Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,906
Lete zako za kweli mkuu wanguZilizoandikwa hapo sidhani kama zina ukweli naona ni muendelezo tu wa sifa.

IndeleeKazi iendelee
Nakupenda sana Tanzania#Nakupenda Tanzania
Akili ya matumizi ndiyo inayo mfanya mtu kuwa na maendeleo makubwa, tatizo kwa viongozi wetu kubwa lipo kwenye akili ya matumizi
Ni kweli ametuduwaza kwa nonsense sense of thing and saying nonsense many times. NonsenseKazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.
Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote
Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje (Exports) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga.
Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL
Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments (FDIs) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni.
Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti.
Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini (60) iliyopita.
Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5
Nonsense! Kweli kadumaza wengi kwa Nonsense!Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.

Nimeangalia ulichopost nikaoanisha na akili yako nikapata jibu.Yeye ni Mungu wa kuzuia ukame? Kwa akili zake sasa ndio unaona anakomaa na gas Ili hata ukame ukija usipate Mgao.
Samia anawanyima usingizi,go Samia go hadi nyongo ziwatokee puani 👇
View attachment 2018239
View attachment 2018240
View attachment 2018241
View attachment 2018242
View attachment 2018243
View attachment 2018244
View attachment 2018245
View attachment 2018246
View attachment 2018247
Chuki kwa Samia zitakatiza maisha yako mapema Sana ..Nimeangalia ulichopost nikaoanisha na akili yako nikapata jibu.
But nakushauri uwe unasoma ili uelewe, siyo kukopi kila kitu, pia kuna mambo yasiyo hitaji nguvu, sisi ndiyo nchi mojawapo yenye kila aina ya vivutio na mali asili yakiwemo maziwa na mito, lakini tuna mgao wa maji na uhaba wa mvua!.
Kwa akili yako hapo kwenye mvua utasema "Mungu" NO Mungu ameshatupatia akili na uwezo wa kufanya kila lililo jema kwa mustakabali wa uhai wetu, ndiyo maana Misri wapo jangwani lakini wanavuna mazao na hawana mgao wa maji, huo mfano mdogo tu.
Labda kama wewe na mtoa mada ndiyo wale mlioifanya ccm kuahika namba moja kuwa na followers wengi au ndiyo wale mlioletwa kusifu na kuabudu naweza kukuelewa vinginevyo, twendeni taratibu, nchi yetu sote hii.
Nakubaliana na wewe 100%Kweli kabisa, Na sasa mifukoni pesa zimerudi, mfumuko wa bei umeshuka sana , mambo ni mazuri sana....
Daaah hii Serikali ni balaaaChuki kwa Samia zitakatiza maisha yako mapema Sana ..
Go Samia go 👇
View attachment 2028947
View attachment 2028948
View attachment 2028949
View attachment 2028950
View attachment 2028951
View attachment 2028952
View attachment 2028953
View attachment 2028954
View attachment 2028955
View attachment 2028956
View attachment 2028957
View attachment 2028958
View attachment 2028959
Anavuna matunda ya kazi ya magufuliKazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.
Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote
Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje (Exports) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga.
Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL
Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments (FDIs) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni.
Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti.
Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini (60) iliyopita.
Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5
Chawa kaduwazwaSema amekuduwaza wewe
Nyota ya Samia sio ya Nchi hii.Daaah hii Serikali ni balaaa
Aibuuu tupuuChawa kaduwazwa
HAKUNA CHUKI YOYOTE HAPA, Ila tunaandika real effect nadhani hata wakati wa Magufuli tuliposema ulisema ni chuki.Chuki kwa Samia zitakatiza maisha yako mapema Sana ..
Go Samia go 👇
View attachment 2028947
View attachment 2028948
View attachment 2028949
View attachment 2028950
View attachment 2028951
View attachment 2028952
View attachment 2028953
View attachment 2028954
View attachment 2028955
View attachment 2028956
View attachment 2028957
View attachment 2028958
View attachment 2028959
Nakupenda sana#Nakupenda Tanzania
Kazi za Mama hazina mfano,Habari njema,kwa sisi wananchi.
khaaa nyie watuTangu Nov 20, 2021?