Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,914
- 20,794
Makamba ni mwongo,hayuko dependable aondoke.Kwa bahati mbaya tunao vingozi wengi serikalini kama yeye, ambao wapo wapo tu, ambao weledi na uaminifu kwao sio issue sana,sijui nchi hii tunaipeleka wapi.Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.
Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
View attachment 2015320
Samia nayee dah, I don't know why he picked him, mbona there are better alternatives. Anyway labda Mzee Makamba alikwenda ku-lobby, maana mzee yule naye nuksi sana.
To me Waziri aliyekuwepo wa Nishati alikuwa mzuri sana, angemuacha aendelee kupiga kazi.