PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ILI KUJINUSURU UTAWALA ULIOFITINIKA WANAPITIA UCHOCHORO WA ZANZIBAR KUINGIA TANGANYIKA KUSOMBA MALI ZOTE NA KUGAWIA MATAIFA MAKUBWA

FROM ZANZIBAR WITH LOVE

11 September 2023
Unguja, Zanzibar

RASMI BANDARI YA MALINDI YAKABIDHIWA KWA MWEKEZAJI KUTOKA UFARANSA AGL KWA MUDA WA MIAKA MITANO

View: https://m.youtube.com/watch?v=6X5K1sqHr90
SHIRIKA la Bandari Zanzibar (ZPC) linatarajia kukabidhi rasmi shughuli zote za Huduma na Uendeshaji wa Bandari ya Malindi kwa muda wa miaka Mitano kwa Muewekezaji Afrika Global Logistics kutoka Ufaransa.

Wakati Malumbano yakiendelea na kuzua hoja mbalimbali Tanzania Bara kuhusu Mkataba wa Bandari ya Dar es Salaam pia Bagamoyo, huku Visiwani Zanzibar hali imekuwa tofauti kidogo mara baada ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ kuridhia kwa kauli moja kutoa bandari ya Malindi kwa Muda wa miaka mitano kwa Mwekezaji kutoka Nchini Ufaransa.

Aidha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri kwamba Mapato yote yatokanayo kusanywa katika bandari hiyo Serikali itapata Asilimia 30 huku Kampuni ya Afrika Global Logistisc AGL itapata Asilimia 70.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar ZPC Nahat Mohammed Mahfoudh amesema kuwa, Uwamuzi huo wa Serikali umezingatia uboreshaji wa Huduma bora za Uendeshaji wa Bandari hiyo.

Aidha Mkurugenzi huyo wa bandari Zanzibar ZPC amefafanua kuwa hatua hiyo ya Serikali ya SMZ itasaidia kuondokana na Changamoto za Upandaji wa Bei za Bidhaa kutokana na Ucheleweshaji wa Mizigo Bandarini.

"Shirika la Bandari Zanzibar ZPC linatarajia Kukabidhi Bandari hiyo Septemba 18, 2023 na kuacha Mijadala ya Mkataba wa Bandari kuendelea kuibiluliwa huko Tanzania bara(Tanganyika)
 
Huyu Balozi wanaongea nini na muuaji! Marekani asituletee za kuleta hapa

Fursa katika kibano Marekani haisahau madhambi, ila kuna msemo maarufu, kwamba kuwa na uhusiano na Marekani ni hatari zaidi kuliko hatari ya kuwa Adui wa taifa hilo Kubwa.

Maana yake kibano kwa Samia kipo palepale ingawa anajaribu kugawa kila mali ahurumiwe na mataifa makubwa.

Henry Kissinger — 'It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal.'
 
ILI KUJINUSURU UTAWALA ULIOFITINIKA WANAPITIA UCHOCHORO WA ZANZIBAR KUINGIA TANGANYIKA KUSOMBA MALI ZOTE NA KUGAWIA MATAIFA MAKUBWA

FROM ZANZIBAR WITH LOVE

11 September 2023
Unguja, Zanzibar

RASMI BANDARI YA MALINDI YAKABIDHIWA KWA MWEKEZAJI KUTOKA UFARANSA AGL KWA MUDA WA MIAKA MITANO

View: https://m.youtube.com/watch?v=6X5K1sqHr90
SHIRIKA la Bandari Zanzibar (ZPC) linatarajia kukabidhi rasmi shughuli zote za Huduma na Uendeshaji wa Bandari ya Malindi kwa muda wa miaka Mitano kwa Muewekezaji Afrika Global Logistics kutoka Ufaransa.

Wakati Malumbano yakiendelea na kuzua hoja mbalimbali Tanzania Bara kuhusu Mkataba wa Bandari ya Dar es Salaam pia Bagamoyo, huku Visiwani Zanzibar hali imekuwa tofauti kidogo mara baada ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ kuridhia kwa kauli moja kutoa bandari ya Malindi kwa Muda wa miaka mitano kwa Mwekezaji kutoka Nchini Ufaransa.

