makubaliano ya bandari barani Afrika
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
Mikataba haijasainiwa bado, hayo ni mambo yalivyokuwa kwenye negotiation ndo Tanzania imeahid itsmaliza haraka majadiliano Ili mikataba isainiwe
 
Back
Top Bottom