PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.

Soma Pia: Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

View attachment 3513082
Uongo!
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.

Soma Pia: Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

View attachment 3513082
 

Attachments

  • 20251209_103402.jpg
    20251209_103402.jpg
    169.2 KB · Views: 21
Haya majamaa hayawezi ISHI Bila sisi niamini Mimi na Dr Samia yaani hayawezi ISHI haya majaa kabisa.

Yameulizwa Who are you? Juzi Leo tunamwona balozi wao kaufyata walah haya majamaa hayawezi hishi paspo sisi

Aleluyaaaa! Samia Suluhu Oyeeeee!
Who are you oyeeeeee?
 
Kosa vyote ila sio akili, hakuna adhabu mbaya kama kukosa akili na hili ndio gonjwa linaloitafuna CCM, yani imejaza kundi la wagonjwa wa akili.
Ona sasa huyu anaamini Wazungu ndio wamefyata kumbe Mama yao kaona isiwe tabu tumalize tu kuzungumza tuwape hiyo migodi yao, kama mngekuwa na uwezo si mngemuita kabisa Rais wao ili tuone huo ukubwa wenu kinyune chake kaja Kaimu Balozi sio hata Wazir na afisa wake wa mambo ya siasa na uchumi na kamchana live kabisa kuwa tunataka kuona mambo ya siasa, demokrasia yanaboreshwa na akakupa na code kabisa tutashirikiana kwenye ulinzi, Sasa kwa akili zenu ndogo nyinyi mnaweza kumsaidia yeye kwenye ulinzi au nyinyi ndio mtasaidiwa? Maana yake kaambiwa ukileta Nywinywinywi tutaingia chumbani kwako tena kwa kumtuma Kagame tu halafu tuone kama China watakusaidia, haya leta Migodi fastq
 
Haya majamaa hayawezi ISHI Bila sisi niamini Mimi na Dr Samia yaani hayawezi ISHI haya majaa kabisa.

Yameulizwa Who are you? Juzi Leo tunamwona balozi wao kaufyata walah haya majamaa hayawezi hishi paspo sisi

Aleluyaaaa! Samia Suluhu Oyeeeee!
Who are you oyeeeeee?
Uongo!
 
Munafikiri kuuza resources za Nchi hovyo, ndio muta escape justice?.

Jina haiozi

Samia na genge la maharamia ndani ya CCM wanarajaribu kujiokoa wasiende ICC kwa kupiga mnada mali zetu zote za taifa, na kuipuuza sheria iliyopo ya Ukuu wa Kudumu juu ya Maliasili (PSNR) :Sheria ya Ukuu wa Kudumu inawapa watu wa Tanzania haki ya uhuru wa kudumu juu ya mali na maliasili zote, ambazo ni ardhi, madini, bandari n.k ...Tanzania's recently enacted Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (Sovereignty Act

Sehemu zifuatazo zinachambua vifungu muhimu vilivyoletwa ndani ya Ukuu wa Kudumu juu ya Maliasili (PSNR) : .

1. Utambuzi wa kanuni ya ukuu wa kudumu juu ya mali asilia na rasilimali​

Utangulizi wa Sheria ya Utawala wa Kudumu na Mapitio na Majadiliano ya Sheria ya Masharti Yasiokubalika unatambua kanuni ya uhuru wa kudumu kama ilivyoelezwa katika Azimio namba 1803 la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa la tarehe 14 Desemba 1962. Sheria ya Ukuu wa Kudumu inawapa Watanzania haki ya kuwa na utajiri wa kudumu na mali asili ya Tanzania ambayo inamilikiwa na rais wa kudumu na kuaminiwa na rasilimali asilia. Utawala wa kudumu, kati ya mambo mengine:

  • inaharamisha kuingia katika mikataba ya maliasili kwa ajili ya utafutaji, unyonyaji au upatikanaji na matumizi bila kibali cha bunge, na inadai kwamba shughuli hizo zinapaswa kupata maslahi ya wananchi wa Tanzania. [6]
  • dhamana inarudi katika uchumi wa ndani. [7]
  • inahitaji idhini zote kufanywa ili kuhakikisha kuwa serikali inapata sehemu "sawa" ya ubia. [8]
  • inaruhusu mikataba yote kupitiwa na bunge kama sehemu ya kazi yake ya kikatiba. [9]
  • inawataka wawekezaji katika sekta ya madini kuwa washiriki kikamilifu katika kukuza uchumi wa Tanzania. Hasa, wenye haki za madini sasa wanatakiwa kuwekeza sehemu ya faida zao ili kuongeza ufanisi wa kiuchumi wa Tanzania na wanapaswa kuonyesha juhudi hizi katika mapato ya kila mwaka.

