Rais Mwinyi wa Zanzibar naye atakuwa anamuachia Mama awe anaenda Safari zake kama Mama afanyavyo Kwake?

Ni wapi GENTAMYCINE nimesema kuwa ninamchukia Rais wangu wa JMT Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan?

Tena kwa Taarifa huenda Mimi ndiyo nikawa nampenda zaidi kuliko Damn Fool Wewe kiasi kwamba nikiona anakengeuka kwa baadhi ya Mambo namkosoa ili asiharibu zaidi.

Baadhi ya Watanzania mmekuwa na ' Mentalities ' za ' Kipumbavu ' sana kwamba Mtu yoyote anayemsema Rais basi ni ama Mpinzani CHADEMA au ni Mdini au anatokea Kundi Hasimu kama linalotajwa sasa la SUKUMA GANG.

Kuna Member Mmoja hapa ameelezea vyema kabisa tena Kikatiba na Kidiplomasia kuhusu hili 'Suala Mjadala' nililolileta hapa na kusema kwa hili la Mama Kuwakilishawa na Rais Mwinyi wa Zanzibar kwa Mambo ya Kijamuhuri anakosea sana tu.

Na bahati nzuri sasa labda nikutaarifu tu Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan ni " Follower ' wangu mkubwa tu hapa JamiiForums na 24/7 haachi kunisoma GENTAMYCINE na hili kwa Kujiamini kabisa nina uhakika nalo kwa 100%.

Kuna ' Threads ' kadhaa za Kumsifu na hadi Kumletea Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan na moja ni ya Juzi tu mbona sikuona unasema kuwa namchukia na katika Uzi huo huo Wewe umeuchangia zaidi huku ukinipa ' Likes ' zako za kutosha tu?

GENTAMYCINE sipo hapa JamiiForums kuwa Mnafiki au Kujipendekeza ila nipo ' very Neutral ' katika ' thorough analysis ' zangu na nimekuzwa katika Misingi ya Kusimamia Ukweli na kuzingatia Utaratibu, Sheria na Kanuni zilizopo.

Mimi ni mwana CCM sana tu ila wakikosea ' nawakaanga ' vizuri tu. Mimi ni mwana Simba SC nao pia ' wakilikoroga ' tu ' ninawasiliba ' vizuri tu. CHADEMA wakipatia nawasifu na Klabu ya Yanga ikifanya Jambo jema nawapongeza.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE Mkuu sawa?
Wewe ni mkichaa kwa kweli.

😂😂😂😂😂😂😂😂

Eti Mama ni follower wako. Jamaa wanasema yule Genta ni mwehu na nahisi ni mwehu kweli. Hahaahahah

Paragraph yako ya kwanza haina mahusiano na ulichoni-quote kwacho.
 
Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Yeye pia akiwa na Safari za ' Mialiko ' au za ' Uwakilishi ' atakuwa anamuomba ( anamuachia ) Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan awe anaenda?

Nimeupenda sana huu Utaratibu alioubuni Rais Samia Suluhu Hassan hasa wa Kupenda ' Kuwakilishwa ' Safari zake za nje ( za Kimataifa ) na Rais wa Zanzibar tu Dkt. Hussein Ali Mwinyi hivyo kuwafanya Makamu wa Rais JMT Dkt. Philip Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wawe ni ' Wabobezi ' tu wa Safari za ndani ya nchi kama vile Tandahimba - Ibirizi na Biharamuro - Nachingwea za Kukagua Madaraja na Kuhesabu tu Kuku ' waliototolewa ' Kitaalamu SUA Mkoani Morogoro.
Na inawezekana VP na PM walimwambia Mama kwamba wao hawana shobo bna safari za nje kwasababu walikuwepo kwenye Serikali ya JPM na hawakuwahi kwenda nje na bado wapo poa tu.
 
Na inawezekana VP na PM walimwambia Mama kwamba wao hawana shobo bna safari za nje kwasababu walikuwepo kwenye Serikali ya JPM na hawakuwahi kwenda nje na bado wapo poa tu.
Halafu wanatokea wapumbavu wanataka waanze fyokofyoko hawajui hata ya ndani.

Tutaacha lini kuangalia outcome ya jambo badala ya kuangalia possible causes ya jambo hilo???

Kama ni falsafa waliokubaliana head of state, VP na PM je??

Wapiga domo watajuaje sasa
 
Halafu wanatokea wapumbavu wanataka waanze fyokofyoko hawajui hata ya ndani.

Tutaacha lini kuangalia outcome ya jambo badala ya kuangalia possible causes ya jambo hilo???

Kama ni falsafa waliokubaliana head of state, VP na PM je??

Wapiga domo watajuaje sasa
Mkuu tutawaelimisha humuhumu JF. Wasipoelimika shauri yao!
 