Aidha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri kwamba Mapato yote yatokanayo kusanywa katika bandari hiyo Serikali itapata Asilimia 30 huku Kampuni ya Afrika Global Logistisc AGL itapata Asilimia 70.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar ZPC Nahat Mohammed Mahfoudh amesema kuwa, Uwamuzi huo wa Serikali umezingatia uboreshaji wa Huduma bora za Uendeshaji wa Bandari hiyo.

Aidha Mkurugenzi huyo wa bandari Zanzibar ZPC amefafanua kuwa hatua hiyo ya Serikali ya SMZ itasaidia kuondokana na Changamoto za Upandaji wa Bei za Bidhaa kutokana na Ucheleweshaji wa Mizigo Bandarini.

"Shirika la Bandari Zanzibar ZPC linatarajia Kukabidhi Bandari hiyo Septemba 18, 2023 na kuacha Mijadala ya Mkataba wa Bandari kuendelea kuibiluliwa huko Tanzania bara(Tanganyika)

bado mwinyi yuko vizuri kwa maoni yangu klk huku kwetu angalau ni miaka 5 na kuna uwazi fulani kwenye hiyo link wa mapato kwamba 30 kwa 70, na maelezo yamenyooka, sasa sisi huku kwetu na bandari zetu hatujui chochote tuko gizani, hatujui tuna asilimia ngapi na ''mwarabu'' ana asilimia ngapi na kwa muda gani? na huo mkataba unajumuisha ni na nini? vyote hivyo gizani, thats why watanzania hawaitaki hii regime, ujanja ujanja mwingi sana na wizi ...
 
Watu wamefukunyua wakakuta picha ni ya zamani.
 
Attachments

  • Screenshot_20251208_222905_Instagram.jpg
    Screenshot_20251208_222905_Instagram.jpg
    260.5 KB · Views: 12
Imekula kwenu, kwani hamuwafahamu wamarekani, wao hawana haja ya haki za binsdamu, ICC, utawala bora wala demokrasia.
Wao haja yao ni gesi ya Mtwara tu. Na CCM kwa mwendo huu mliowajia, nchi za magharibi zitasaini mikataba mingi sana huku TZ ikipata asilimia ndogo sana.

kwa mbinu zenu dhaifu, imekula kwenu. CHADEMA mmeingia choo cha kike. kuna nchi 40 ziko foleni kuingia mikataba na Samia. LISSU🥵😭
Baada ya yale MADOIDO yake kwenye hotuba ya "WHO ARE YOU!?" .... sasa anataka kujisalimisha. What the hake...!
 
Attachments

  • IMG_20251208_232239.jpg
    IMG_20251208_232239.jpg
    144.8 KB · Views: 14
  • IMG_20251208_232133.jpg
    IMG_20251208_232133.jpg
    122.6 KB · Views: 19
Watu wa Protocol Ikulu wamepuyanga ama ni kutokujali?

Kwenye Picha, Rais amewekwa/amejiweka Kushoto mwa mgeni wake, Ina maana Kaimu Balozi ana Mamlaka kumzidi Rais?
Mgeni wako wa kidiplomasia unamuweka kulia kumheshimu
 
Tayari Ufaransa wameingia Bagamoyo kwa kupitia Zanzibar

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd yenye Makao Makuu yake Nchini Ufaransa ambayo ni kampuni tanzu ya MSC, kwa ajili ya usanifu, Ujenzi na uendeshaji wa gati mpya tatu katika Bandari ya Bagamoyo.

Hati hii ya makubaliano (MoU) imesainiwa tarehe 6 Disemba,2025 Makao Makuu ya TPA Jijini Dar es Salaam kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Bw. Plasduce Mbossa na Rais wa AGL Philippe Labonne.

Bw. Mbossa amesema, kusainiwa kwa hati ya Makubaliano ni ishara ya utayari wa kuanza kwa mradi wa Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo kwa kuanzia AGL itaanza usanifu na Ujenzi wa gati tatu mpya za Kisasa kati ya 28 zinazotatajiwa kujengwa katika Bandari hiyo pamoja na gati mbili mpya za Kisasa katika Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa upande wake Rais wa AGL Bw. Philippe Labonne anasema wameamua kuingia makubaliano na TPA na kuwekeza Tanzania kutokana na kuwa nchi yenye Amani, Usalama na mazingira bora na tulivu ya uwekezaji iliyosehemu sahihi kijiografia kwa Sekta ya Uchukuzi na kuwa lango la Biashara Kitaifa na kimataifa.

Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa gati mpya tatu utasanifiwa na kujengwa kwa miezi 36 (miaka mitatu) na Kampuni ya AGL imepata nafasi hii ya kushirikiana na TPA katika Ujenzi huo kutokana na uzoefu wao kama kampuni kubwa ya huduma za usafirishaji na logistiki, inayotoa huduma kamili za usafirishaji, usimamizi wa mizigo, usafirishaji wa kimataifa na huduma za forodha, ikiwa sehemu ya kundi la kimataifa la AGL (zamani Bolloré T&L) na sasa wakiwa chini ya MSC.

tpa.png
TEC hawajatoa waraka kupinga ufaransa kuendesha gati tatu bandari ya bagamoyo?
 
WAWEKEZAJI WAMEJIPANGA FOLENI KUTUMIA UTAWALA ULIOFITIMIKA

TOKA MAKTABA​

19 Oktoba 2023​

Kuzinduliwa rasmi kwa Kituo cha Mizigo ya bandari ya Zanzibar (ZMT)​

Tarehe 18 Oktoba 2023, Mkuu wa Nchi ya Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar, HE Dr. Hussein Mwinyi, aliye pia mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi SMZ alizindua rasmi ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Bandari ya Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT) mbele ya Philippe Labonne, Mwenyekiti wa AGL, na Nahaat Mahfoud, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Shirika la Bandari Zanzibar ZPC.

Hafla hii inaashiria uzinduzi rasmi wa shughuli za ZMT, kampuni tanzu iliyoundwa na Africa Global Logistics AGL kusimamia na kuendeleza bandari hiyo maalum itakayo hudumia raia wa nchi wanawake na wanaume wapatao milioni wanaoishi katika Visiwa vya Zanzibar.

Mkataba wa usimamizi wa ZMT uliotiwa saini tarehe 18 Mei 2023, kufuatia wito wa zabuni, utaipatia nchi ya Zanzibar miundombinu shindani ambayo, pamoja na uzoefu wa AGL katika uendeshaji wa bandari, itawezesha uagizaji na usafirishaji wa bidhaa nchini kutekelezwa kwa viwango vya juu vya ubora, usalama na usalama, kwa kuzingatia viwango vya kimataifa.

Kwa msaada wa MSC Group ambayo AGL ni mwanachama, ZMT itasaidia kurahisisha biashara katika ukanda huu wa Afrika na kukuza mvuto wa Zanzibar, sambamba na kuharakisha maendeleo ya uchumi wa nchi.

Zanzibar Multipurpose Terminal imejitolea kutekeleza mpango wa uwekezaji. Kampuni itajenga eneo la nje la kuweka makontena ili kupunguza msongamano katika bandari ya Malindi, Zanzibar pamoja na kukarabati na kupata miundombinu na vifaa vilivyo vya kisasa. Lengo ni kuongeza wingi wa bidhaa zinazohudumiwa katika bandari ya Malindi, Zanzibar.

Ikiwa na ghuba ya mita 240 na mita 11 zilizo rasimu, bandari ni sehemu ya mkakati wa maendeleo wa ndani ambao utafaidi jamii pana na inajumuisha programu ya mafunzo kwa wafanyakazi wa kampuni. Kampuni ZMT / AGL pia itaunda mpango wa utekelezaji ili kupunguza athari za mazingira za kituo hicho.

KUHUSU ZANZIBAR MULTIPURPOSE TERMINAL (ZMT)
ZMT ndio waendeshaji wa kituo cha Malindi huko Zanzibar. Wanahisa wake wakuu AGL, mdau mkuu katika tasnia ya uchukuzi na usafirishaji barani Afrika, na SEGA Logistics, mshirika wake wa ndani, wana malengo ya kuifanya bandari ya Malindi, Zanzibar kuwa mojawapo ya bandari zinazoongoza Afrika Mashariki.

Mpango wa uwekezaji unatekelezwa ili kuipatia Zanzibar miundombinu ya kisasa. Kudumisha na kuendeleza kazi na ujuzi wa wafanyakazi wa moja kwa moja na wasio wa moja kwa moja ni eneo la kimkakati la maendeleo kwa jukwaa hili la bandari, ambalo litafaidika kutokana na uzoefu wa AGL, mwanachama wa Kundi la MSC na mwendeshaji mkuu wa makubaliano ya bandari barani Afrika
Utawala ulifitinika toka 2023?!.. mazungumzo yalianza baada ya 29/10?
 
Viongozi mahiri kama Nyerere alipata kusema haya, kumbukumbu kutoka intaneti / youtube

TOKA MAKTABA

Nyerere asema mataifa makubwa yana uwezo wa kutia mbinyo ili mabadiliko yapatikane

View: https://m.youtube.com/watch?v=d3LQ5RrYga4
Mwalimu Nyerere anatambulika kama Mwanamajumui na Baba wa Ukombozi wa Nchi za kusini mwa Afrika na Afrika kwa ujumla, jitihada zake katika kuzisaidia nchi za kusini kutoka kwa ukoloni ndizo zilizomsaidia sifa hiyo, msikilize hapa akihutubua wananchi nchini Tanzania mwaka 1964 kuhusu juhudi zake katika kuzisaidia Angola na Msumbiji kujinasua katika ukoloni wa Wareno...

Kiongozi mahiri raia wamejaa dhiki na ufukara,viraka tupu!
 
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.

Soma Pia: Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

View attachment 3513082
Mabeberu daima husema "We have no permanent friend and no permanent enemy, we only have permanent interest"
Wao wanajali maslahi yao ya kibiashara na kiuchumi tu. Sio demokrasia wala baba yake demokrasia
Pia ukumbuke huko Marekani majeshi ya National Guard na ICE wanafanya zaidi ya yale yaliyofanyika tarehe 28 Octoba hapa kwetu. Hivyo acha kuwasifu na kuwategemea mabebeberu rafiki yangu. Wanavaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui !!!
 
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.

Soma Pia: Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

View attachment 3513082
Vipi kati ya Urusi na Marekani kaengemea upande upi hasa? 👇👇👇👇
 
Attachments

  • FB_IMG_1765228140355.jpg
    FB_IMG_1765228140355.jpg
    103.8 KB · Views: 15
Imekula kwenu, kwani hamuwafahamu wamarekani, wao hawana haja ya haki za binsdamu, ICC, utawala bora wala demokrasia.
Wao haja yao ni gesi ya Mtwara tu. Na CCM kwa mwendo huu mliowajia, nchi za magharibi zitasaini mikataba mingi sana huku TZ ikipata asilimia ndogo sana.

kwa mbinu zenu dhaifu, imekula kwenu. CHADEMA mmeingia choo cha kike. kuna nchi 40 ziko foleni kuingia mikataba na Samia. LISSU🥵😭
Hamueleweki na propaganda zenu za karne ya 20. Yaani unasema Tanzania inasaini mikataba lukuki ambayo haiipi faida halafu hapo hapo unasema CHADEMA imeingia cha kike. Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Hamueleweki na propaganda zenu za karne ya 20. Yaani unasema Tanzania inasaini mikataba lukuki ambayo haiipi faida halafu hapo hapo unasema CHADEMA imeingia cha kike. Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Haifaidiki? we ndio huelewi kitu. Muulize Savimbi alitoswaje? John Galang naye?

Ngoja nikufungulie kitendawili.
Mmarekani ukishampa Rasilimali anayoitaka tu wewe ni rafiki, na nini alizungumza na CHADEMA kashasahau.
Kwa maneno rahisi, hapo hakuna tena cha ICC, vikwazo vya uchumi wala masharti kwa Samia. Sana sana ni Lissu ndio atayelazimishwa kwenda kuongea na Samia na kuambiwa utapata katiba mpya na uingie katika uchaguzi 2030. Huo hauuti ushindi, si mlitaka kumtoa. Si ndio choo cha kike hicho.
 
Wewe ndiyo umesema Tanzania itapata asilimia ndogo sana katika mikataba halafu unarudi tena kushangaa "haifaidiki?". Ndiyo maana nasema unaeneza propaganda ndiyo maana hata unachosema hakileti mantiki na sidhani kama hata wewe unakielewa. Unataka kumsema vibaya Lissu inaishia kuisema vibaya hao CCM wenzio waliokutuma.

Mifano unayoitoa ya sijui kina Savimbi actually ina apply kwa CCM ambao kwa miaka wamewapa nchi za magharibi access kwa rasilimali za Tanzania na dalili zipo kuwa wanaweza kutoswa. Hiyo mifano yako haiwezi kuapply kwa Lissu au CHADEMA maana hawajawahi kupata support unayoisema wala kuifaidisha Marekani.

