Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

Status
Not open for further replies.
Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.

Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.

Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.

Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
View attachment 3470241
Mambo kama haya ndio yameiangusha Nepal
 
Bahati mbaya Leo ni wiki ya mwananchi, watanzania kama kawaida yao akili, mwili na roho vimehamia huko.

Juzi ilikuwa simba day, so almost wiki nzima hii watanzania kwa umoja wao wamesahau mambo mengine wapo na siasa za simba na yanga
 
Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.

Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.

Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.

Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
View attachment 3470241
Dah nimelia saana. Nimetamani nifanye ziara kuanzia kwenye daraja la mfugale na kijazi, nishuke mpaka terminal 3 ninyooshe mpaka magufuli stand halafu nishike njia sita kupitia Kibaha nielekee bwawa la mwl Nyerere, huku humo njiani nikitafakari haya mambo yaliwezekanaje Kwa muda mfupi kiasi hicho na kwanini hakukuwa na matusi kama haya.
 
Hakika kiongozi. Unapoanza kuona viongozi wa vyombo vya Dola wanakuwa na ukwasi kama ilivyo kwa IGP kuwa na zaidi ya Bilioni Benki. Familia ya Mombo kuwa na pesa za kuchezea hivi , watu hawa hawaishi viapo vyao. Nchi ipo rehani. Liwalo na liwe.
Wewe nyoosha tu maelezo bhana! Kwani hata wakikuua, na wenyewe wataishi milele? Ukweli usemwe! Nchi imeshauzwa. Hakuna namna nyingine unaweza ukaelezea hiki kinachoendelea kwa sasa nchini mwetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom