Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Mjinga wewe mazao yaliyouzwa kuingiza pesa za kigeni yalipandwa kipindi Cha magufuli unanichokoza au!.hayo mauzo ya mazao nje yalipandwa na kukomaa kipindi Cha mama Samia? Nikisifu serikali niache ukiingia ndani nitakwambia tunasubiri mazao tlyatakayopandwa kwenye huu ukama na yeye avune ajidai mauzo ya nje

Haya majidai Ni ya kipindi Cha magufuli
Mbona takwimu ni March-August ama JPM alikuwepo?? Haaahaaa alafu mvua zikikatika mwaka huu sio sababu ya uchafuzi wa mazingira kipindi cha JPM ila mauzo ya kilimo ndio sababu ya kipindi cha JPM?

Hahahha CCM mbona hampo consistent mmekalia unafiki tu.
 
Mkuu wewe ni msaada kwa CCM na Taifa kwa ujumla wake,

Hongera Sana Pacha We proud on you
Mambo kunoga mambo fire 🔥🔥 moto kwa Samia 👇

Screenshot_20211122-121145.png

Screenshot_20211121-132128.png

Screenshot_20211121-132004.png

Screenshot_20211122-120858.png
 
Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi,

Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba,

Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote,

Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje ( Exports ) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga,

Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL

Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments ( FDIs ) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni,

Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti,

Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini ( 60 ) iliyopita,

Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5

View attachment 2018173
Nchi inaharibika kama wakati wa JPM naona mwendo ule ule wa kusifu sifu yasiyokuwepo. Mungu atusaidie!
 
Hii hisije ikawa kama Ile stori tamu tamu, tunatumia hela zetu za ndani, tembeeni vifua mbele. Mara paaah!!! Deni la taifa ndani ya miaka mitano limeongezeka kwa 28 trillions
 
Kama ndivyo hivyo, kwanini bado tunaendelea kutembeza bakuli??
 
Piga kazi Mama tuko na wewe
 
Kaziiendelee kiongozi
 
Tatizo Watanzania ni wapole na waoga sana

Lasivyo hii mipumbavu isingekuwa inaendelea kuishi
Sio wapole mkuu watu wamechoka ila solidarity ya kudai haki ndio hakuna! Tuna ubinafsi wa hali ya juu sasa hivi yani.

Mtu aliyeko kwenye nafasi huwa hajali wengine wanaoumia. Yani wewe hata ugandamizwe kiasi gani alimradi yeye gari inawaka watoto wanaenda shule vizuri hela anapata nyie mteseke tu mtajijua wenyewe.

Ndio tuko kwenye ulimwengu wa aina hio kwahio ukikamatika we pambana ujinasue tu hakuna mtu anajali welfare yako kuanzia mwanasiasa mpaka mwananchi mwenzio.
 
Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi,

Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba,

Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote,

Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje ( Exports ) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga,

Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL

Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments ( FDIs ) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni,

Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti,

Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini ( 60 ) iliyopita,

Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5

View attachment 2018173
Tatizo la hizi news huwezi kuhoji,ni miujiza gani imefanyika!!
Hata Maghu watu walishangilia aliposema "tunajenga kwa pesa ya ndani"kumbe uongo mtupu,anakopa kila siku,alipokufa tu,ndio tukaujua ukweli!
Kama ni kweli poa kabisa,ila kama ndio story za Kiccm tusubili mpaka atoke,tufanye maesabu
 
Mbona kila kitu kipo hapo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom