Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.
Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.
Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.