Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Bila shaka lazima mitambo ya mafuta ichukue nafasi hapo ni kuweka mafuta na kuwasha.Gas hadi uagize mitambo uje uifunge uitest sio leo na hapo ukame haukusubirii..

Hata JK aliwasha mitambo ya mafuta kwa vile MKapa na yeye mwenyewe awamu zao za mwanzo hawakuwekeza kwenye umeme wakawa wanategemea mitambo ya Maji..Hata hivyo JK hadi anaondoka ndio aliacha huu umeme wa gas 66%..Sasa ndugu yenu anawadanganya eti gas ya mabeberu kumbe anatafuta mradi wa kupiga pesa

Mwendazake was useless ,unadhani angekuwepo saizi na hali hii ya ukame angewasha Nini? Stiglaz? 😂😂..Alikuwa mjinga tuu laiti angechukua walau til.1 saizi tungekuwa na Kinyerezi 4 na hivyo no Mgao na angeendelea stiglaz yake..

Kwa taarifa yako mitambo ya umeme wa mafuta ilizimwa.huko.Dar but Rukwa,Kigoma,Songea,Katavi na baadhi ya Wilaya tunatumia magenereta kama kawa.
Rwanda tayari wanajenga kinu cha nyukilia

Nyinyi pamoja na kuwa na madini ya uranium na gesi nyingi bado mnawaza umeme wa maji

Upumbavu mtupu
 
Sasa hiyo miradi hata ikianza itakamilika kwa wiki mbili hizi izi za kusubiri mvua zinyeshe,
Hata wakianza hiyo miradi haitokamilika kesho,
Ukame is reality of life mzee hauishi peponi, uko duniani kwenye mafuriko ukame dhoruba umaskini na majanga mengineyo kibao
Hebu peleka upumbavu wako huko

Gesi ya Mtwara imegundulika lini hapa Tanzania?
 
Rwanda tayari wanajenga kinu cha nyukilia

Nyinyi pamoja na kuwa na madini ya uranium na gesi nyingi bado mnawaza umeme wa maji

Upumbavu mtupu
Tutakuwa na vyanzo mchanganyiko,tukiwa na hali nzuri ya hewa tutawasha hydro plants,tukiwa kwenye Hali kama ya Sasa tutawasha gas na source zingine..Mafuta tutaachana nayo kabisa by 2025..

Tuna imani na Hangaya mtu mkweli asiyeyumhishwa na pambio 😂😂👇👇

Screenshot_20211117-135804.png

JamiiForums845843380.jpeg

JamiiForums-911681403.jpeg
 
Hebu peleka upumbavu wako huko

Gesi ya Mtwara imegundulika lini hapa Tanzania?
Kza hiyo gesi ya mtwara unadhani inazalisha umeme wa kiasi gani? Maana sio kwamba hautumiki, unatumika hata sasa hivi na ndio maana linajengwa bwawa la nyerere kwasababu ni wazi huo umeme wa gesi hautoshelezi mahitaji bado, kwa hiyo tulizeni maboli
 
Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi,

Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba,

Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote,

Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje ( Exports ) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga,

Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL

Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments ( FDIs ) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni,

Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti,

Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini ( 60 ) iliyopita,

Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5

View attachment 2018173
Angalia Standard Of Living mtaani inaleta uhalisia wa uchumi, wewe mimacho yako ipo kwenye makaratasi!
 
Ukimaliza

Ukimaliza kuvuta bangi uwe unaenda kulala na sio kuzungukazunguka mtaaani
Sifa zitajionyesha zenyewe na sio kulazimisha.
Mwambie sasa azishushe huku mitaani tuzifanyie kazi.
 
We kwani unaishi mitaa gani, mbona naona watu wanaijenga, wana nunua viwanja, Wanaenda holiday, pubs zinajaa,

Tatizo unapangapanga tu mitaa bila kuijua
We kweli ni kiazi

Sasa hiyo mitaa mingine anayopangapanga bila kuijua siyo sehemu ya Tanzania?
 
Dar na nchi nzima umeme hakuna na uliopo mgawo tuu and very expensive , na maji hakuna huku vyanzo vya maji vimejaa kila kona, na ile gas ya Mtwara iliishia wapi? ni umaskini na shida za kujitakia tuu sababu tumejaza viongozi wapumbavu watupu, acha wazungu watudharau tuu maana kukosa maji au kukatika maji ni aibu tupu na inaonyesha tulivyo na ukosefu wa akili
 
Tatizo Watanzania ni wapole na waoga sana

Lasivyo hii mipumbavu isingekuwa inaendelea kuishi
Umepatwa na mzuka wa ugaidi nini? Kijana wote tumeumia let set our lives again kulalama tu haisaidii hatimaye utaota kibiyongo burebure.
 
Umepatwa na mzuka wa ugaidi nini? Kijana wote tumeumia let set our lives again kulalama tu haisaidii hatimaye utaota kibiyongo burebure.
Kweli kwa akili zako za la 7 B unaamini Tanzania ni nchi ya kusubiri mvua kweli Kabisa yaani hadi aibu huoni
 
Kweli kwa akili zako za la 7 B unaamini Tanzania ni nchi ya kusubiri mvua kweli Kabisa yaani hadi aibu huoni
Ndiyo maana nasemaga kuwa chakubanga amewaharibu sana hao vijana wa lumumba.

Miaka 60 ya uhuru bado kama taifa tunaishi kwa kutegemea majaliwa ya Mungu kutuletea mvua.

Wakulima wanaishi kwa matumaini ya kutegemea mvua.

Umeme unategemea miujiza ya mungu kuleta mvua alafu mnawahakikishia wawekezaji kuwa njooni Tanzania hakuna shida ya umeme.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom