Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Ni bora awe short and clear akiongea sana tu huwa anajichanganyaMama huwa ni Mzee wa short and clear hakuna haja ya blaa blaa na tantalila nyingi zisizo na maana .
Safi Sana kwake
Ni bora awe short and clear akiongea sana tu huwa anajichanganyaMama huwa ni Mzee wa short and clear hakuna haja ya blaa blaa na tantalila nyingi zisizo na maana .
Safi Sana kwake
Umemsikia vizuri lakini mama samia? Anakuambia 2014 kulikuwa na kilio tabora haina barabara, leo imeunganishwa kwa barabara. Ni kazi ya 2015 - 2021.Hii barabara imeanza kujengwa toka enzi za Mkapa na JK akaiendeleza kwa kiwango cha lami. Acha kupotosha umma kwa kumsifu huyo Mungu mtu wako.
Hiyo barabara kwa mara ya kwanza nimepita 2004 na NBS kuelekea Dar na kwa mara ya kwanza nimetoka Tabora asubuhi nafika Dar saa moja jioni. Kabla ya hapo treni tulikuwa tunasafiri siku mbili. Mengine unayoeleza hapa ni kutaka kumsifu tu yule bwana mkubwa wa Chato.Umemsikia vizuri lakini mama samia? Anakuambia 2014 kulikuwa na kilio tabora haina barabara, leo imeunganishwa kwa barabara. Ni kazi ya 2015 - 2021.
2004 lami? Ila kuhusu hiyo barabara hasa kutoka manyoni mpaka tabora (255km) ilikua vumbi hadi kufikia 2013, 2014 ukaanza mchakato wa kuitoa lami kutoka manyoni hadi Itigi.Hiyo barabara kwa mara ya kwanza nimepita 2004 na NBS kuelekea Dar na kwa mara ya kwanza nimetoka Tabora asubuhi nafika Dar saa moja jioni. Kabla ya hapo treni tulikuwa tunasafiri siku mbili. Mengine unayoeleza hapa ni kutaka kumsifu tu yule bwana mkubwa wa Chato.
2004 haikuwa lami lakini ilikuwa inapitika vizuri tu. Nakubaliana na hoja zako lakini napinga hoja za yule jamaa kutaka kuelekeza sifa zote kwa Magufuli kana kwamba waliotangulia hakuna walichofanya. Kwa miaka mingi mkoa wa Tabora umekuwa na changamoto za usafiri wa barabara lakini kwa miaka ya hivi karibuni hali inazidi kuwa bora. Hivi sasa kuna mabasi mpaka kutoka Moshi na Arusha yanayofika Tabora na yanafika muda mzuri tu.2004 lami? Ila kuhusu hiyo barabara hasa kutoka manyoni mpaka tabora (255km) ilikua vumbi hadi kufikia 2013, 2014 ukaanza mchakato wa kuitoa lami kutoka manyoni hadi Itigi.
Na Hadi JK anaondoka kilikua kimebaki kipande cha km 90 ambacho ndio kimekaa kwa miaka mingi maana kilikua kinajengwa taratibu sana toka 2014 kimekuja kuisha 2020, imagine kipande Cha km 90 tu, na hata Magufuli asingekua raisi kingeendelea kujengwa tu
Ipo hivi hata JK asingekua raisi, hiko kipande mbeleni huku kingejengwa tu, na hata Magufuli asingekua raisi bado kingejengwa tu.
Ni sawa na sasa hivi kipande cha Tabora kigoma, ni lazima kitajengwa na kumalizika tu.
Na hata huko baadae kipande Cha Tabora Mbeya nacho kitakuja kujengwa tu iwe na Samia au raisi mwingine.
Sioni sababu ya kubishana nani kajenga nani hajajenga
Upo sahihi, Ila kabla ya lami kuisha ilikua haipiti vizuri wakati wa mvua hasa hasa hapo Nyahua na kizengi2004 haikuwa lami lakini ilikuwa inapitika vizuri tu. Nakubaliana na hoja zako lakini napinga hoja za yule jamaa kutaka kuelekeza sifa zote kwa Magufuli kana kwamba waliotangulia hakuna walichofanya. Kwa miaka mingi mkoa wa Tabora umekuwa na changamoto za usafiri wa barabara lakini kwa miaka ya hivi karibuni hali inazidi kuwa bora. Hivi sasa kuna mabasi mpaka kutoka Moshi na Arusha yanayofika Tabora na yanafika muda mzuri tu.
Nakubaliana na hilo.Upo sahihi, Ila kabla ya lami kuisha ilikua haipiti vizuri wakati wa mvua hasa hasa hapo Nyahua na kizengi
Jema hayo maneno matupu?Ni jambo jema
KabisaMUGABE: Mtu akisifia serikali kujenga hosptali, shule, barabara n.k. ni punguani, ni sawa kuisifu ATM unapotoa pesa kwamba Asante ATM kwa kunipa hela wakati ni zako!
Hiyo barabara imetesa watu Sana hiyo aiseh!!big up jpm!!
Akina Shabibi mabasi yao yafanye kazi gani?Nchi hii alianza kuifungua kwa lami JPM, toka waziri hadi rais kafanya makubwa kwenye miundombinu ya barabara!, sasa alitaka kuondoa kwenye safari za siku mbili(dar-mwanza), tutumie masaa machache (SGR) lakini haijawezekana!, sasa sijui kama itakuja wezekana maana hata bwawa la Nyerere limekwama!
Hapo kikubwa pesa imepigwa basiHiyo barabara ina umuhimu gani? I mean, inapitia sehemu gani kwa maana nasoma majina ya sehemu sijawahi kuyasikia Nyahua Chanya au labda inaunganisha Miji/Wilaya gani na urefu wa km ngapi kwa kukisia ili niweze angalau kuelewa kinachoendelea, Asante!
Yapelekwe makumbusho tutakuwa tunaenda kuyaangalia maana hata nauli za mabasi ni mzigo kwa mwananchiAkina Shabibi mabasi yao yafanye kazi gani?
Mama kaingizwa Chaka,2014 nzega tabora lami ipo(118km),hicho kipande (80km)alibakiza jakaya na pesa ya kumaliza aliacha,napita hiyo njia kila mwaka kwa miaka 22 iliyopitaUmemsikia vizuri lakini mama samia? Anakuambia 2014 kulikuwa na kilio tabora haina barabara, leo imeunganishwa kwa barabara. Ni kazi ya 2015 - 2021.
Basi mpe hongera kwa kujenga flyover ubungo na stand nchi nzima.Ni kichaa pekee atakayemwonea wivu marehemu. Mimi pia nasubiria zamu yangu, Ila siwezi kumwonea wivu dikteta, jambazi na jizi kama lile
Kutikisa kivipi?, maana yesu wenu alianzisha miradi kama mrefu, "social welfare hakuangalia kabisa" tungegeuka kama Ethiopia.Legacy ya Magufuli inaendelea kutikisa