2. Marufuku ya usafirishaji wa malighafi nje ya nchi na katazo la manufaa nje ya Tanzania​

Miongoni mwa masharti ya Sheria ya Kudumu ya Ukuu (Permanent Sovereignty Act) ambayo yamepewa kipaumbele zaidi katika muktadha wa sekta ya madini ni pamoja na zuio la usafirishaji wa malighafi nje ya nchi, pamoja na kunufaika kwa malighafi nje ya nchi. [10] Wawekezaji sasa wanatakiwa kujitolea kuanzisha vifaa vya manufaa ndani ya nchi.

Hasa, Sheria ya Ukuu wa Kudumu inafafanua maliasili na utajiri kama:

vitu vyote vinavyotokea katika asili kama vile udongo, udongo, gesi na rasilimali za maji, mimea, wanyama, rasilimali za kijenetiki, rasilimali za majini, viumbe vidogo vidogo, anga ya anga, mito, maziwa na anga ya bahari, ikiwa ni pamoja na eneo la bahari ya Tanzania na rafu ya bara, rasilimali hai na zisizo hai katika Eneo la kipekee, rasilimali za kiuchumi zinazoweza kuchimbwa au kupatikana kiuchumi. kupata ikiwa imechakatwa au la. [11]
 
TEC hawajatoa waraka kupinga ufaransa kuendesha gati tatu bandari ya bagamoyo?

Marekani migodi ya madini adimu ya kimkakati duniani, Ufaransa kwa kupitia Zanzibar wapo Bagamoyo kujenga gati... mabeberu wengi watakuja kipindi hiki cha CCM kukurupuka kusaini mikataba kujinusuru na kitanzi cha ICC..

TEC na wadau wengine wanaiangalia hali hii ya mali kugawiwa kwa fujo nani mwingine atajiunga na USA, France ili wakitoa tamko litaelezea ku-panick kwa CCM kunavyoigharimu taifa mzizi wake ni kukosekana uhuru wa raia kuwachagua viongozi, wabunge, madiwani .. uchafuzi wa chaguzi za 2019, 2020, 2024, 2025 ..

08 December 2025
AGL YASAINI MKATABA WA UJENZI GATI ZA BANDARI YA BAGAMOYO
Bagamoyo Port Tanzania East African trade infrastructure development

View: https://m.youtube.com/watch?v=tSXQTMFP1lo

Discover how the long-awaited Bagamoyo Port in Tanzania is set to revolutionize trade in East Africa. This mega project, part of the Bagamoyo Special Economic Zone, promises to handle larger vessels and boost cargo volumes across the region.

Key highlights include the recent MoU with Africa Global Logistics (AGL) for constructing three new berths, starting construction in early January 2026. Learn about the port's capacity for deep-water ships, connections to standard gauge railway, and its role in reducing trade costs for countries like DRC, Zambia, and Uganda.

Featuring insights from TPA Director General Plasduce Mbossa and AGL President Philippe Labonne, this video covers the project's history from 2004, estimated $10 billion investment, and expected completion in 36 months.

Explore how Tanzania is positioning itself as a key transport and logistics hub, creating jobs and attracting investments.Watch for updates on this transformative initiative by Tanzania Ports Authority, with endorsements from President Samia Suluhu Hassan.

Bagamoyo Port update Tanzania ports news East Africa trade hub logistics infrastructure economic zone.
 
Marekani migodi ya madini adimu ya kimkakati duniani, Ufaransa kwa kupitia Zanzibar wapo Bagamoyo kujenga gati... mabeberu wengi watakuja kipindi hiki cha CCM kukurupuka kusaini mikataba kujinusuru na kitanzi cha ICC..

TEC na wadau wengine wanaiangalia hali hii ya mali kugawiwa kwa fujo nani mwingine atajiunga na USA, France ili wakitoa tamko litaelezea ku-panick kwa CCM kunavyoigharimu taifa mzizi wake ni kukosekana uhuru wa raia kuwachagua viongozi, wabunge, madiwani .. uchafuzi wa chaguzi za 2019, 2020, 2024, 2025 ..
Kwa akili yako ndogo mazungumzo yalianza baada ya uchaguzi?.. mazungumzo Yana miaka
 
Back
Top Bottom