Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

Yaani shida za wananchi zimerundika barabara mbaya Zahanati ziko hoi.

Shule nyingi za vijijini hazikuambulia hata kujengewa choo. Hatuelewi analoongelea au ndio anawaPush kuzikamua.!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Una matatizo ndugu,kwa hiyo barabara zilikuwa nzuri Sana awamu ya 5 sio?

Matatizo ya Afya yaliisha awamu ya 5 sio? Hospital na vilijengwa kote sasa vimeharibiwa au sio? 🤣🤣🤣🤣

Aisee ukiwa na chuki unakuwa na shida sana.
 
Angetakiwa kuwapa maelekezo namna ya kuzitumia hizo pesa, hivi anavyotoa kauli za jumla wajanja watajiongeza.
 
Basi mpe hongera kwa kujenga flyover ubungo na stand nchi nzima.
Alitumia mshahara wake au ni hizihizi kodi wanazotukata? Anayepaswa kumpa hongera ni mkewe kama alikuwa anamnyoosha vizuri kitandani
 
Una matatizo ndugu,kwa hiyo barabara zilikuwa nzuri Sana awamu ya 5 sio?

Matatizo ya Afya yaliisha awamu ya 5 sio? Hospital na vilijengwa kote sasa vimeharibiwa au sio? 🤣🤣🤣🤣

Aisee ukiwa na chuki unakuwa na shida sana.
Tulia wewe kwani historia ya nchi inaanzia awamu ya tano?
 
Tulia wewe kwani historia ya nchi inaanzia awamu ya tano?
Sisi tunaonyeshae mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika awamu yetu ya 6 kama hivi 👇

Screenshot_20220517-130925.png

Screenshot_20220517-182610.png
 
Ni kichaa pekee atakayemwonea wivu marehemu. Mimi pia nasubiria zamu yangu, Ila siwezi kumwonea wivu dikteta, jambazi na jizi kama lile
Inaonekana alikubutua hadi akakuchia kilema huko kunako?
 
Hiyo barabara imetesa watu Sana hiyo aiseh!!big up jpm!!
Mbona mnafiaga watu ambao hawasitahili mnawaacha wanaostahili.

Barabara ya Nyahua-Chaya imejengwa kwa mkopo kutoka kuwait Fund ambao ulutafutwa na Kikwete. Na mipango yote ya ujenzi wa barabara hiyo iliachwa na Kikwete.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Back
Top Bottom