Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

Wiki iliyopita Rais wa Nigeria Mzee Tinubu kamtoa nduki kikaoni mtoto wake wa kiume,jamaa aliingia kwenye mkutano wa Mzee Tinubu na Wafanyabiashara bila mwaliko.
Mzee kamchana live mwanae kuwa Mimi kuwa Rais haimpi nafasi Mwanangu kuudhuria ata vikao ambavyo havimuhusu.
Mzee Tinubu kauzu sana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hata Nyerere hakuruhusu huo upumbavu
 
Kila siku nasema hawa jamaa hawajui kula na vipofu...; Hakuna sababu ya ku-publicize neema wanayopata kwa watu ambao kesho yao hawana hata pensheni let alone wale wazee ambao mafao yao hata panadol hayanunui...

Alafu wanakuja watu kwa kuuza sura na kupeana cake ambayo wanasema haitoshi ila kwa wao wanajipa na makombo....

In short they are out of touch..., ndio maana wanadai mafao kwa kila mke wa kigogo

By the way simuongelei huyu mama per-se, bali muendelezo wa hii animal farm...
Hii point sana,
Wangempa tu kimya kimya ingefaa
 
Baba yetu aliyekuwa anasali naye enzi za sizonje akiwa waziri ,kwasasa itakuwa bwerere
 
Back
Top Bottom