Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.

Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.

Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote

Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje (Exports) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga.

Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL

Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments (FDIs) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni.

Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti.

Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini (60) iliyopita.

Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5

View attachment 2018173
Habari njema,kwa sisi wananchi.
 
Vitu vingine Sofia kwa hoja,pesa ya kigeni omeongezeka mfumuko wa Bei Mara 3 Ina faida gani?? Acheni kusifu kila kitu..
 
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.

Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.

Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.

Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Uchumi gani hata maji ya kuoga au umeme wa kuwashia taa hakuna, kawadanganyeni chawa wenzenu sio sisi
 
Kweli kwa akili zako za la 7 B unaamini Tanzania ni nchi ya kusubiri mvua kweli Kabisa yaani hadi aibu huoni
Ama kweli wewe ndio LA 2C assume unajifanya hutegemei mvua halafu zisinyeshe Kwa miaka 3 uone nini kitatokea.
 
Ni wapumbavu tu duniani ndiyo wanasubiri mvua ndiyo walime

Huko dunia ya kwanza walishasahau ujinga huo miaka mingi iliyopita
 
Kwani kila kiongozi lazima asifiwe? Haiwezekani kufanya majukumu yake bila uchawa?! waTz tumekuwa wapuuzi wa kufikiri kiongozi lazima avishwe kilemba cha ukokwa [emoji107]
Kila mmoja ashinde mechi zake. Usimpangie mtoa thread. Nyie mlioamua kuponda endeleeni, wanaosifia nao waache wasifie. Mwisho wa siku wananchi watapima kati ya Sukuma Gang na hao wasifiaji nani mkweli
 
Ati Madini ya Graphite kwenda kujenga Viwanda Marekani na Ulaya!

Haya Madini ya kutengenezea kalamu za Penseli?!😂😂🤣

Daah! Wananchi wanadanganywa sana.
 
Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.

Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.

Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote

Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje (Exports) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga.

Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL

Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments (FDIs) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni.

Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti.

Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini (60) iliyopita.

Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5

View attachment 2018173
Wewe ndio “Sukuma gang “ wa Samia?
 
Ni wapumbavu tu duniani ndiyo wanasubiri mvua ndiyo walime

Huko dunia ya kwanza walishasahau ujinga huo miaka mingi iliyopita
Circulation ya maji yote uyaonayo by 80% hutegemea mvua acha uzuzu.mvua ndio hubalansi uwiano wa maji duniani koala Yale yaliyopo chini ya ardhi sorry higher edu.
 
Back
Top Bottom