ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Tangu Nov 20, 2021?Mimi ni Mzalendo kitambo,

Hakuna asiyejua hiloCirculation ya maji yote uyaonayo by 80% hutegemea mvua acha uzuzu.mvua ndio hubalansi uwiano wa maji duniani koala Yale yaliyopo chini ya ardhi sorry higher edu.
Mama chapa kaziKazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.
Acha FDI na FR ziongezeke ili tupate fedha za kukodi CraneHilo jarida linaongelea watanzania kama watanzania au watu gani? Maana mtaani kila mtu analia gharama za maisha na mfuko wa bei mbaya zaidi kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
kama ni kweli utakuwa unamaanisha , kiongozi aliyekuwa anatawala nchi ya jamhuri ya KUSADIKIKA kabla yake (ALIKUWA MWIZI) OVER,Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.
Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote
Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje (Exports) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga.
Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL
Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments (FDIs) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni.
Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti.
Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini (60) iliyopita.
Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5
View attachment 2018173
Ulaya hutegemea sana food importation,kasoro USA China na Russia,vilimo vyao zaidi huwa ni vimatunda matundaHakuna asiyejua hilo
Ila wenye akili hawaishi kwa kusubiri mvua
NDIYO maana hujasikia ulaya kuna njaa sababu hawasubiri mvua
Bahati nzuri nimeishi ulaya na kusoma huko kwa miaka kadhaaUlaya hutegemea sana food importation,kasoro USA China na Russia,vilimo vyao zaidi huwa ni vimatunda matunda
Huna akili chawa mkubwa wwKazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.
Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote
Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje (Exports) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga.
Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL
Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments (FDIs) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni.
Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti.
Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini (60) iliyopita.
Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5
View attachment 2018173
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.

Uko sahihi 100%Kweli kabisa, Na sasa mifukoni pesa zimerudi, mfumuko wa bei umeshuka sana , mambo ni mazuri sana....
Kwani Nyukilia inaruhusiwa?Rwanda tayari wanajenga kinu cha nyukilia
Nyinyi pamoja na kuwa na madini ya uranium na gesi nyingi bado mnawaza umeme wa maji
Upumbavu mtupu
Imekatazwa na nani na kwa maslahi gani na ya naniKwani Nyukilia inaruhusiwa?
Data zipi zimepikwa mkuu?Kwa kusifia hatujambo badae mnabaki mdomo wazi wazee wa kupika data.
Daah, Hivi kwa aina ya maandiko ninayoandika humu unahisi ninayo haja ya kuwa ID zingine?Mtu mmoja ID 10 unapata faida gani ?
DaaahTangu Nov 20, 2021?
Zilizoandikwa hapo sidhani kama zina ukweli naona ni muendelezo tu wa sifa.Data zipi zimepikwa mkuu?
HakikaUtawala huu raha we fwata sheria tu