PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waziri wake wa mambo ya nje juzi alishindwa kumaliza soo? Inaonekana mambo ni magumu mpaka amekutana naye mwenyewe.
Umepiga penyewe, mkuu 'macho_mdiliko', Samia yupo desperate sana wakati huu; anatafuta kila njia ya kumwokoa.
Sasa kaangukia huko; ambako kikawaida kwa utawala uliopo sasa hivi Marekani, Tanzania haimo kabisa katika mahesabu yao.

Ngoja tuone, matokeo yake tutayapata tu!

Usisahau pia kwamba karibuni kuna nchi 30 zitaongezwa kwenye orodha ya nchi zilizopigwa marufuku watu wake kuingia Marekani. Siyo ajabu kama Tanzania itakuwa kati ya hizo nchi zitakazoongezwa kwenye orodha hiyo.; hasa kutokana na hali ilivyochafuka chini ya utawala wa Samia.
 
‎Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano Treni ya umeme piga kiberiti ,
‎Ma generator ya bwawa la Nyerere piga kiberiti ,


‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Uko timamu kweli mkuu?
 
Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.

Soma Pia: Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

View attachment 3513082
Atakuwa ana naomba Kaimu Balozi amshawishi Lissu akubali kujiunga na sirikali ya umoja wa kitaifa
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
Dunia imehama huko ndugu,
Wenzako wapo kwenye 4IR (4th industrial revolution) Technology e.g Elon Musk
 
Huyu Balozi wanaongea nini na muuaji! Marekani asituletee za kuleta hapa
Walikuwa na Candid Talks ambayo maana yake ni

/ˈkandɪd/

adjective
  1. 1.​
    truthful and straightforward; frank.
    "his responses were remarkably candid"
  2. Sio mambo ya LNG, Uranium, au biashara yeyote zaidi yakumpa za uso ndio hayo mengine yafuate
 
Niliwaambia juzi, tumewathubutisha waue tena kesho.... mngejua watu walivyo standby... wamejipanga kuua tumejipanga kuwafunga!
Hahaha masikini nahisi rate ya brain cells loss iko beyond senile atrophy. Utamfunga Nani na wewe ICE wanakumendea wakuweke lockup. Kwani naona maandiki yako ya siku za karibu yamezidi kuwa uharo na hayaeleweki mwanzo nilifikiria dementia lakini kuna kitu zaidi ya hicho...
 
Kuna mikataba mikubwa imesainiwa... Mange ajiandae kurudishwa tz maana USA wamesaini mikataba minono...

Naona USA wamepata walichokuwa wanataka... kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji TZ, Sasa hutawasikia tena kuhusu haki za binadamu...
Ila huyu mama, yuko tayari kufanya chochote ali mradi awe Rais, aenjoy maisha. Wala hayuko kwa sababu ya Watanzania 🥲
 
Back
Top Bottom