Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 3,978
- 4,743
Bado! tutulie tusiwe na haraka kazi inaendelea!Mtaalamu, inawezekana umeupenda huo utaratibu ila ukasahau muundo wa serikali ya JMT.
Hussein Mwinyi ni nani katika serikali ya JMT?
WaZNZ wameshaona fursa ya kushika hatamu, SMZ haina kiti popote isipokuwa EAC, raisi wa SMZ hawezi kumuwakilisha raisi wa JMT.
Anamuwakilisha kwenye yale mambo 22 ya Muungano?
Raisi wa SMZ hawezi kuendesha Baraza la mawaziri mbele ya VP kama raisi wa JMT hayupo, iweje awakilishwe na naye nje? Protokali hapa imekaaje?
Nafasi ya raisi wa SMZ kuwa VP kwenye JMT ilishaondolewa kwa kuzingatia mkanganyiko wake, viongozi wakubwa 3 wa JMT wanapaswa kuwa juu ya raisi wa SMZ, sasa inawezekana vipi? Msaidizi wa raisi wa JMT ni VP, kwanini amtume raisi wa SMZ?
Kazi iendelee.
Rais anaweza kuwakilishwa na yeyote hata mimi au wewe!