Tanzania kupata Katiba Mpya utakuwa ushindi mkubwa kwa upinzani na Lissu kuambiwa aende kwenye uchaguzi wa 2030 ni "icing on the cake" maana ina maana kesi yake ya uhaini itafutiliwa mbali kwa order ya "mabeberu". Unataka CHADEMA wadai ushindi gani tena? Unasema yote hayo halafu unasema "hakuna masharti kwa Samia".

Rudi tena shule ya propaganda wakakunoe upya.
 
08 December 2025
Chamwino Dodoma

Tanzania, U.S. Move to Finalise Landmark Investment Agreements | Updates 2025​

View: https://m.youtube.com/watch?v=StJBB6dz8tk
Live from Dodoma, Tanzania — 8 December 2025 Tanzania and the United States are entering the final phase of negotiations on several major strategic investments expected to reshape the nation’s economic landscape and strengthen bilateral ties.

President Dr. Samia Suluhu Hassan held high-level talks at Chamwino State House with Andrew Lentz, the Acting U.S. Ambassador to Tanzania, focusing on deepening cooperation and reaffirming a shared commitment to a modern, mutually beneficial partnership.

Ambassador Andrew Lentz underscored Washington’s renewed determination to expand economic, political, and security collaboration, emphasising that the U.S. seeks a partnership rooted not in aid dependency but in shared prosperity.

Discussions centred on the progress of three major U.S.-linked investments: the LNG project, the Tembo Nickel project, and the Mahenge Graphite project.Both sides confirmed that the LNG and Tembo Nickel negotiations are in their final stages pending formal agreements, while work continues on the Mahenge Graphite initiative.

President Samia Hassan commended the U.S. commitment and assured that Tanzania is dedicated to completing all remaining procedural steps.She reiterated that Tanzania, as a non-aligned nation, is “open, ready, and committed to working with partners who respect our sovereignty and share our vision for prosperity.”

The President also highlighted strong investor confidence, noting that over 400 American companies currently operate in Tanzania, signalling long-term economic stability and openness to investment.

Beyond the investment portfolio, the meeting also addressed broader areas of cooperation, including political stability, regional security, private-sector development, health partnerships, and people-to-people exchanges.

Ambassador Andrew Lentz praised Tanzania’s Vision 2050 and expressed the U.S. Government’s readiness to support its implementation, including the President’s 4R philosophy of governance reforms.Both nations agreed that enhanced communication, consistent engagement, and timely action on pending agreements will be pivotal to unlocking the full potential of U.S.–Tanzania relations.

Key Flagship Projects

1. LNG Project — Estimated Value: USD 42 Billion A transformative natural gas development designed to unlock Tanzania’s vast offshore reserves. Once operational, it is expected to significantly increase national revenue, create thousands of jobs, and position Tanzania as a major global LNG supplier.

2. Tembo Nickel Project — Value: USD 942 MillionLocated in Ngara, this critical minerals project targets nickel production—an essential component of electric-vehicle batteries. The investment will support global clean-energy supply chains, strengthen industrialisation, and boost Tanzania’s export earnings.

3. Mahenge Graphite Project — Value: USD 300 MillionOne of the world’s largest high-grade graphite ventures, intended to serve the rapidly expanding battery and renewable-energy sectors. The project reinforces Tanzania’s role as a leading supplier of battery-grade minerals.A Defining Moment for Tanzania–U.S. Relations

The meeting marks a pivotal step in revitalising the partnership between the two countries. The reaffirmed commitments signal the emergence of a transparent, private-sector-driven relationship rooted in mutual respect, shared prosperity, and long-term strategic cooperation

Viongozi wa CCM wako blackmailed.
Inasikitisha sana tuwe makini sana,

Munafikiri kuuza resources za Nchi hovyo, ndio muta escape justice?.

Jina haiozi
 
Imekula kwenu, kwani hamuwafahamu wamarekani, wao hawana haja ya haki za binsdamu, ICC, utawala bora wala demokrasia.
Wao haja yao ni gesi ya Mtwara tu. Na CCM kwa mwendo huu mliowajia, nchi za magharibi zitasaini mikataba mingi sana huku TZ ikipata asilimia ndogo sana.

kwa mbinu zenu dhaifu, imekula kwenu. CHADEMA mmeingia choo cha kike. kuna nchi 40 ziko foleni kuingia mikataba na Samia. LISSU🥵😭
Na hapo inakuwa tumeimaliza vita ya kiuchumi
 
Back
Top Bottom