Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

Vilevile nafahamu katika wilaya hii kuna upungufu wa miundombinu katika shule za sekondari, ambapo kwa sasa kuna uhaba wa matundu ya vyoo 332, meza 707, viti 707, maabara 59 na nyumba za walimu 295. Serikali inafahamu hayo.

Nikabahatika kuwa Rais kuna Mambo siwezi hangaika nayo Yaan mimi niulizwe ajira ! Mfumko wa bei, uwekezaji, viwango vya elimu! Ila vyoo na madawati huko TABORA zimejaa mbao na miti ya Kutosha Hivi kazi wa wakuu wa wilaya na wa mikoa ni nini?

Dah


Britanicca
 
Rais Samia Suluhu ameagiza Mawaziri kusimamia fedha za UVIKO-19 ili ziweze kutumika vizuri kwa kuwa mwisho wa matumizi yake ni Juni 2022, kama hazitatumika kwa 90% basi fedha zijazo kwa ajili ya miradi hiyo hazitapatikana au zitapungua.
-
Amesema "Bado nasoma kuna tenda zinacheleweshwa TAMISEMI, vitu vya kuagizwa vya Wizara ya Afya na Wizara ya Maji ziagizwe. Kuna tenda zinazungushwa, watu wanasubiri rushwa na wengine wamegewe kidogo".
-
Rais amefafanua "Kuna fedha zinasubiri tumalize kuzitumia hizi za sasa ili hizo nyingine ziingie. Tusipovuka 90% hatutapata nyingine au tutapata kidogo kwani itamaanisha uwezo wetu ni mdogo. Simamieni ili zilizopo kwenye bomba ziweze kutema muda ukifika".

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huo ndio muda muafaka wa kula kutokana na urefu wa kamba au watukopeshe kila raia laki tano au mods mnasemaje ?
 
Hiyo barabara ina umuhimu gani? I mean, inapitia sehemu gani kwa maana nasoma majina ya sehemu sijawahi kuyasikia Nyahua Chanya au labda inaunganisha Miji/Wilaya gani na urefu wa km ngapi kwa kukisia ili niweze angalau kuelewa kinachoendelea, Asante!
Mkuu
Barbara kutokea Dodoma kwenda Tabora kupitia manyoni na itigi kwenda mpaka kigwa ndio ufike Tabora mjini ndio hiyo zamani mzunguko ulikuwa marefu Sana kufika Tabora!!!
 
Ni wapi huko wasipo na matumizi ya pesa hadi wanasubiri kusukumwa kutumia? daah kwenye miti hapana wajenzi.......na ukute idara nyingine choka mbaya pesa hakuna.
 
Rais Samia Suluhu ameagiza Mawaziri kusimamia fedha za UVIKO-19 ili ziweze kutumika vizuri kwa kuwa mwisho wa matumizi yake ni Juni 2022, kama hazitatumika kwa 90% basi fedha zijazo kwa ajili ya miradi hiyo hazitapatikana au zitapungua
-
Amesema "Bado nasoma kuna tenda zinacheleweshwa TAMISEMI, vitu vya kuagizwa vya Wizara ya Afya na Wizara ya Maji ziagizwe. Kuna tenda zinazungushwa, watu wanasubiri rushwa na wengine wamegewe kidogo"
-
Rais amefafanua "Kuna fedha zinasubiri tumalize kuzitumia hizi za sasa ili hizo nyingine ziingie. Tusipovuka 90% hatutapata nyingine au tutapata kidogo kwani itamaanisha uwezo wetu ni mdogo. Simamieni ili zilizopo kwenye bomba ziweze kutema muda ukifika"

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safi,Mwaga mapesa mh.Rais

Ila mgao ukija kama hujachanja usipewe.
 
Ni wapi huko wasipo na matumizi ya pesa hadi wanasubiri kusukumwa kutumia? daah kwenye miti hapana wajenzi.......na ukute idara nyingine choka mbaya pesa hakuna.
Sio kwamba hawana matumizi ya pesa bali miradi bado haijamalizika maana ilichelewa kutangazwa..

Hadi saizi bado ambulance na magari ya chanjo hayajaingia..

X rays,MRI,CT Scan nk vyote bado havijawasili Ili kugawiwa kwenye hospital mbalimbali.
 
Mkuu
Barbara kutokea Dodoma kwenda Tabora kupitia manyoni na itigi kwenda mpaka kigwa ndio ufike Tabora mjini ndio hiyo zamani mzunguko ulikuwa marefu Sana kufika Tabora!!!

Asante sana sasa nimeelewa, poa sana!
 
Zielekezwe kwenye bwawa la umeme huko
Kufanya nini? Yaani nyie watu mna uelewa mdogo..

Bwawa Lina bajeti yake na linaendelea..

Bwawa sio darasa kwamba litajengwa kwa mwaka mmja..

Barabara tuu hujengwa kwa miaka Zaidi ya miaka 3 sembuse Bwawa la Til.8?
 
Rais Samia Suluhu ameagiza Mawaziri kusimamia fedha za UVIKO-19 ili ziweze kutumika vizuri kwa kuwa mwisho wa matumizi yake ni Juni 2022, kama hazitatumika kwa 90% basi fedha zijazo kwa ajili ya miradi hiyo hazitapatikana au zitapungua...
 
Back
Top Bottom