VP aamshe maruwe ya kikabila lao, amcharukie huyu bi mdashi wa kipemba,
Kuna mahali nimesoma kuwa Babu yake ni muoman asilia, mikwara ya uhamiaji ni vizazi vitatu inawahusu Waha tu?..... wajumbe hawakuliona hili hadi mtu akafika kileleni? ... Sheria za nchi hazizingatiwi tena?...😷🥱
 
Kuna mahali nimesoma kuwa Babu yake ni muoman asilia, mikwara ya uhamiaji ni vizazi vitatu inawahusu Waha tu?..... wajumbe hawakuliona hili hadi mtu akafika kileleni? ... Sheria za nchi hazizingatiwi tena?...🥱
Kwan huyo Jumong anazingatia sheria?
 
Haya mambo haya,kila kitu nchi Ni kama Jana,sera za BOT na mabenki ziko hovyo system inachelewa kuchukua hatua,Benki mifumo imeshikiliwa, na wakubwa wapo tuu,hivi kuna laana inatutafuna?
Hii nchi aliyeiroga kafa na dawa alikoitupa hakujulikani.
 
Mama ni Rais wa mpito na bado vyombo vya dola vina mamlaka kwa sasa vinakuwa bega kwa bega kuhakikisha utaratibu u unafuatwa ukiwemo na utaratibu wa kumpata Rais baada yake maana yake vina nguvu ya kuamua aliyeko kwenye list anakuwa na hili zoezi litakamilishwa kwa ustadi mkubwa Sana na kwa kweli hili jambo ni la kuigwa sana kwa kucishukuru vyombo vya dola vinaivusha nchi yetu salama salmini
Mhhh,team champions
 
Nani amuambie ukweli Rais ,VP?!!!

Mbona VP alikuwepo kipindi cha hayati JPM ,alikuwa anaweza kumuambia kitu Rais ?!!!

By the way VP ni msaidizi wa Rais akiwa hayupo....ila KATIBA yetu inampa mamlaka makubwa Rais wa nchi.....na ndivyo zilivyo katiba za nchi nyingi duniani......

Presidential decree haimzuii Rais kumtuma Rais wa Zanzibar kumuwakilisha nje ya nchi....

Safari ni nyingi....na kila safari ina malengo yake na umuhimu wa kipekee.........

#KaziIendelee
Non sense, msieeeeeeeew.
 
Acheni Wivu
Ni Zamu Wa Zenj.
Mbona Mwendazake alikuwa anamtuma Bashite
Bashite kama mkuu wa mkoa alimwakilisha wapi raisi wa JMT nje ya mipaka ya nchi ya Tanzania? Kama kwenye mkoa aliokabidhiwa sawa, napo mamlaka yake yana mipaka, wanasema bila kuathiri vifungu vingine vya sheria mama.
Kwa maana hiyo rais kavunja katiba ?
Wajuvi wa sheria ya katiba wa wanaweza kuweka neno sahihi hapo, kama imevunjwa au imetamatishwa. Ila kwa maono yangu, sioni mwanga ukiingia kwenye karavati(tunnel) nililopo, hivyo bado ni giza mno, ngoja niendelee kukaza mwendo, pengine mbele huko nitaanza kuona mwangaza na kupata tumaini la kutoka kwenye hili tunnel na kujua huko nje kukoje ili nichague mwelekeo utakaonipendeza.

Wanafunzi wanapiga kelele darasani, monitor wa darasa hajulikani, mwalimu aliwaambia wanafunzi yeye hawezi kutumia fimbo wala ukali wa sauti, wanafunzi ni waelewa, hivyo akiwaambia wataelewa na wamuelewe hivyo.

Andika majina ya wapiga kelele darasani, waliofeli ni viboko, watoro waadhibiwe, mimba za utotoni fukuza mwanafunzi na weka jela mtia mimba, usafi wa mwanafunzi ukikaguliwa kila alhamisi, mchaka mchaka kila asubuhi kujiweka fiti kwa masomo ya siku nzima, wimbo wa taifa kuimbwa kila siku tukiwa mstarini kuongeza hamasa na ile sense of ownership, uzalendo.....n.k

Nimekumbuka enzi za shule ya msingi Nanjilinji.

Kazi iendelee
 
Atajua yeye, hatutaki habari zake za ukanjanja hapa. Afuate katiba ya JMT.
Ila uliyeandika kuwa ni mpemba ni wewe na si yeye Sasa nani kanjanja hapa?!!

Katiba inafuatwa barabara hususani kumteua mtu kumuwakilisha safari zake...it's a presidential decree embended in the constitutional maxima that can not be forced by anyone else....hiyo ndiyo katiba ya JMT!!!
 
Back
Top Bottom